hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa namna hii Serikali iweke VAR hata kwenye ngumi. Mwakinyo hajashinda kabisa kuanzia mwanzo alipelekewa moto

    Tunaharibu sana kuwa na upendeleo usiofaa hata kidogo. Mtu anapelekewa mwanzo mwisho halafu anapewa ushindi wa mchongo. Wapi amempiga huyu jamaa? Ile moja tu ya kubahatisha?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuwa Monitor, ila nikiwa Rais nitafanya haya

    Wakuu habarini za muda huu. Hii nchi nikiisoma historia yake tangu uhuru mpaka sasa ilipofikia huwa inaniuma sana. Miaka 62 ya uhuru haiendani kabisa na maendeleo tuliyonayo kama taifa. Kwa kiasi kikubwa bado tunalia na matatizo yale yale; Umaskini,miundo mbinu mibovu,huduma hafifu za...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hata kama amesaini Singida, ni muhimu Beno kufata weledi

    "Hii ni mechi ya kimataifa, hata kama Beno amesaini na Singida anatakiwa kuwa na weledi, Beno bado ni mchezaji wa Simba na anatakiwa kuwa Committed na Timu ya Simba na hususan hizi mechi muhimu ambazo Manula hayupo,” "Huwezi jua, unaweza onyesha performance yako kwenye mechi ya kesho kwa sababu...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Hata wanapokosea tunawasifu? Embu jiulize, ukoo wenu ni lini mtafaidi keki ya Taifa?

    Kuna mazingira wananchi wametengenezewa na CCM kuwalazimu wao kusifia tu kusifia tu hata kama yeye na ukoo wao wote ni masikini wa kutupwa na hawana mbele wala nyuma CCM, yenyewe imejitengenezea ulaji wa keki ya Taifa kupitia familia chache sana ambazo ndizo zitaendelea kuneemeka na mema yote...
  5. JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Hata Simba akishinda 3-0 kwa Mkapa, nina uhakika atatolewa na Wydad

    Akiwa katika kipindi cha sports arena kupitia wasafi fm, mchambuzi wa michezo nchini, Edward Kumwembe amesema ana uhakika hata simba akishinda 3-0 kwa Mkapa jumamosi bado atatolewa na Wydad katika mechi ya marudiano. Una maoni gani? Comments ziwe fupifupi
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwako waziri wa TAMISEMI, angalieni na namna ya kuwachuja wanaoomba kazi za ualimu walau hata kwa "Online aptitude test"

    Mhe.Rais wa JMT, Mhe.Waziri wa TAMISEMI Nawapongeza kwa jitihada zenu katika kutengeneza na kutoa fursa za ajira nyingi sana katika kada ya ualimu na Afya. Ni ishara njema katika kupunguza tatizo la ajira nchini. Mhe. Waziri wa TAMISEMI, maoni na mapendekezo haya ni kwa ajili ya ofisi yako...
  7. JamiiForums Tanzania Serious talk: Je, kubeti kunaweza kuendesha maisha walau kwa vijana hata wawili kati ya kumi wanaobeti?

    Yes nimeahi sikia kwamba kuna watu wamepiga mshindo kwenye betting lakini hao watu ni nadra sana wanaweza kuwa katika kipimo cha mtu 1 kati 100 ya wale wanaobeti. Ili kitu kiwe na uhakika wa kitu flani kuweza kuendesha maisha ya mtu kiuchumi basi walau huwa kuna kipimo angalau hata watu wawili...
  8. JamiiForums Tanzania Hata hapa jangwani chura wapo kimya

    Yaani na katiza hapa jangwani maji kibao,mvua inanyesha ila hakuna kelele ya chura,imebidi nishushe kioo na kuchungulia,naona hata lile jengo taa haziwaki :D :D :D :p :p
  9. JamiiForums Tanzania Kikokotoo kwa mstaafu hata serikali inaona AIBU

    Kwako wewe afisa wa NSSF unayekenua kwenye TV, ukijifanya mtaalamu wa HESABU za vikokotoo, swali langu ni 1 tu. Kwanini mmetolea mfano wa afisa wa serikali aliyestaafu wakati akilipwa mshahara wa tsh 2,000,000/=( hapa ndipo AIBU ilipojificha) Kokotoeni mshahara wa walio wengi ili AIBU yenu...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Shabiby: Hata wewe Spika ukileta siasa zako tunaweza kukuazimia

    Mbunge wa Gairo amesema Viongozi wa Serikal Wana mtindo wa kuajiri walimu na kuwapangia vijijini kisha wanatuma vimemo wahamishiwe Mjini Shabiby amesema Utaratibu Huu siyo mzuri na ikibidi watatoa Azimio Waziri na Watendaji wake waindolewe na kama Spika ataleta Siasa zake naye Atakaa pembeni...
  11. JamiiForums Tanzania Bora ushamba siwezi kumla papa mzima na nyama yake, hata wakati wa kuvua baharini simgeuzi

    Hello Hello JF katika maisha yangu naogopa kumla papa na nyama yake na ikitokea nikienda kuvua baharini simgeuzi naacha nyavu iamue naogopa sana, wengine kazi ya uvuvi hatujazoea. Papa tumpe Uhuru wake hasa mabawa yake yaendelee kubaki intact pasipo choko choko za wavuvi. Karibuni wavuvi...
  12. JamiiForums Tanzania Kama huna pesa hakuna mtu atakuheshimu. Hata wazazi wako watakudharau

    Kuna huu ukweli ambao ni vema kila mtu anatakiwa kuufahamu. Kwa asilimia kubwa heshima ya mtu huletwa na pesa alizonazo. Kama huna pesa hata wazazi wako, kaka na dada watakudharau. watu baki ndiyo kabisa watakudharau. Na si kwamba hawakupendi. Watakupenda sana ila hawatakuheshimu. Kifupi...
  13. JamiiForums Tanzania Wanawake tuambieni kuhusu kauli yenu ya ‘Mwanaume hata umpe nini haridhiki’. Hiyo ‘nini’ ni kitu gani?

    Hivi Mwanamke akisema hata Mwanaume umpe umpe nini haridhiki, hiyo ‘nini’ humaanisha kitu gani? Tuambieni hizo nini ni nini basi. Kama hamsemi mtaendelea kuita wanaume wote ni Mbwa.
  14. JamiiForums Tanzania Siku hizi hata uhudumu wa mabasi unatakiwa uwe na degree

    Kampuni ya mabasi ya ABC imetangaza nafasi za kazi kwa wahudumu wa mabasi (Bus Hostess) ambapo kuna vigezo kadhaa unatakiwa kuwa navyo. Kigezo kimoja wqpo ni Bachelor Degree in Public Relation, Procurement, Account, Marketing au Business Administration. Yaani wanataka wahudumu wasomi na sio...
  15. JamiiForums Tanzania Tafadhali mwenye Vifuatavyo anitafute upesi PM nivinunue hata kwa Tsh Milioni 5

    1. Maji ya Mochwari ( hasa yatokee Temeke Hospital au Amana ) tu 2. Mchanga na Nyasi kidogo kutoka Kigamboni Avic Town au Jangwani Mafurikoni 3. Jezi ya Klabu Kubwa duniani ila iwe ni ama Njano au Kijani ( ikiwepo ya Tanzania ) itakuwa ni nzuri zaidi 4. Njiwa Saba ( 7 ) ila wawe ni Weupe na...
  16. JamiiForums Tanzania Tafadhali mwenye Vifuatavyo anitafute upesi PM nivinunue hata kwa Tsh Milioni 5

    1. Maji ya Mochwari (hasa yatokee Temeke Hospital au Amana) tu 2. Mchanga na Nyasi kidogo kutoka Kigamboni Avic Town au Jangwani Mafurikoni 3. Jezi ya Klabu Kubwa duniani ila iwe ni ama Njano au Kijani (ikiwepo ya Tanzania) itakuwa ni nzuri zaidi 4. Njiwa Saba (7) ila wawe ni Weupe na...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa sasa Kenya ni nchi ya Kimaskini zaidi kuliko Tanzania, serikali ya Kenya yashindwa kulipa hata mishahara!

    Mficha maradhi kifo kitamuumbua, yawahi hayawi sasa yamekuwa, ukweli halisi umeanza kujionyesha huko Kenya, hali ya maisha ni mbaya mnoo, vijijini ukame unawaua, mijijini maisha yanawanyonga na sasa Serikali imeshindwa kulipa hadi mishahara watumishi wake. Kenya kumechoka na kuchakaa balaa...
  18. JamiiForums Tanzania Wanawake Msitupe Jukumu ambalo hata ninyi hamfanyi. Kila mtu ajiridhishe mwenyewe

    Yaani mtu analalamika kuwa sijamfikisha. Namuuliza yeye ameshiriki vipi kunifikisha anajibu oooh.... Huoni navyokata kiuno. Nikasema isiwe kesi. Safari hii hakuna kukata kiuno. Inama mbuzi kagoma egamia mto lala. Then tuone kama nitafika au sitafika kileleni. Akafanya hivyo nimefika bila shida...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Timu ya wananchi hata kama hamjui kusoma, je hata picha hamuwezi kuangalia?

  20. M

    JamiiForums Tanzania Chelsea imefulia kama TP Mazembe ilivyofulia: Hata vilaza wanajipigia tu timu hizo mbili!!

    Wolverhampton Wanderers 1 - 0 Chelsea HT 1-0
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…