Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 9,979
- 16,139
Yani ukiwa Mkristo ukisema uachage ujinga wa kudhalau kusoma neno la Mungu, Unaamua unasoma na wewe biblia kidogo.
Japo wengi hawajasoma biblia wakamaliza lakini walau unakuwa na kakitabu kako kamoja umesoma story Yote ukamaliza.
Wengi utakuta Kasoma kakitabu ka Yona. 😂 kana sura Nne tu, na fupi.
Ukijipinda siku moja unakamaliza
Sasa bila kujua Hako kakitabu ka Yona kukaa kwenye Tumbo la Samaki siku tatu, kosa lake ndio kosa leo Binadamu wengi tunakosea, na Yona ni kitabu pendwa.
Yona hakutii sauti ya Mungu ,hilo ndilo kosa la Yona.
Ukivunja amri za Mungu utajijua mwenyewe kinachoangaliwa na Mungu je Unati sauti yake ??
Au unakwenda tu kama kipofu kiziwi ??
Je wewe ni Mtu muhimu, mtemgeneza jambo au wewe kazi yako ni uharibifu ??
Unafanya kazi ya kumuwazia mwingine mabaya, kwani hujui nawe mabaya yatakupata hapa hapa duniani kama kisasi, yani ni jino kwa jino .
Mwisho Kuwa mshindi katika maisha yako, Jaribu kuamua mimi sitafanya jambo baya kwa yeyote na nitajitoa kusaidia wengine pale nitakapo weza.
Upendo uwe ndio Jadi yangu, hasa kupenda kile kilicho kinyonge, na kukipa thamani na pongezi.
Hutawai pendezwa na machozi ya mtu mwingine.
Tamaa za mwili zisikuendeshe, akuna tuzo ya kulala na wengi.
Amua tu kujipenda mwenyewe kwanza kisha na wengine.
Ishike imani, na kumbuka Maumivu yapo bado kitambo lakini Ipo siku Yyee atakufuta machozi. kwa kutushibisha matamanio yetu.
Kila mmoja akili zake zinamajibu kamili, je ni kweli mimi Napenda Mema, ? au Napenda Machafuko ??
Shika imani yako, Tusonge mbele...
Ai ndio huyo azidi kuifunika dunia, Una ndoto gani wewe kwenye maisha yako ??
Au unaona kabisa kuna ugomvi katika yako na Mungu,
Upo ugomvi kati yako na Dunia ??
Kwanini hutaki kumtii Mungu, unapotezea ndoto kama Yona alivyompotezea Mungu na kusema Sifanyi hiyo kazi ya Kuelekeza watu waache kutegemea Miungu na wamrudie Mungu wao wa kweli Kabla Mungu Hajaleta Hukumu yake.
Yona akaona hiyo kazi yakijinga haina manufaa kwangu, endapo utawasamehe, mimi nataonekana nimetoa unabii wa uwongo.
Kazi gani hiyo nikatabiri hukumu inakuja, alafu wewe Mungu wakifanya toba unawasamehe.
Iwe ni mama iwe ni mazazi, awe ni watoto, iwe ni Nyumba, iwe ni Police, iwe ni choo, jikoni, au stole hakikisha ni safi na shwali, Acha ugomvi na Mungu, Acha Miungu
Tupendane.
Mbinguni tunaenda.
Mimi huku mtaani kwetu wachawi wote wachumba tu nawamudu wote.
Nakula vizuri, nalala vizuri, binadamu nakomaana vizuri, napika vizuri
If you smell me, nanukia maupendo tu.
Napika napikirisha hadi napika toto hadi nakelembesha, mapishi yangu waga siharibu,
Match chache na zote napafomu.