Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.
Kwa mwana ccm hasa viongozi, ukiwaambia watamke neno Haki, ni kama wanataka kuingia kwenye kosa la Jinai kulitaja, ni kama kutaja jina la mama mkwe wao
Kwa nini mnazuwia kwa nguvu zote mahala popote Haki kutajwa?
Hii inasadifu kile kinasemwa na umma wa Watanzania kwamba, ushindi wenu upo...
Ukisikia Kuna Ufisadi wa Mabilioni Kadhaaa , sio CCM tu wanaogawana, ingekua hivo Wangeshakua wameondolewa madarakani Kitambo sanaaa !! DOLA isingeweza vumilia hayo !!.
Kuna wanaCCM kupitia serikalini Kwa waloyafanya Nchi hii, hata wao wakikaa wanaiona Hatia.
Kuna Watu wa DOLANI Kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Napenda kuwakumbusheni na kuwataarifuni ya kuwa mnapoona Lissu anatoa lugha za uchochezi,ubaguzi na kuhamasisha vurugu na machafuko hapa Nchini . Ni kwa sababu hana uchungu na Taifa hili, hana cha kupoteza katika Maisha yake hapa Nchini.
Hana Damu inayoweza kumuuma...
“ Kila mwaka tutasajili mchezaji mmoja ambaye Wanasimba wanamtaka, tutakuwa tunaambiwa na sisi tutakuwa tunamsajili."- Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Jayrutty Investment Company Limited, CPA Joseph Rwegasira.
My take:
Huu ni uongo wa wazi kabisa, jamaa hata hajatumia nguvu kuwahadaa wana Simba
Mwanzo nilijuaga labda usipojipaka mafuta ngozi itapauka au itapata shida ila nime prove mwenyewe baada ya kuishiwa mafuta na nikawa Sina hela ya kununua nimekuwa nikioga bila kupaka kwa zaidi ya miezi mitano ila ngozi naona Iko normal tu hakuna shida yoyote so mafuta hayana ishu sana.Je Kuna...
habari wadau,
miaka ya 1980s mwishoni katika kata ya Yombo vituka iliyopo wilaya ya temeke vilipimwa viwanja vingi sana, ambavyo wananchi walipewa na kuuziwa na manispaa ya temeke.
katika viwanja hivyo waislamu walipewa eneo kubwa la kujenga shule.
Wakatoliki na wao walipewa eneo kubwa la...
Tanzania lazima tujenge utamaduni wa kuhoji, sio kukubali kila tunachoambiwa, na Polisi au hata na serikali. Niliposikia juu ya hii ajali kwanza nilihoji ikiwa ajali ilitokea saa nane usiku na Mkurugenzi na dereva wote wamekufa, Polisi walijuaje dereva alikuwa anamkwepa mtu wa baiskeli?
Sasa...
Vita ya kibiashara SINO-US Trade war imeonesha kumbe Uchina yuko mbele sana. Nani kushinda hii vita. Time will tell.
Binafsi natamani sana nifike Beijing nasikia ni bonge moja la jiji.
Unapojenga jaribu sana kutafuta balance ya vifaa vya ujenzi na mafundi
Maiko hawezi kukataa tenda, hata ukimwambia una elf 10 ya nondo atapokea ila usije kustuka kaweka mbao 😂
Uasi ni neno la kiswahili likiwa na maana kamili ya kwenda kinyume na jambo.
Kuyakataa au kuhamasisha kuyakataa ya CCM na agenda zake zikiwamo za kutaka ufanyike uchaguzi wenye kuwapendelea wao, hakuwezi kuwa kosa la jinai.
Kukinukisha dhidi ya CCM hakuwezi kuwa uhaini!
Kumbe kwa tafsiri...
Mabadiliko kwa Wabongo bado sana, tusidanganyane kupeana matumiani na ujasiri fake kwenye keybord.
Wabongo bado tuko kwenye usingizi mzito sana ziaidi ya usinhizi wa maiti, na nazani baada ya Kenya kumalizana na mabadiliko itafuata Uganda na huenda hata Rwanda then ndio Tanzania. Sisi kwanza...
Uwanja umefungwa kwa mda mrefu sana kwa matengenezo ila naona pitch iko kama Ile ya zamani
Labda rangi kwenye majukwaa
Inaonekana kitu "matengenezo"kwa nchi hii tumefail kabisa
Niaje wakuu
Leo ningependa kujua haya anayoyafanya Trump sasa ivi hapa duniani na nchini kwake kwa ujumla anayafanya kwa faida ya nani?
1. Nchi?
2. Wananchi
3. Au yeye na genge lake?
Nauliza hivi kwa sababu toka amekamata wahamiaji, na kuwarudisha kwao kwa nguvu hakuna mabadiliko yoyote ya...
Haji Manara pole sana ila kwa Tabia zako ambazo hata Nduguzo wanazichukia nilijua tu hutodumu kamwe na Zaylisa. Halafu naona kila kona Watu wanampongeza Mange Kimambi wakati GENTAMYCINE hapa hapa JamiiForums miezi kadhaa iliyopita na hata juzi kati (Threads zipo JamiiForums) nilisema kuwa Haji...
#STrending "MIZIGO YA DADA YANGU #ZAIYLISA …… JANA KAONDOKA NA VITU VYAKE VYA KWENYE KITCHEN PARTY ALIVYOTUNZWA ……!!!!
SIJALALA MIMI NAIYOMBEA DUA HI NDOA 😭😭😭😭 TARAKA TATU NI NYINGI MJUE." - ✍️ #JumaLokole
#SallyTV #NiZaidiYaBurudani
Ukristo ni dini ambayo imeshazoeleka kutaniwa na kufanyiwa mizaha ila ni ngumu kusikia kelele wakilalamika, nashangaa wakristo wa hapa bongo wakilalamika utani wa Mwijaku
Imeshazoeleka kushoot video za bongo flava makanisani, watu kucheza amapiano na bolingo kwenye gospel, mabinti kuingia...
Kwa kweli hii nchi tulikuwa tunaongoWa na mshamba kweli kweli. Maendeleo kidogo tu tena almost negligible kelele wiki nzima na kuita vyombo vya habari ili kusifu
Mbona jk alikuwa anaajiri almost walimu na madaktari wote nchima lakini hatukusikia mayowe na mapambo
Mbona samia anafanya mambo...
Habari wajameni
Nimekuwa nikifuatilia mambo mengi haswa hawa pan Africans , kiukweli hakuna mwenye akili hata moja angalau Mwalimu nyerere alikuwa anaweza kujenga hoja na ikaeleweka ..
Tuje sasa kuna kundi limeibuka huko ,wanapinga dini . Bila shaka sio kosa maana wako huru ila ukija kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.