Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.
Tuna faida kubwa kuliko wakati wowote—ambayo ni mabadiliko ya teknolojia. Maandamano yatafanyika, hata wakizima mtandao au kuzuia SMS, bado tunaweza kujipanga na kutumiana ujumbe bila intaneti, bila Wi-Fi, bila SIM card.
Leo nataka tujikite kwenye ujumbe wa nje ya mtandao (offline messaging)...
Mgombea ubunge wa Mkuranga kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Ulega "Serikali imejipanga vizuri kuhakikisha kwamba watu watakwenda watapiga kura kwa salama na amani, ukishamaliza kupiga kura yako rejea nyumbani subiri mambo mengine. Hata mkiyaona magari ya polisi yanapita...
Hawa Wahuni kama tusingepaza sauti mapema za kustukia mpango wao dhidi ya TUNDU LISSU , Wangemuua Kwa sumu .
Sasa fikiria BRAIN ya TUNDU LISSU iuwawe na Vichwa maji kama Akina Mafwele , Muliro, Samia, Makonda na genge lao !!.
Kwa muundo wa serikali yetu ilivyo hakuna serikali za majimbo hivyo kila kitu kipo chini ya kuu.
Unaweza kwenda sehemu flani kwenye taasisi flani kubwa tu lakini humo maofisini hamna hata mzawa moja, kazi zote zimechukuliwa na wageni wa sehemu za mbali, wazawa hawana chochote.
Sababu inaweza...
Kwa hali hii iliyopo,Na kwa experience ya miaka minne iliyopita, Hata endapo ikatokea mgombea huyu wa CCM akapita kimagumashi, itakuwa vigumu mno kutoboa miaka mitano, lazima kutakuwa na chaos hapa katikati. Mark this thread.
TUTAKUWEPO
Mnamo mwaka 2022 jina la kapteni Traore liliibuka huko Nchini Bukina faso baada ya utawala goigoi wa rais DAMIBA
Malalamiko ya wananchi kushambuliwa yalikuwa makubwa sana jambo lililoibua taharuki kubwa sana wakati huo!
Vijiji na miji mbali mbali ilishambuliwa pasipo serikali ya Damiba...
Hili nililiona kwa yule Chonchori nikashangazwa zaidi mpaka wenyewe wanaogopa hili genge alafu wanataka kutuaminisha hiyo ni amani mko sawa nyie???
Mzee haki yako pia itapiganiwa na sisi raia, kitu ambacho haikutegemea ila ndiyo maisha yalivyo hao uliohisi ni ndugu na watasimama na wewe kila...
Mchungaji Amoni Mwashitete Atoa Wito wa Kijasiri kwa Viongozi wa Dini na Wastaafu
Katika hotuba yake ya hivi karibuni kupitia Mwanahabari digital Mchungaji Amoni Mwashitete alitoa wito mzito kwa viongozi wa dini nchini Tanzania, akisisitiza umuhimu wa kusimama kwenye misingi ya haki bila...
Wanaukumbi.
⚡️BREAKING: Taarifa ya kijeshi iliyotolewa na uongozi wa Brigedi ya Martyr Izz al-Din al-Qassam:
"Tunauambia uongozi wa kijeshi na kisiasa wa adui: Gaza haitakuwa sehemu rahisi kwa jeshi lako linalotetemeka. Hatuwaogope na tuko tayari kupeleka roho za askari wako kuzimu...
kama kichwa kinavyojieleza natafuta epoxy resin nipo mkoani ila karibu na jiji la mwanza kwa huu mkoa nimetafuta bila mafanikio.
Sasa nauliza kama naweza kupata mwanza na hata dar es saam ikiwezekana ni vizuri kama nikajulishwa na bei yake ahsante
Habari za Sabato!
Mbinu rahisi ya kuwafanya watu watumwa ni kuwafanya waone Uhuru wa wengine hauwahusu. Kuona kuonewa kwa wengine ni juu yao, ilimradi wao wapo salama basi, wengine wakionewa haiwahusu. Hiyo inaitwa Divide and Rule technique.
Hakuna jamii rahisi kuitawala na kuifanya watumwa...
Huu ni upumbavu na ujinga.
Unapelekwa gerezani kwa kesi ya unyag'anyi wa kutumia silaha ya kubumba. Alafu unasota gerezani mpaka unakuwa hoi
Unatoka gerezani na mahakama inathibitisha kuwa haukufanya kosa la kunyag'anya mali kwa kutumia silaha.
Kwa upuuzi na dhiki za kisiasa unatamka...
Kwa wenye roho za kichawi si rahisi kunielewa hapa. Kwa wenye mtindio wa ubongo si rahisi kunielewa hapa.
Magufuli aliua uchumi wa Tanzania kwa kiwango kikubwa sana.
Kama angemaliza miaka 5 ya awamu ya pili angeua uchumi wa Tanzania kwa 90% mpa 100%.
Uchumi imara wa Taifa lolote unategemea...
Ndugu zangu Watanzania,
Watanzania hawaeleweki wanataka nini siku zote, Watanzania hawaelewi wanahitaji nini Maishani Mwao. watanzania hawana shukurani wala kuridhika wala kutosheka wala kusema asante kwa juhudi zako . Wao kila kitu kwao ni kibaya.
Leo watataka hiki lakini kesho ukiwapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.