Hata hiki kifungu cha 123 UAE Constitution Majaji hawakukiona?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,415
74,071
SOMA MWENYEWE

Article 123
As an exception to paragraph 1 of Article 120 concerning the exclusive jurisdiction of the Union in matters of foreign policy and international relations, the member Emirates of the Union may conclude limited agreements of a local and administrative nature with the neighbouring states or regions, save that such agreements are not inconsistent with the interests of the Union or with Union laws and provided that the Supreme Council of the Union is informed in advance.

If the Council objects to the conclusion of such agreements, it shall be obligatory to suspend the matter until the Union Court has ruled on that objection as early as possible. The Emirates may retain their membership in the OPEC organisation and the Organisation of Arab Petroleum Exporting Countries or may join them.

DUNSTAN B. N URU
JUDGE
10/08/2023
MUSTAFA K. ISMAIL
JUDGE
10/08/2023
ABDI S. KAG
JUDGE
10/08/2023
 
Sijui Majaji wa Kenya wanasoma Vyuo gani! Hawa wa hapa Kwetu kuwatofautisha na wanasiasa ni ngumu sana!

Eti hawawezi kuingilia Bunge! Kwahiyo ni ruksa Bunge hata kuvunja katiba yetu!

Nchi hii bado sana!

Mimi nadhani kama ndivyo mihimili ya Bunge na Mahakama ifutwe tubaki na Serikali.

Atakachoona Rais na Chawa wake kinafaa basi hicho ndo kifuatwe!
 
Hii kitu pia nilimsikia Alex Mgongolwa leo asubuh kwenye Power Breackfast akiwadanganya Massoud Kipanya na Cessar! Ilibidi niscrean shoot hiki kifungu nimtumie Massoud kipanya!

Inshort hapa Mahakama imejitetea kuwa "imetia shakha kama Dubai inanguvu ya kuingia mikataba ya kimataifa."

Hivo basi Mahakama imekwepa kuweka bayana kuwa kwa mujibu wa katiba ya UAE, Dubai haina mamlaka ya kuingia mikataba ya kibiashara na nchi nyingine maana sisi sio majirani na Dubai.
 
Hii kitu pia nilimsikia Alex Mgongolwa leo asubuh kwenye Power Breackfast akiwadanganya Massoud Kipanya na Cessar! Ilibidi niscrean shoot hiki kifungu nimtumie Massoud kipanya...
Mahakama inaposema imetia shaka,maana yake wewe uliyeleta malalamiko ndie uliyekua na jukumu la kuiondoa hiyo shaka na haukufanya hivyo na mahakama ilisema hakuna sheria iliyoletwa mahakamani na mlalamikaji inayoonyesha kwamba DUBAI inazuiwa kuingia mkataba na nchi nyingine.
 
Sijui Majaji wa Kenya wanasoma Vyuo gani! Hawa wa hapa Kwetu kuwatofautisha na wanasiasa ni ngumu sana!
Eti hawawezi kuingilia Bunge! Kwahiyo ni ruksa Bunge hata kuvunja katiba yetu ...
Sisi tunatumia sheria ambazo zilikuwa imported from India. Hivyo naamini vifungu vyetu ni parimateria na vya India. ONA hii:

We can interfere if speaker’s decision violates Parliament rules, says SC​

Hindustan Times, New Delhi | ByHT Correspondent
Feb 13, 2017 07:59 PM IST

The Supreme Court told the government on Monday that it can interfere with the Lok Sabha speaker’s decision if it violated the rules or procedures of Parliament.​

The Supreme Court told the government on Monday that it can interfere with the Lok Sabha speaker’s decision if it violated the rules or procedures of Parliament.

Attorney general Mukul Rohatgi had told the Supreme Court that a speaker’s decision cannot be challenged in court.(PTI File)

“If the speaker says blue is green, then we will ask the speaker to say it’s blue. We can’t let it go as green,” a bench headed by Chief Justice JS Khehar told attorney general Mukul Rohatgi, who had told the court that a speaker’s decision cannot be challenged in court.
 
Mahakama inaposema imetia shaka,maana yake wewe uliyeleta malalamiko ndie uliyekua na jukumu la kuiondoa hiyo shaka na haukufanya hivyo....na mahakama ilisema hakuna sheria iliyoletwa mahakamani na mlalamikaji inayoonyesha kwamba DUBAI inazuiwa kuingia mkataba na nchi nyingine.
Wewe kuna vitu vinaitwa Judicial notice.... (naweka reservation kama scenario hii inaqualify). But for a Bold Judge can make a judicial notice suo moto
 
Kwenye "IGA" yetu, ni jukumu la nani kuhakikisha makubaliaono yetu na Emirati ya Dubai yamefika kwenye supreme council ya UAE?
 
Mahakama inaposema imetia shaka,maana yake wewe uliyeleta malalamiko ndie uliyekua na jukumu la kuiondoa hiyo shaka na haukufanya hivyo na mahakama ilisema hakuna sheria iliyoletwa mahakamani na mlalamikaji inayoonyesha kwamba DUBAI inazuiwa kuingia mkataba na nchi nyingine.
Hii sio kesi ya mtu na mtu! Ni kesi kwaajili ya maslah ya Taifa letu! Kama kuna ujanja unafanyika basi ni lazima Mahakama itoe ushauri kwa serikali juu vitu ambavyo haviko sawa mapema iwezekavyo!

Upande wa walalamikaji walipeleka instrument of full power ambazo zilitolewa na Nchi washirika, kwa upande wa Tanzania ilisainiwa na Mh Rais Samia ila Upande wa Dubai haijulikani imesainiwa na nani au cheo chake ni kipi! Pia kwamujibu wa wakili Mwabukusi kuna neno amelitumia japo sijapata maana yake (Mountvideo conventer ) sijui kama niko sahihi cos sijalipata vizur.
 
Kwenye "IGA" yetu, ni jukumu la nani kuhakikisha makubaliaono yetu na Emirati ya Dubai yamefika kwenye supreme council ya UAE?
Kwa mujibu wa Hamza Johari muongaza jopo la walienda ku negotiate na Dubai! Alisema "Dubai inanguvu kikatiba ya kuingia mikataba ya kimataifa" alirejea kifungu hichohicho ila issue inabaki katika tafsiri sasa kuwa Tanzania ni nchi jiran na Dubai? Hapa ndipo Mahakama ilipaswa kutoa tafsiri sahihi.

Kwa mkataba ulivyo hautofika kwenye Supreme Council ya UAE! Maana UAE haina habari juu ya hiki kituko.
 
Mpinzire nadhani ni "Montevideo Convention"
Screenshot_2023-08-11-22-38-12-56_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg

Safi nimegoogle nimepata kitu
 
SOMA MWENYEWE

Article 123
As an exception to paragraph 1 of Article 120 concerning the exclusive jurisdiction of the Union in matters of foreign policy and international relations, the member Emirates of the Union may conclude limited agreements of a local and administrative nature with the neighbouring states or regions, save that such agreements are not inconsistent with the interests of the Union or with Union laws and provided that the Supreme Council of the Union is informed in advance.

If the Council objects to the conclusion of such agreements, it shall be obligatory to suspend the matter until the Union Court has ruled on that objection as early as possible. The Emirates may retain their membership in the OPEC organisation and the Organisation of Arab Petroleum Exporting Countries or may join them.

DUNSTAN B. N URU
JUDGE
10/08/2023
MUSTAFA K. ISMAIL
JUDGE
10/08/2023
ABDI S. KAG
JUDGE
10/08/2023
Tofautisha kati ya MAJAJI na MAJAGI

Kwa mfano,
Wale wa kule Kenya ni MAJAJI, wengine hawa ni MAJAGI.
Hawa huitwa MAJAJI kwa mujibu wa Sheria, lakini kwa uwezo na hadhi ni MAJAGI tu.
 
Kwa mujibu wa Hamza Johari muongaza jopo la walienda ku negotiate na Dubai! Alisema "Dubai inanguvu kikatiba ya kuingia mikataba ya kimataifa" alirejea kifungu hichohicho ila issue inabaki katika tafsiri sasa kuwa Tanzania ni nchi jiran na Dubai? Hapa ndipo Mahakama ilipaswa kutoa tafsiri sahihi.

Kwa mkataba ulivyo hautofika kwenye Supreme Council ya UAE! Maana UAE haina habari juu ya hiki kituko.
Kifungu hicho kinadai kuwa mkataba kati ya emirati ya Dubai na nchi nyingine lazima uridhiwe na Supreme Council of the Union. Sasa ndiyo najiuliza iwapo hilo lilifanyika. Na iwapo sisi ndiyo tunapaswa kuhakikisha hilo limefanyika? Maana tapeli anaweza kuja na kusema naiwakilisha nchi fulani.
 
Back
Top Bottom