Hata sielewi: Kuna binti na mu approach lakini haoneshi kukubali Wala kukataa

Azimio la kazi

Senior Member
Jun 7, 2023
138
451
Wakuu habarini naomba kuuliza,

Kuna binti na mu approach lakini haoneshi kukubali Wala kukataa aisee na shidwa kuelewa. Ila naona kama vile anapima uvumilivu wangu, aisee.

Yaani sielewi wakuu.
 
Back
Top Bottom