hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. Kama wewe ni msomaji wa biblia hata kidogo

    Yani ukiwa Mkristo ukisema uachage ujinga wa kudhalau kusoma neno la Mungu, Unaamua unasoma na wewe biblia kidogo. Japo wengi hawajasoma biblia wakamaliza lakini walau unakuwa na kakitabu kako kamoja umesoma story Yote ukamaliza. Wengi utakuta Kasoma kakitabu ka Yona. 😂 kana sura Nne tu, na...
  2. Ni kama macho ya taifa zima sasa hivi yamegeukia kwenye makalio ya huyu binti, sasa hivi hata kama ukija na uvumbuzi wa kisomi watu hawatakuelewa🤣

    Bongo ni nchi ya trend sanaa🤣🤣🤣 Its crazy kwamba ina just overnight makalio ya mtu yanaweza mbadirishia maisha ila kuna jamaa konki kichwani tangu 2018 anasaka ajira na anapita aptitude na oral tests zote ila wapi, LIFE🤣
  3. Kwanini matokeo ya form six yatangaziwe Zanzibar? Hata michezo ya ligi kuu isiyohusiana na Zanzibar ilichezwa Zanzibar, kwanini?

    Sijauliza Kwa Nia mbaya ila kuna katabia la kujipendekeza ka viongozi wetu kujiambatanisha na mkuu wa ithanga lothe hii sio sawa. Kuna siku gwaride la uhuru litapigwa songea ruvuma au kule kigoma. Alamsiki.
  4. Kwanini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia?

    Kwa nini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia? Demokrasia haiivii chungu kimoja kabisa na uarabu? Hii ina athari gani kwetu pia kama nchi kwetu sisi ambapo utamaduni wa Kiarabu una mizizi pia ?
  5. Ujue ugonjwa wa kulala ghafla mchana hata kama ulilala masaa mengi usiku.

    Shida ya kulala mchana,hata kama ulilala vizuri usiku,unakuta mtu hata afanyaje anashindwa kujizuia kulala, inawapata asilimia chache ya watu Duniani,zaidi unawakumba wanawake, kwa kitaalamu unaitwa, Narcolepsy. Huu ni ugonjwa wa usingizi wa mfumo wa neva unaosababisha mtu kulala ghafla wakati...
  6. Sawa Haraka pesa hamjui kalaga baho ni nani, mmeshindwa hata kuwauliza jirani zenu Pesa X na bahari cash au popo cash wananijua kivipi?

    Kausha damu Haraka pesa wamejichanganya kunikopesha elfu 40 wakajua kinyonge. Pesa ile nimepita nayo na hapa wanatumia mbinu walitotumia Wenzao waliopita wakashindwa. Ilifika kipindi mpaka mfanyakaz wa boba cash alikuwa analia anaomba nirudishe japo nusu ya pesa yao nyingine wamenisamehe na...
  7. S

    Hili la waziri mkuu kupumzika halikupaswa hata kuwa mjadala; Waandishi tafteni mambo ya msingi ya kujadili acheni kupiga ramli

    Nawashangaa sana waandishi wa habari siku hizi sijui kwanini mmekuwa kama waganga wa kienyeji! Mnapiga ramli chonganishi kwenye kauli za viongozi! Mnatufikishia wananchi habari ambazo wala hazitusaidii sana! Tunayotaka mtueleze hamsemi; Yasiyo na maana ndiyo mnatufikishia. Kauli ya waziri...
  8. Je, gharama za kuchukua Fomu kugombea Ubunge kwa Chama Babu ingekua ni Shilingi Milioni 5 hata Wavuta Bangi, Wehu, Wezi na Drug Dealers wangechukua?

    Kazi yangu kubwa sana leo baada ya kuanzisha huu Uzi ni kusoma tu Comments zenu mkiwa mmeshakijia Chama Babu.
  9. DPP akikaa Mwaka mzima au hata miwili hajaamua kuhusu hii Kesi ya Uhaini, Ni sawa tuu? Kuna Sheria inambana.?

    Maana jana Hakimu Mkazi kasema hakuna sheria inayoipa nguvu mahakama ya kumamuru DPP atoe maamuzi kuhusu hii Kesi. Sasa mimi nauliza Wanasheria Ukomo upo kisheria?, au hilo file linaweza kukaa kwa DPP hata Miaka 2, 3 hadi 5 bila kufanyiwa maamuzi.?? Kama ni hivyo mfumo wetu wa utoaji haki una...
  10. Kwakuwa Safina ya Nuhu imeonekana, basi ni kweli hata Moto wa Milele upo. Tutubu Mapema!

    Wakuu, kweli Mungu anatupenda. Ameona jinsi wanadamu walivyo wabishi na wagumu kuamini, akawatumia wanasayansi wasaidie kuthibitisha habari zilizoandikwa katika Biblia. Ripoti za wanasayansi za kupatikana kwa mabaki ya Safina ya Nuhu ni onyo kwa kizazi chetu. Safina ya Nuhu ilitengenezwa kabla...
  11. Aina za single mother

    1. Single mother mjane. Baba mtoto amekufa. Hajatalakiana nae, hajakimbia, isipokua amekufa. Huyu mwanamke hajachagua kuwa single mother, maisha yamemlazimu. Kuna heshima jinsi anavyoubeba huo mzigo. Anapambana vita ambayo hajaianzisha na bado anailinda heshima yake. Huyu ndie single mother...
  12. Huyu jamaa ndo the best Mwanasheria/Wakili wa Serikali???? Sasa mbona hata kuongea tu ni shida?

    habari zenu Tanzania? nipo Netherlands nawasalimia sana. Huyu jamaa anayeonekana kwenye Mahakama ndo Mwanasheria/ Wakili Mkuu wa Serikali? mbona anaonekana mzito sana hata kuchambua mambo na kujieleza? hawa watu wanachaguliwa kwa namna gani ? na bado hayupo vizuri katika sheria namwona ana...
  13. Hivi siku hizi wako wapi wale waliosema Iran haiwezi kurusha hata jiwe ndani ya ardhi ya Israel?

    Ndugu kulikua na mtifuano humu jf baina ya waisrael wa buza na wa Iran wa yombo ila sioni fact za kutetea Israel kwa vita ya rising lion ya siku 12 nimemaliza uzi kwa kuuliza wako wapi waliosema Iran haiwezi rusha hata jiwe ?
  14. T

    Waliohamia CCM toka upinzani hawawezi ongoza kura ya maoni CCM labda Kwa kubebwa na Rais tu hata wakishindwa.

    Hii wanapaswa kulijua mapema. Msigwa, Bulaga, Matiko n.k. Msihangaike hata kutumia pesa kwenye kampeni.
  15. Tanzania haiwezi kuwa kama Ulaya, Marekani, China hata CHADEMA wakichukua nchi

    Ujinga uliopo katika nchi ya Tanzania na katika mataifa mengi ya Afrika ni wananchi kufikiri watawala wao ndio wenye matatizo pekee ila wao wananchi hawana shida. Shida ya Tanganyika ni Watanganyika wengi kufikiri chama cha TANU ndicho chenye shida pekee ila wao Watanganyika wengine walio nje...
  16. PreGE2025 Musukuma: Wakuu wa Wilaya wanaotaka ubunge, Bungeni hakuna hela

    "Umesema kuhusu wakuu wa mikoa, wakurugenzi, Makatibu Wakuu. Nimeona watu wengi wameacha kazi hadi Makatibu wakuu. Nataka kuwaambia na sema uwazi. Ubunge sio kama watu wanavyotafakari. Watu wanasema ukiwa Mbunge kuna hela za bure utapata. "Itakuwa tajiri mshahara ni mkubwa. Sijaona hizo hela...
  17. Picha ya mwaka 2025...Mh. Tundu Antiphas Lissu atapaza sauti hata akipitishwa kwenye bonde la mauti!

    Mh. Tundu Antiphas Lissu katikati ya wasiojulikana hanyamazi! Pamoja na kumiminiwa risasi zaidi ya thelathini hakunyamaza Pamoja na kupitishwa kwenye bonde la mauti hajanyamaza Pamoja na kusubiri kunyongwa kabla ya hukumu hatanyamaza Mh. Tundu Antiphas Lissu ni mtu na nusu...NO REFORM, NO...
  18. M

    Natabiri: Hotuba ya Rais Samia atalazimika kuitataja No reforms mara nyingi kushinda hata uchache wa alichofanya kwa awamu yake hii!

    Tega masikio utaniambia niko paleee!
  19. R

    Je! Wabunge 19 wasio na chama, wataendelea kuwa wabunge hata baada ya bunge kuvunjwa?

    Hellow! Hawakuwa na chama, lakini walikuwemo bungeni, Leo bunge linavunjwa rasmi, Je, wao wataendelea kuwa wabunge? Maana hata baada ya CHADEMA kuzuia kufanya shughhuli za kisiasa, wao waliendelea kuwa wabunge! Karibuni 🙏
  20. H

    Huu Hapa Ukweli Mchungu Kuhusu MAFANIKIO Unaopaswa Ku-ufahama Mapema Sana Kabla Hata ya Kufikisha Miaka 25. Wengi Hujutia Sana Kwa Kuchelewa Kuufahama

    Ukweli Mchungu ni Kwamba.... Kila kitu kinachotokea kwenye maisha yako kina mzizi mmoja: NAMBA. Na cha kushangaza zaidi? Namba hazidanganyi. Hazisahau. Hazisamehi. Kipato chako ni namba Matumizi yako ni namba Akaunti yako ya benki ni namba Uwekezaji wako ni namba. Na hata kufeli kwako —...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…