Habari zenu ndugu zangu natumai mko poa. Kuna jambo, huwa linaumiza sana acha niwashirkishe ndugu zangu.
Kuna wakati, naweza nikawa na mazungumzo na mtu aidha tumekwazana katika jambo fulani, aidha kibiashara, kijamii, kimahusiano n.k, naweza kuta nina hoja za msingi sana, bila matusi, kejeli...