hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Nimerudi kufanya kazi yangu ya mgambo.

    Nina kabachelor kangu,lkn nimekula za uso utumishi,tra na gbt. Sasa nimewahi kupitia mafunzo ya mgambo na kutunukiwa cheti. Nimeamua nijitose tu kwenda kuwa mlinzi,kwa kuanzia leo nimepata mchongo wa kwenda kukamata wahalifu flani wanaotuhumiwa na jamii kuwa wanauza bangi na kusumbua wananchi...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa tamko: Miradi ya Maendeleo itaendelea hata baada ya Marekani kusitisha misaada

    Serikali imesema itaendelea kutekeleza miradi ya maendeleo ambayo ilikuwa ikipata ufadhili wa kifedha kupitia taasisi za Marekani baada ya tamko la usitishaji wa misaada lililotolewa na Rais Donald Trump.
  3. W

    JamiiForums Tanzania Dunia hii kila mtu ana mission yake aliyopewa kuja kuikamalisha lakini mimi sijui mission yangu, je nipo alone ?

    Niliwahi kusikia Dunia hii kila mtu ana mission yake aliyopewa kuja kuikamalisha, Mfano ni mtu kama Lissu mission yake ni ukombozi haijalishi hata akishindwa, Mrisho Mpoto ni kutukumbusha asili zetu kupitia muziki haijalishi hata kama mziki haumlipi, n.k. Nikiwa shuleni hadi chuo maisha yangu...
  4. JamiiForums Tanzania Njia ya ZANU-PF ya Zimbabwe ndio iliyopo kazini Tanzagiza kukiwa hakuna upinzani hata wa kuikaribia MDC, mbele ni giza tupu.

    Mwaka 2008 Zimbabwe ilifanya uchaguzi mkuu, chama cha upinzani cha MDC cha Morgan Tsavangirai kikashinda urais na viti vingi vya ubunge, kilichotokea tume ya taifa haikutangaza matokeo kwa miezi miwili baada ya uchaguzi. Hatimaye matokeo yalipotangazwa tume ikamtangaza Morgan Tsavangirai...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kwa hizi hotuba za Rais wetu, CHADEMA ni vyema mjiandae kimkakati kuelekea 2030, uchaguzi wa mwaka huu ni wazi hata kwa 0% hautakuwa wa huru na haki.

    Nawasikitikia sana wale wanaosema watapambana wakiwa uwanjani, kiukweli mtachakazwa na kila aina ya rafu hadi mtakimbia kabla hata ya dakika 90. Wale walioahidiwa ubunge wa bure sahauni, simuoni mwana ccm yeyote wa kukubali kuachia jimbo kizembe eti kisa wewe mpinzani. Chadema mwaka huu...
  6. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro ndio mkoa huwezi kusikia Mbunge anachaingiwa pesa za kuchukua Fomu, Wachaga sio Mafala hata kidogo

    Kwenye maendele bila shaka wote tunajua Kilimanjaro iko juu sana na wale hawajaanza kuwa na maendelo leo ni tangu enzi za ukoloni. Kwenye maendeleo ya watu achana na maendeleo ya vitu basi Wachaga wanapiga fimbo mikoa karibia yow Tanzania hii. Ila kwa Wachaga huwezi sikia wachaga wanakaa...
  7. JamiiForums Tanzania Timu kususia mechi za Ligi, Bodi ya Ligi (TPLB) wasema hatujapokea barua ya malalamiko kutoka timu yoyote, hata Singida Black Stars

    Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imethibitisha kuwa haijapokea barua yoyote ya malalamiko kutoka kwa klabu yoyote inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC wala NBC Championship hadi sasa. Taarifa hiyo imetolewa na Afisa Habari wa Bodi hiyo, Karim Boimanda, ambaye amesema kuwa hata klabu ya Singida Black...
  8. D

    JamiiForums Tanzania AIBU KUBWA SANA: Hawa ndio Wakurugenzi wakubwa wa Makampuni ya mitandao ya simu Afrika Ya Mashariki. Hakuna Mtanzania hata mmoja

    Wakurugenzi Wakuu (CEOs) wa Makampuni ya Mitandao ya Simu Tanzania, Kenya na Uganda. Tanzania. 1. Vodacom - Philip Besiimire - Uganda 2. Airtel Tanzania - Charles Kamoto - Malawi 3. Yas - Pierre Canton-Bacara - France 4. Halotel - Nguyen Tien Dung - Vietnam Kenya 1. Safaricom - Peter Ndegwa...
  9. JamiiForums Tanzania Tuwe Wanamichezo na kamwe tusiwe Mashabiki, Simba SC hata tungecheza na RS Berkane mara 10 tungefungwa nao, na Ushindi kwetu Kwao ni Sare / Suluhu

    Mo Dewji atulie na asajili Wachezaji wa maana wa Kamaifa na wenye Uzoefu wa Mechi za Kimataifa ili wakusaidie katika Mechi za Kimataifa na vile vile katika Ligi ya Ndani (NBC Premier League) ambayo Kwao (hawa Wachezaji wa Kimataifa na wenye Uzoefu) itakuwa ni kama tu kufanya Mazoezi. Wala...
  10. JamiiForums Tanzania Hiki kisa changu cha mwaka 2004 huwa nikikumbuka huwa kinanifanya nicheke kwa sauti hata nikiwa peke yangu

    Shalom jukwaa! Nilipokuwa mwanfunzi nilikuwa nina tabia ya kutofika shuleni kwa sababu nilikuwa sipendi shule kuliko kitu chochote kwa kipindi kile lakini wazazi walikuwa wananilazimisha kwenda shule hata kwa fimbo wakati mwingine (nawashukuru sana kwa hilo). Kule kutokupenda shule kulinifanya...
  11. JamiiForums Tanzania Nchi ya kusadakika yenye mfalme juha sababu ni kaptula la marx

    Katika kitabu che jina kusadikika kulikuwa na utawala ambao mtunzi mwenye maono makubwa ya mbali. Kwenye kitabu cha mfalme juha nacho kina muonesha mtawala aliyekosa maono na kupendwa kusifiwa. Ila kwa vile utawala ni kaptula la marx ndio limetufanya hivi. Hivi vitabu vitatu vingeunganishwa...
  12. JamiiForums Tanzania Tunajenga taifa au tupo kwaajili ya rais hata kama watu wanakufa, wanatekwa, wanafanyiwa uharifu sisi ni kufumbia macho na kujifanya hatuoni

    Hii tabia ya siasa za Tanzania hivi leo mtu akishika tu uraisi basi watu wengi wanajitoa akili na kujifanya vipofu hata watu wakitekwa au kuuwawa wao ni sawa tu. Hii hali ilianza kwa magufuri sasa hivi tunaiona imeota kwa samia, inamaana mtu kushika uraisi sijui wenzetu wanamuonaje mtu huyo ...
  13. K

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Hivi hata Idd Amini Dada kuna watu walikuwa wanamtetea kwa aliyokuwa anayafanya?

    Kwa wale ambao tunakumbuka yaliyokuwa yanawakuta rai wa Uganda miaka hiyo, najiuliza hivi kuna watu walikuwa kabisa wanamtetea kwa maovu yake aliyokuwa anayafanya? Au wananchi wake walisimama kupingana naye, na Nyerere alipokwenda kumuondoa alionekana ni muhaini?
  14. JamiiForums Tanzania Bunge la JMT lina hata alau Wabunge 5?

    Bila kujali kama waliingia kwa mlango wa mbele au waliingizwa kupitia mlango wa nyuma, bunge lina Wabunge alau hata 5? Nimejaribu kuwahesabu bila mafanikio. Nimepata kama watatu tu: 1. Jumanne Kishimba! 2. Josephath Gwajima! 3. Luhaga Mpina! Hao tu ndiyo Wabunge waliopo kwa sasa bungeni?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tafadhali, Gwajima asijibiwe, kufanya hivyo, ni kumpa ruksa ya kusema hata ya siri zaidi, mtapoteana

    Gwajima asijibiwe, atachafua mno hali ya hewa Kama mnakumbuka kipindi cha sakata la mzee Lowasa, mtakubaliana na mimi kuwa yule mtu hana woga Nimewahi kumsikia mara nyingi akitamka Yeye haogopi, maana yeye ni mtu mwenye uraia pacha, Yaani wa Duniani na wa mbinguni na yupo tayari kutumikia...
  16. JamiiForums Tanzania Vodacom mtandao wenu umetusumbua karibia wiki nzima bila internet na voice calls kususua lakini hata kufidia mmekimbia. Ni aibu sana

    Vodacom mtandao wenu umetusumbua karibia wiki nzima bila internet na voice calls kususua lakini hata kufidia mmekimbia. Ni aibu sana Haya mambo tunafanyiwa waafrika haswa sisi wabongo wenye amani na utulivu.
  17. D

    JamiiForums Tanzania ccm hata wakishinda uchaguzi, maana watashinda, hali imekuwa mbaya reputation imechafuka kabisa

    I will be short ccm wafanye tu reform, huko mbele mambo yatakuwa magumu zaidi, kila siku nakutana na bango jipya online. tanzania amani amna this is not good, once you allow external interference, you will cause more chaos and likely will cause more opposition funding ( divide and...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nashauri Watanzania wote tushikamane katika hili

    Jamani freedom is coming tomorrow, nawaombeni WATANZANIA wenzangu vijana tushirikiane kuliokoa hili Taifa kutoka mikononi mwa watu wachache wenye Nia ovu juu ya Taifa letu. Sambamba na hilo tuone jinsi gani tunaweza kuilinda amani yetu kwasabab ni kazi ngumu sana kuitafuta tena. Hata hivyo, ni...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Hata mfanye nini kichotakiwa kufanyika ni hicho hicho tu, ung'ang'anizi utatuondoa kwa aibu

    Tuue wanaotukosoa bado WaTanzania tunataka tu Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba inayofaa! Tudhamini vyama mbadala ili kuonesha dunia kuna upinzani, bado WaTanzania tunataka tu Tume Huru ya Uchaguzi, Tuwaweke wapinzani wetu ndani na kuwafungulia kesi nzito nzito za uhaini, na ikibidi tuwanyonge...
  20. JamiiForums Tanzania Pitch ya kiwanja cha mkapa inachimbwa chimbwa hovyo ndo sababu ya kuharibika hovyo hata baada ya kutengenezwa

    Hata aje engineer wa kutoka mars, hata itumike Trillion moja as long ile pitch itaendelea kuchimbwa chimbwa kabla ya mechi fulani fulani na timu fulani fulani yale madimbwi hayataisha kamwe
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…