hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Hivi Hayati Magufuli angekubali huu ujinga wa kugawa Bandari?

    Kwenye magumu marehemu wanakumbukwa. Hivi pamoja na akili zake Magufuli naamini asingeingia ujinga wa kugawa gateway ya nchi kizembe namna hiyo. Na bado naamini mtu mwenye akili timamu kamwe hawezi kugawa bandari ya nchi kizembe kiasi hicho haiwezekani. Tuanze kugawa bandari ya Zanzibar kwanza...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tumuunge mkono Nadhifa. Hata Magu alikuwa anakasirika!

    Ukweli ni kwamba katibu mkuu aliye tenguliwa ni watu tunao waita “no nonsense” yaani hawapendi ujinga ujinga kama alivyokuwa Magufuli. Lakini tabia hii haitoshi kumfukuza mtu kazi ambaye ni mtaalamu wala sio mwanasiasa. Watanzania wanataka maji safi na bora na huyu hajafika hapo kwa bahati mbaya...
  3. JamiiForums Tanzania Utenguzi: Rais Samia ametengua Uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba

    Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba Aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Februari 2023. Pia ametumikia nafasi mbalimbali ikiwamo Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Ubora wa Maji.
  4. JamiiForums Tanzania Gazeti gani hata upewe bure huwezi kulisoma?

    Mimi gazeti la wamachinga yaani siliewi kabisa yani naonaga tu mapicha picha siwaelewi angalia hili toleo la jana 19/8/2023 walivyolipoti msimamo wa TEC
  5. K

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu ni wanadamu, wanakosea kwenye mengi hata waraka wao kupinga uwekezaji wa bandari ni makosa.

    Kuna aina mbili za mitazamo ya watu juu ya viongozi wa dini: Aina ya kwanza wanawatazama viongozi wa dini kama wanadamu kamili na wenye ukamilifu wote, kunena mpaka kutenda kwao ni kwa ukamilifu. Hawakosei lolote Aina ya pili wanawatazama viongozi wa dini kama wanadamu wa kawaida, wanatenda...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wabunge watasema hata viongozi wao wa kiroho wameongwa? Watasema ni CHADEMA? Watasusa kuabudu kwa waliwaoongwa?Zakuambiwa!

    Wapo viongozi wengi wa dini wamepinga adharani kwa sauti na maandishi mkataba wa bandari. Wabunge wetu ni waumini wa viongozi hawa wa dini; lakini pia kielimu hata hawa viongozi wa dini wameenda shule tena kubwa kuliko wabunge walio wengi. Hoja za viongozi wa dini zinafanya watu wajiulize...
  7. JamiiForums Tanzania Kama kweli ndivyo ilivyo; basi si haki hata kidogo!

    Suala la upandishaji madaraja lilisitishwa kwa miaka kadhaa. Watumishi wengi waliathiriwa na suala hilo. Kutowapa nyongeza ya mshahara kwa kigezo cha kanuni, ni uonevu!
  8. JamiiForums Tanzania Inawezakana vipi dollar iadimike halafu bidhaa zimefurika Kariakoo kiasi hiki na hata wanunuzi ni wengi pia?

    Kama dollar zimeadimika nilitegemea pawe na shortage ya bidhaa Kariakoo, lakini ni kinyume chake, Kariakoo bidhaa zinamwagika kipindi hiki kama mvua, na wanunuzi wanazichangamkia kama nzige, Maana yakenpesa ipo, na cha ajabu kabisa, bidhaa nyingi zinazidi kushuka bei! Sasa iweje pawe na...
  9. JamiiForums Tanzania Mnaotosheka na MB 300 hadi GB 1 kwa siku huwa mnaweza vipi?

    Matumizi Yangu GB 2 hadi 3 kwa siku, Hapo nipo bize na shughuli zangu sio kusema kwamba ninashinda mitandaoni, mara nyingi net natumia zaidi usiku. Hivi vitu huwa natumia bila kujibana whatsapp - kutuma au kudownload video ama picha, video calls, n.k. Youtube - huwa nastream kwa ubora wa juu...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Utaacha nini hata ukumbukwe?

    Maisha ni safari ndefu, wahenga walisema ni kweli! Mtu anazaliwa, analia, anasoma, anao/anaolewa na kupata watoto, mwisho wa siku anazeeka au hata akiwa kijana anakufa. Sasa jamii na familia kwa ujumla itamkumbuka kwa lipi hasa ambalo wanaona ni pengo kwao? Mfano Nyerere, Nelson Mandela...
  11. JamiiForums Tanzania Aishi Manula hata ukipona leo, unaenda kuwa golikipa namba tatu pale Msimbazi

    Golikipa la Caf toka Morocco liko nchini, Ally Salim yuko on fire, Aishi Manula tafuta tumu nyingine, otherwise unaenda kuwa kipa namba tatu pale Msimbazi.
  12. JamiiForums Tanzania Hela za bila shortcut huwa hazisahau zilipopitia hata ufilisike vipi, lazima zitarudia njia yake siku moja

    Niamini mimi, Achana na hela za bahati, za waganga au za kurithishwa na kupewa, kwa uzoefu wangu hizo hela zikipotea ndo zimeenda huwa hazirudi. Lakini kwa mtu mpambanaji kweli kweli hata kama akiteleza akapoteza kiasi kikubwa cha utajiri wake basi hela zitakumbuka njia yake siku moja na...
  13. JamiiForums Tanzania Nilijua ni Uswahili, kuwa ukianza kufanikiwa lazima Uchukiwe na watu hata usio watarajia

    Psychology inakiri kwamba kwenye mafanikio kuna mapambano, Wapo watu ambao wakati wana hustle walikuwa marafiki sana tu, Lakini kwa Bahati mbaya Baada ya mafanikio kuanza zaidi kwa mmoja , Chuki huibuka na kutengeneza Uadui. Je, ufanye nini ili kuepuka Changamoto hiyo? - Kwanza Tengeneza usiri...
  14. JamiiForums Tanzania Hata Hayati Magufuli alilazimishwa na wao wenyewe kuwanyorosha

    Amewapa Pesa za ruzuku ameruhusu mikutano ameahidi kuwapa katiba mpya amewaruhusu kurudi nchin toka mafichoni baadhi wamelipwa malimbikizo yao amekubali Maridhiano. Lakini wapi hawaridhiki, wanamtusi na kumkejeli sasa Imetosha badilikikeni viongozi wazuri kugeuzwa wabaya na watu wenyewe kila ck...
  15. JamiiForums Tanzania Tuache kupotoshana, bongo kutafuta pesa online ni ngumu sana kutoboa, sidhani hata kama yupo anaeingiza milioni 20 kwa mwezi. Ni heri ufanye kilimo

    Kaka millard ni exception, katoka mbali sana huyu. Nimekuwa nikiona baadhi ya vijana hasa hawa wa chuoni na wahitimu wenye kujua jua kutumia vilaptop wanapotoshana mambo ya youtube, blogging, sijui app, adsense, n.k. kwamba kuna pesa Ni kweli haya mambo kwa wenzrtu huko yanalipa na watu...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Hata hiki kifungu cha 123 UAE Constitution Majaji hawakukiona?

    SOMA MWENYEWE Article 123 As an exception to paragraph 1 of Article 120 concerning the exclusive jurisdiction of the Union in matters of foreign policy and international relations, the member Emirates of the Union may conclude limited agreements of a local and administrative nature with the...
  17. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni awajibu Benki ya Dunia: Tutaendelea hata bila Mikopo yenu"

    Rais Yoweri Museveni ametoa kauli hiyo baada ya WB kutangaza kusitisha Ufadhili na Mikopo yote mipya iliyoombwa na Serikali kutokana na Nchi hiyo kupitisha Sheria inayozuia Mapenzi ya Jinsia moja. Museveni amesema "Inasikitisha kuona Benki ya Dunia na wahusika wengine wanathubutu kutulazimisha...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Hata sielewi: Kuna binti na mu approach lakini haoneshi kukubali Wala kukataa

    Wakuu habarini naomba kuuliza, Kuna binti na mu approach lakini haoneshi kukubali Wala kukataa aisee na shidwa kuelewa. Ila naona kama vile anapima uvumilivu wangu, aisee. Yaani sielewi wakuu.
  19. JamiiForums Tanzania Uwanja wa uhuru haufai kwa Simba kuufanya uwanja wa nyumbani. Tafuteni uwanja mwingine hata mkoani

    Nimesikitika kusikia Simba watautumia uwanja wa uhuru kama uwanja wa nyumbani. Simba mnatakiwa kujiongeza uwanja ule una pitch ndogo sana haufai na utasababisha mpoteze baadhi ya mechi. Tafuteni uwanja hata mikoani, kama Mandela Stadium rukwa na shinyanga au Kirumba Mwanza hapo uhuru...
  20. JamiiForums Tanzania Tusidanganyane kuna Watu leo wataifuatilia Simba Day na Matukio yote Kiumakini kuliko hata wenye Simba SC yetu na tukio letu

    Hivi wanaachaje kwa mfano kufuatilia Tukio Kubwa la Simba Day ambalo Mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassan, kuna MC aliyekuwa Mtangazaji Nguli, Mahiri na Gumzo Salim Kikeke, Msanii Mkubwa na Dhahabu kwa Tanzania, Afrika Mashariki na Afrika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…