hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. Common Folk

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maandamano ya D9 yameshafanikiwa kwa 90%. Hata kama raia hawatatoka barabarani, lakini "Message Sent"

    Hivi mnajua siyo lazima ifanyike "Physical Demonstrations" ndiyo tuyaite maandamano! Maandamano yapo ya aina nyingi ikiwemo "Non Physical Demonstrations" mfano hii "Civil Disobedience" inayoendelea kwa sasa ni maandamano tosha!. Dalili za kwamba tayari maandamano yameshanikiwa hata kabla ya...
  2. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Samia hawezi kutupatia katiba Mpya hata iweje.

    Ukiona watu wanagoma hizi hadaa uwaelewe sana. Machawa wanasema mama yao kasema ataanza mchakato wa katiba mpya kwahio tusimubughuzi. Hivi watanzania Mnahisi hawaelewi maana ya neno MCHAKATO? kwa kiingereza si ina maana ya PROCESS. Sasa process si ina maanisha stages nyingi? Huyu mama...
  3. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hata waliokufa leo walikiona kifo kana kwamba kiko mbaali sana, kisa wewe ni kiongozi unakuwa na Kiburi?

    Kiburi cha wanadamu chatoka wapi? Kwa sababu wewe una cheo fulani na vile unapojiangalia unaona umezungukwa na ulinzi mkali, umezungukwa na kila aina ya silaha ndio sababu ya kuwadhihaki waliokufa leo na wewe kujiona u salama kushinda wao? Unaowadhihaki hao, nao walikiona kifo ni kana kwamba...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Mashahidi wa udhalimu wanasimama, Wananiuliza mambo nisiyoyajua. Wananilipa mabaya badala ya mema, Hata nafsi yangu ikaingia ukiwa

    Sote tuseme Amen Mashahidi wa udhalimu wanasimama, Wananiuliza mambo nisiyoyajua. Zaburi 35:11 12 Wananilipa mabaya badala ya mema, Hata nafsi yangu ikaingia ukiwa. Zaburi 35:12 13 Bali mimi, walipougua wao, Nguo yangu ilikuwa gunia. Nalijitesa nafsi yangu kwa kufunga; Maombi yangu yakarejea...
  5. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Picha kubwa kwa kinachoendelea Tanzania

    Kinachoendelea Tanzania ni mgogoro wa kikanda(East Africa) sababu kubwa ikiwa ni rasilimali zilizopo katika nchi hizo hasa pale DRC. Kwa yanayoendelea Tanzania kutekwa mauwaji etc ni mbinu au mikakati ya ki-intellijensia ku- counterattack mipango ya ki-intellijensia. Diplomasia ya awamu ya nne...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Sio Wikipedia tu, hata tovuti nyingi kubwa Samia hatambuliki kuwa ni Rais

    Nilitoa uzi kuhusu wikipedia kwa watu kama ni raisi utajua wasifu wake. Ila wikipedia inamtambua kipindi kafa magufuri kushika nafasi tu na chini wakaandika machafuko yote ila wadau wengine wakajitokeza kusema wikipedia unaweza kuandika hata wewe. Katika tovuti kubwa ukitafuta habari za...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hiki kinachoendelea kisichofikia hata robo ya vita, nahamasika kujenga zaidi kijijini, ngoma ikivuma sana ikalipuka tutaishi vichakani kama kuku

    Baada ya matukio ya MO29 (Oktoba 29) na sasa tukiwa tunaelekea kwenye maandamano ya D9 (Desemba 9), hali ya taharuki imeongezeka sana. Yale tuliyoyaona MO29—ambayo hata hayafikii robo ya hali ya vita yamenifanya kuwa makini sana. Mijini hali ni ngumu. Huwezi kutulia wakati mambo yanapowaka...
  8. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hata wapinzani wanafunga comments? John Mrema vipi?

    Jon mrema amefunga comments ktk Twitter ktk account yake. Kaandika mambo mengi lkn ukitaka kukoment amezuia. Hata wapinzani wa ccm wanafunga comments?
  9. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kwa hali iliopo sasa, hata report ya CAG ni useless and pointless

    Wanaweza toa report sahihi ila isifanyiwe kazi yoyote mana wahusika ni washirika wa Samia au watatoa report ya kumpamba tu. Kifupi taasisi zote zimeshakua paralyzed na wanafanya kumridhisha au kutomkasirisha samia. Wapigaji nao watatumia mwanya huu ipasavyo. Inasikitisha kuona nchi...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Onyo: Udini ukifanikiwa, hata majeshi yatagawika na wanaotegemea majeshi, nao itakula kwao

    Huu ndio ukweli mchungu kwa mtu yeyote mwenye kuona mbali. Majeshi yakigawika kwa misingi ya imani za kidini, hayawezi kuwa loyal kwa mujibu wa viapo vyao na itawaathiri hata wale wanaotegemea dola iwaweka madarakani. Mtatoa order, ila askari kabla hajatekeleza hio order, atajiuliza kwanza...
  11. ISO M.CodD

    JamiiForums Tanzania Fact Check: Anaposema "hata huko yanatokea" anamaanisha mambo gani yanatokea wapi?

    Tunaambiwa haya mambo yanatokea huko duniani, serikali ya JMT inayaona na haiyasemei kitu. Are we not comparing apples to oranges? Kama ni watu kupigwa risasi huko duniani - je, wanapigwa risasi katika mazingira sawa na yaliyotokea Tanzania? Na je, uwajibikaji baada ya matukio hayo unafanana...
  12. Common Folk

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Hata wafuasi wa vyama vya upinzani walitupigia kura kwa sababu vyama vyao vilikimbia uchaguzi.

  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tundu Lissu hata akiachiwa kwa sasa haina maana yoyote. Too late

    Hamjambo wote! 1. Ndugu zangu Watanzania, mnakumbuka miezi ya nyuma kidogo niliandika nyuzi takribani tatu mfululizo nikiisihi serikali kumiachia Tundu Antipas Lisu. 2. Nafikiri wengi wenu mnakumbuka. Niliandika vile kutokana na sababu kuna Jambo na mambo mengi niliyaona katika spiritual...
  14. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Kuhusu mgongano wa kimaslahi kwa Dkt. Stergomena kuwa kwenye Tume isiwape tabu, wote tumekula kiapo

    Akijibu swali la mwandishi kuhusu uteuzi wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Tax, kujiunga na tume ya kuchunguza yaliyotokea wakati wa uchaguzi pamoja na kuwepo kwa tuhuma kwamba Jeshi analolisimamia lilihusishwa na mauaji ya waandamanaji, mwenyekiti wa tume...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania AU haitashirikiana na serikali ya Guinea-Bissau ambayo haijaua hata mtu mmoja. Serikali ya Samia imeua watu zaidi ya elf 10, alafu AU ipo kimya.

    Umoja wa Afrika (AU) umeisimamisha nchi ya Guinea Bissau kushiriki katika shughuli zake zote, siku mbili baada ya jeshi kumpindua Rais Umaro Sissoco Embaló. Mwenyekiti wa Kamisheni ya AU, Mahmoud Ali Youssouf, amethibitisha kusimamishwa huko, akisema hatua hiyo inachukuliwa kufuatia ukiukaji wa...
  16. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Mawe hana hata mwezi mmoja tangu achaguliwe kuwa bosi eti kashawamisi jirani zake, Michezo

    Huyu hata wiki tatu hana ofisini. Anajifanya kuwamiss majirani zake, michezo hii. Kuna muda anajaribu kujifanya kama Banza Stone lakini hafit kwenye maigizo yake. Mwambieni abadili script bhana, anachuja mapema
  17. Q

    JamiiForums Tanzania D9 dunia nzima itakuwa inaiangalia Tanzania, kitendo cha kuua hata mmoja tu itakuwa One Way Ticket to ICC

    UN is watching YOU. AU is watching YOU. EU is watching YOU. SADC is watching YOU. ICC is watching YOU. EAC is watching YOU. COMMONWEALTH is watching YOU INTERNATIONAL NGO's are watching YOU. COUNTRY FRIENDS are watching YOU. NEIGHBORS are watching YOU. YOUR FRIENDS are watching YOU. TANZANIA...
  18. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kama unaweza anza kuhifadhi pesa kwa Pesa za kigeni kama USD au hata Ksh

    Wana ukumbi very soon tunaenda kushuhudia yale ya Zimbabwe verry soon. Kama unaweza hifadhi pesa kwa USD hata ikibidi Ksh, Mfano nawaza kuanza kuhifadhi kwa Ksh kuanzia sasa make niko jirani nao
  19. Samson Ernest

    JamiiForums Tanzania Sema Kweli Hata Kama Watu Wataipuuza Au Kuikataa

    Eze 2:7 SUV [7] Nawe utawaambia maneno yangu, kwamba watasikia, au kwamba hawataki kusikia; maana hao wanaasi sana. Agizo alililopewa nabii Ezekieli ni kusema na Israeli waliokuwa wanaasi na walio wagumu wa mioyo. Kazi yake ilikuwa kuhakikisha ujumbe wa Mungu unawafikia watu hawa, bila...
  20. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jenerali Jacob John Mkunda Hafai Hata Kuwa Mkuu wa Sungusungu

    Nadhani baada ya kifo cha Rais Magufuli, mrithi wake alitafuta jenerali dhaifu zaidi jeshini ili ampe nafasi ya ukuu wa majeshi ndipo alipomteua ndugu Jacob John Mkunda mzaliwa wa Morogoro na kumpa jukumu hilo kubwa kuliko uwezo wake. Huyu bwana amejikuta akitumika kulinda maslahi ya dola na...
Back
Top Bottom