hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke kila akipata hela lazima anikumbuke hata kama ni hela ndogo, nahisi kumpenda sana

    Kwema binaadamu wenzangu mliomo humu? Jamani kuna huyu mwanamke naweza sema ni mchumba wangu tuna kama miaka miwili toka tumefahamiana. Tumepitia stages tofauti tofauti, kugombana, kupotezeana, kuumizana, kuenjoy na kununiana kama ilivo kawaida mambo ya mahusiano. Huyu mwanamke ni aina ya...
  2. JamiiForums Tanzania Funga zipu! Hata Mkeo ni mzuri, sema tu umemzoea

    Kinachofanya wanaume tuwe malaya ni Saikolojia tu hakuna kingine ila wanawake ni wale wale We umesahau siku ya kwanza kumtokea mke wako ni kitu gani kilikuvutia ? Kwani hiko kitu hakipo Mazoea tu yanakufanya umchukulie poa wife wako
  3. JamiiForums Tanzania Angekuwepo hayati JPM asingeruhusu waziri wake aaende Bungeni na mkoba wa mil 14 hata kama ni mkwe wake

    Wananchi wanahanhaika kupata hata maji safi, dawa na hata chakula tu. Alafu Waziri mwenye dhamana na wizara ya afya anaenda Bungeni na mkoba wenye thamani ya mil 14. Hayati Magufuli alikuwa na uchungu na wananchi wake. Asingekubali jambo kama hili.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Martin Maranja: Millennials Tumelifikisha Taifa hapa, hatuwezi kuiwajibisha Serikali hata inapokesea

    Ukiachana na huo utani wa “Millennials” na “Gen Z”, kuna eneo moja nakubaliana na Gen Z 100%. Ni ukweli kwamba Millennials tumelifikisha Taifa letu matopeni. Hatuwezi kuiwajibisha Serikali hata inapokosea. Millennials ndiyo uti wa mgongo wa utumishi wa umma kwa sasa; sisi ndiyo injini ya nchi...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kituo cha SGR – Dar kitengewe sehemu ya madereva kuchukua abiria wao, kulipia buku hata kama unapita tu si sawa

    Madereva tunapata changamoto kubwa pale kwenye Kituo cha SGR kilichopo Stesheni, Dar es Salaam, wanatukamata tukienda kubeba abiria, wanataka tuingie ndani ili tulipie shilingi 1,000, wakati sisi ni madereva wa mtandaoni na pale tunapita tu siyo kwamba tunaenda kuegesha vyombo vyetu. Namaanisha...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO IRUWASA wanakata maji hata kama unadaiwa buku 1 ili ulipie Sh 15,000 ya faini

    Mamlaka ya Maji Iringa IRUWASA inakatia wateja maji hadi wanaodaiwa bili ya shilingi elfu moja kwa mwezi mmoja na kuwalazimu kulipa garama za kurudisha maji elfu 15. Wanafanya hivyo ili mamlaka ya maji iweze kuongeza makusanyo, hatujawasiliana na yeyote hakuna ushirikiliano na wananchi hatuna...
  7. JamiiForums Tanzania Ongeza thamani yako; Sio unahangaika kuomba kazi kumbe kazi yenyewe hata ukipata utaishia kulipwa laki 3

    ONGEZA THAMANI YAKO; SIO UNAHANGAIKA KUOMBA KAZI, KUMBE KAZI YENYEWE HATA UKIIPATA UTAISHIA KULIPWA LAKI 3. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Binti na kijana wangu. Umri wa miaka 10-25 ni umri wa kujijenga hasa kiujuzi, kielimu, kiuzoefu na kimaarifa. 2. Umri wa kuongeza value yako. Utu...
  8. JamiiForums Tanzania No matter what Privacy ni muhimu sana hata wakati wa pillow talk kuwa makini

    Privacy ni muhimu sana kwenye maisha. #privacy is key.
  9. JamiiForums Tanzania Uzuri ni kwamba namba wote tunaisoma. Wakosoaji wa serikali waimba mapambio na kusifu na kuabudu serikali wote tuko kapu moja.

    Uzuri ni kwamba sukari ikipanda bei haichagui wewe ni mwimbaji mzuri wa mapambio au ni mkosoaji wa serikali namba inasomeka maumivu yako palepale. Ukienda kituo cha mafuta kuweka mafuta kwenye gari. wote tunaugulia maumivu kwenye bei ya mafuta haichagui wewe unasifia serikali au ni mkosoaji wa...
  10. JamiiForums Tanzania Hata yule Mfungwa wa Kike kumbe naye ni ASKARI !! Haya Majama yanayomzunguka Samia ni Majinga ,yanafanana Kila kitu

  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA wanahangaika na mikutano ya mitaani wakati hawana hata balozi mmoja hivi vyama vinaongozwa na watu wenye IQ ndogo sana

    Nashangaa kuona CHADEMA wanahangaika na mikutano wakati hawana hata balozi mmoja nchi nzima nadhani Sheria zitungwe ili kudhibiti vurugu za namna hii, Nauliza CHADEMA mnafanya mkutano kwa faida ipi? Hii sasa ni vurugu Sheria itungwe kuwazuia.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Bei sio kigezo tena cha kutambua bidhaa original, Bidhaa feki zimejaa sokoni na tunapigwa kwa bei original

    Bei haionyeshi ubora tena, feki na original vinauzwa sawa sokoni Zamani ilikuwa rahisi kutambua biashara ya bidhaa feki. Wafanyabiashara walikuwa wanauza vitu hivyo kwa bei ya chini kabisa, na mnunuzi alikuwa anajua kabisa kwamba anachonunua si original. Ilikuwa kama makubaliano ya kimya kimya...
  13. JamiiForums Tanzania Je Wajua Chuki ni Ugonjwa?. Chuki ni Ugonjwa Hatari Unaua!, na Unaoambukiza kwa Kasi!. Watanzania Tuacheni Chuki!, Tiba Yake ni Upendo!. Adui Mpende!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo, nikiwahimiza Watanzania, tuache chuki, ni ugonjwa hatari unao eneo kwa kasi kwenye taifa letu, uliokolezwa na kilichotokea October 29. Je ni wangapi miongoni mwetu, wajua kuwa chuki ikizidi ni ugonjwa?. Chuki ni ugonjwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kama Tundu Lisu atakufa na Msimamo wake. Atakuwa ndiye mtanzania shujaa wa muda wote Akifuatiwa na Magufuli. Hao watu hakuna anayesogea Kwa ukaribu

    Habari za Sabato! 1. Bado tunafuatilia mambo yanavyoendelea. 2. Shujaa na Legendary ni Yule mwenye msimamo wa Haki, mwenye uwezo wa kujitoa maisha yake kwaajili ya msimamo wake na kupigania Haki na Ukweli. 3. Si hivyo tuu. Shujaa na legendary katika level ya kitaifa ni Yule ambaye alionyesha...
  15. JamiiForums Tanzania Aisee hata simba wenyewe wamebaki wanashangaa🤣🤣

    https://youtube.com/shorts/ckpjnHkqa9E?si=mG_23v6OuBb17h3T
  16. JamiiForums Tanzania Mzee akamatwa Kenya kwa kuoa mtoto, ajitetea na dini ya Kiislamu, asema ameona hata mtoto wa miaka tisa akiolewa

    Video: Lizee la hovyo la jamii ya Kisomali Kenya umri wa miaka 46 limekamatwa Kenya kwa kuoa katoto, kuhojiwa linasema dini ya kiislamu inaruhusu hata kuoa katoto ka umri wa miaka tisa. Majirani walitoa ripoti kwamba walikua wanaskia huyo mtoto akilia usiku, inasemekana mtoto alikua...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Sheria hairuhusu kutoa Nywila yako hata kwa mpenzi wako

    Mhadhiri Msaidizi wa chuo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (COICT), Merina Lumbalo, anasema kisheria nywila ni ya mtu mmoja na haishauriwi kushirikishwa, hata kwa mtu wa karibu. Ameeleza kuwa simu au kompyuta inaweza kuwa na taarifa binafsi au za kazi, hivyo kutoa nywila kunaweza...
  18. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo hamuwezi kukubalika tena hata mkipiga kelele kubwabwaja ovyo

    Mlishatambulika kuwa mpo Pamoja na CCM na hata wakati wananchi wanapigwa risai ile Oktoba 29 mlikuwa pamoja na CCM mkifanya maigizo ya uchaguzi feki. Leo hii mnazunguka na kujifanya mnapinga uovu na ukandamizaji wa CCM mtandao. Hamuwezi kutoboa hata kitogo.
  19. B

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kwenye hii Dunia, unatakiwa kuheshimu Dola na serikali, uki Mess Up hata Mungu Hana cha kukusaidia

    Ukitafakali kwa undani Mwenyezi Mungu hana muda wa kuhangaika na mambo ya duniani, yeye ni Mtakatifu ktk Mambo ya Mbinguni tu. Hahangaiki na mambo ya ulimwengu huu, uki mess up imekula kwako Je wewe umejifunza nini kwenye dunia ya leo?
  20. JamiiForums Tanzania Kusudi kuu la maisha ni balance (uwiano) na survival. Raha inakuwa fupi kwa maana unajaribu kusavaivu na tabu inakuwa ndefu ili ku-extend uwiano

    Hata ufanye nini asili itakugusa tu, uzembe wa wengine utagusa hata uwe makini kiasi gani, raha itakupata tu kwa wakati fulani na shida itakupata ili wengine wapate raha. LIFE
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…