Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,027
- 33,003
Wananchi wameamka asubuhi, Kisha wamechagua ukatili. Matumizi makubwa sana ya nguvu kumuua mbu, aliye juu ya nyeti za aliyetahiriwa bila ganzi. Pesa zipo bank? GSM zipo mfuko wa shati. Watu wa motoni hao.
Sele Gomez ni Mwananchi, Kuna sajili zina maanisha "Mimi ni Giant kwenye hii nchi" Yanga ni kama yule jamaa mwenye hela kwenye mtaa anaoishi demu wako asiyetosheka..
Leo unamtolea mahari, kesho Anapost miguu kwenye dashboard yupo kwenye gari yetu.
Sele alitangazwa ni mchezaji wa Simba, siku moja mbele ni Mwananchi,
Nikikwambia hawa ni watu wa motoni, Nieleweni. Nb; Ni vile tu hamtaki kuambiwa ukweli.
Note: GSM afungwe Speed governor