Wakuu hivi ni namna gani unaweza kuepuka kuchangia harusi hasa hawa wanoomba michango randomly kisa tu ulisoma naye unaamka unajikuta kwenye group na wengine wako na audacity unakuta hadi amount ya mchango ameshakujazia.
Imenilazima kuweka private setting za WhatsApp nisiaddiwe kwenye magroup...
Harusi kubwa inaweza kuunda mindset ya zile hadithi za 'forever and ever" na kuji mwambafy katika hadhi fulani hivi, na pia kukuza matarajio yasiyo ya kweli kuhusu ndoa.
Wakati maisha ya kila siku hayalinaginishwi na ukuu wa sherehe yenu, ukakasi unaweza kuwatokea na kusababisha kutoridhikiana...
Mwaka mzima umemaliza zaidi ya milioni 5 kwa ‘upuuzi wa kununua mbususu’ – kila wiki dada poa tofauti, hoteli, vocha, na outing. Lakini ukiambiwa uanze mipango ya harusi unasema “bado muda”, “harusi ni gharama”, au “madem wa siku hizi hawafai kuolewa.” mna shida gani vijana?
Swali langu ni moja...
Nawasalimu Wana-jamiiforums habari zenu? Moja kwa moja kwenye hoja.
Zamani ndoa ilikuwa taasisi takatifu, watu walivumiliana, walilea watoto pamoja na waliheshimu viapo vya ndoa. Lakini siku hizi tunashuhudia talaka zikitolewa kwa sababu kama "Hajanitumia salamu asubuhi" au "hana gari tena"...
Habari wadau.
Wafanyakazi wa wasafi walalamika kucheleweshewa mishahara yao. Huku bosi wao akionekana nigeria akitunza mamilioni ya pesa. Baada ya kutunza harusini Aliingia club na kugawa dola mia mia kwa watu wengii Hasiowajua.. ila wafanyakazi wake anaewajua mishahara hakuna
Waajiri muwe...
Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽
Hivi ni kitu gani kunasababisha mmoja kati ya WANANDOA kulia machozi wakati wa HARUSI?
Maana jambo hili limekuwa likifanywa na WANANDOA wengi tu.
Dada zetu mnafeli wapi? Kwanin wasanii wakubwa hawapendi kuoa dada zetu WA hapa tz?
Jux Kaenda Nigeria
Alikiba alienda Kenya
Benpol alienda Kenya
Na kuna tetesi kuna safari nyingne ya Nigeria kumsindikiza Simba kwani hana mpango WA kumuoa binti kizimkazi.
Hii HARUSI imetikisa, kila siku...
Lisemwalo lipo mtakuja kusikia Ripot nyengine ya CAG kuhusu ccm inavyotumia pesa vibaya kwa kutumia wasanii.
JUX uwezo wa kukatia tiketi watu wote au waliokuja naijeria ni uwongo na wote waliokwenda kule hawana pesa za kuchezea.
Usijeshangaa pesa walizopata ni kuishawishi CCM ya serikali kuwa...
Wazee basi, Jana katika Harakati nikiwa nimeenda kwenye sherehe mshikaji alikua anaoa
Sherehe, ilifana sana basi kama kawaida nikawa napiga zangu bia meza yetu ilkua ni kreti la safari larger na kali moja
Ikafika muda wakuu kibofu kikatingwa Ikabidi niende maliwato kupunguza acid,
Nje...
Mtangazaji wa Clouds FM, Samuel Nathaniel Sasali akielezea sababu za kwa nini huwa haposti sherehe anazosherehesha.
Pia soma
~ Ma-MC wanaosambaza picha za Watu bila ridhaa waonywa
~ Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi: Ukitumia taarifa bInafsi za mtu bila idhini yake Faini Tsh. Milioni 100
~ Ijue...
Eid Mubarak WanaJF.
Naomba kuuliza kama kuna faida yoyote ya sherehe za harusi kufanyika usiku.
Harusi imefungwa mapema mchana au Jioni lakini shughuli za Ukumbini zinaanza saa 2 usiku mpaka saa 6 usiku pengine na kuendelea mpaka asubuhi.
Chakula na vinywaji vinaliwa kuanzia saa 4 usiku watu...
Salaam ,Shalom!
Siku za mwisho imeandikwa Upendo wa wengi utapoa,
Yaani ufunge ndoa kanisani, tukushangilie Kisha chakula kiende kuliwa ukumbini Tena kwa kundi dog tu la watu!
Kiukwelli zamani palikuwa na upendo, likuwa Kila jumamosi au jumapiili sie watoto wa uswazi hatukukosa pilau la...
Katika miaka ya hivi karibuni, ugonjwa wa misplaced priorities umekuwa janga sugu miongoni mwa Watanzania. Tunaishi kama watu waliopoteza dira—tukisherehekea anasa na matumizi ya kipuuzi huku tukilia na kulalamika kuhusu ukosefu wa ajira, huduma mbovu za afya, na umaskini. Ni jambo la kushangaza...
Kuna watu kule utopoloni wanaodhani wana akili kuliko watu wengine walipanga harusi ya Aziz Ki iende kufunika droo ya robo fainali ya CAF. Harusi ikajaa media za youtube ili tu kutafuta trend.
Wazee wa Ubaya Ubwela wakasema aha kumbe tunaenda hivi? Kuna tukio likatokea huko Makanjiro sijui au...
Kama mdau mkubwa wa soka Tanzania na mwanafamilia nimepewa na kupokea mwaliko katika harusi ya Hamisa Mobetto na MVP wa NBC Premiere League 2023-24 Stephanie Aziz Ki.
Harusi hii itafanyika ukumbi wa The SuperDome.
Mwaka huu mafanikio yoyote ya mpira pale Uto tusahau ila harusi tunayo 🤣😂...
Kodi gari lenye uhakika na Rhond's company limited linalofaa kwa mahitaji yako yote ya kusafiri.
📅 Yanapatikana sasa – weka oda mapema uhakikishe tarehe zako!
✅ Bei nafuu
✅ Magari masafi na yanayotunzwa
Piga simu/WhatsApp +255 655 633 302
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.