harusi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Akina dada kumpa Ex wako penzi siku moja kabla ya harusi huwa mnafikiria nini?

    Inashangaza sana mdada anakuwa na mtu wake kwa muda mrefu lakini hamuoi na wala hana mpango wa kumuoa. Lakini anakuja kupata mtu wa kumuoa cha ajabu kabla ya harusi anakwenda kumpa penzi na anagongwa kana kwamba sio mchumba wa mtu. Hii inashangaza sana.
  2. Chiferereji Cha jisatu

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli 85% ya ndoa za Harusi huvunjwa na walioshiriki harusi

    Aiseeh Leo katika pita pita zangu mm huwa syo mtu wa story za vjiwen ila Leo mlienda mahali tulikuw wanaume tu bas story zlipgwa nyingiii akina s unajua palpo na wanaume wanawake pia huongelewa😂😂, kama ilivo kwenye saloon za wanawake pia wanaume huongelewa 🥲🥲 Ikaja Agenda kama ilivosome hapo...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania No Reforms No Election yatua kwenye harusi huko Mbeya

    Wakuu Mnaoamini kuwa hii kauli mbinu imeisha wakati au utamu mjue kabisa hii ngoma inazidi kupenya katika matukio mbalimbali yanayofanyika katika jamii tazama hii video huko mbeya watu wapo harusini lakini kauli ipo pale pale.
  4. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Moto wa No reforms no Election watinga kwenye harusi ya Kamanda

    GT. Moto wa No reforms no.Election hakuna wa kuuzima maana aliyeuwasha amefungwa ukonga na watu wanamwelewa sana.
  5. Damaso

    JamiiForums Tanzania Harusi ni ya Mwanamke, Ndoa ni ya Mwanaume

    Katika dunia ya sasa, harusi imegeuka kuwa tamasha la kuonyesha mali, hadhi na umaarufu. Watu wengi – hasa wanaume – wanajikuta wakilazimika kutumia mamilioni ili kufanikisha harusi ya kifahari, ilhali maisha ya ndoa yanayofuata yanakuwa magumu, yenye mivutano na yasiyo na furaha. Ni wakati...
  6. Busu la Kenge

    JamiiForums Tanzania Nasikitika sijaalikwa kwenye Harusi ya Jeff Bezos

    Hapa nilipo nalia balaa. Nilitarajia na nilikuwa na uhakika kualikwa kwenye Harusi ya Karne ya boss wa Amazon Jeff Bezos na Lauren Sanchez na kuwa mwafrika mweusi pekee kutoka Africa kuhudhuria Harusi Hiyo. Yani wamepiga kimya Kabisa wakati Mimi ni Kati ya mteja mzuri wa Amazon duniani.
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kero ya Kutegemea Michango kwa Harusi au Tafrija

    Katika nchi kama Tanzania, harusi au tafrija kubwa haziwezi kufanyika bila kuchangiwa na marafiki, ndugu na jamii kwa ujumla. Ingawa utamaduni huu una asili ya mshikamano na upendo wa kijamii, hali imebadilika na kuwa kero kubwa kwa watu wengi. Leo hii, mtu anapotangaza kufunga ndoa, mara moja...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hatukopi kununua sare za harusi, tunakopa kujenga mashule nk

    Tukumbushane Mheshimiwa Rais alisema hatukopi ili kununua sare za harusi, badala yake tunakopa kujenga Mashule nk. Usisahau kua deni limefika 107t Na leo tumeambiwa uchumi wetu unafanya vizuri kuliko ulaya na Marekani. Shule zetu ndo hizo wajameni baada ya miaka 63 ya uhuru
  9. Knock life

    JamiiForums Tanzania Nikija kuoa nitatumia Mfumo wa tonetone kuchangisha Michango ya harusi yangu .

    Wakuu, nikitaka kuoa nitatumia mfumo wa Tonetone katika kuchangisha PESA za harusi yangu.
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Watanzania wako tayari kuchangia harusi, sio gharama za matibabu ya Mtoto - Dtk. Mollel

    Serikali imetoa wito kwa wananchi kubadilika na kuwekeza katika bima ya afya kama njia ya kujiandaa na changamoto za kiafya, ikiwemo gharama kubwa za matibabu ya magonjwa kama saratani. Wito huo umetolewa Bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, alipokuwa akijibu swali...
  11. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Michango ya Harusi

    Michango ya harusi imekuwa mzigo kwa familia na wachangiaji. Ingawa ni desturi ya kijamii kutoa michango katika matukio haya, ni naona lazima kutafakari kama michango hii inasaidia kweli familia au inawaongezea mzigo wa kifedha. Badala ya kuendelea na utaratibu wa kuchangia harusi na misiba, ni...
  12. Jchris14

    JamiiForums Tanzania Una mashaka na chakula cha sherehe mfano harusi au msiba nini cha kufanya?

    Wakuu afya njema iwe nanyi. Nina swali kwenu, mfano una mashaka au wasiwasi na usalama wa chakula cha sherehe fulani kama vile harusi au msiba nikiwa na maana ya labda kimefanyiwa ulozi au mavitu fulani ili kuchukua faida fulani kwa walaji. Nini cha kufanya kwa haraka haraka hapo endapo kama...
  13. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Kijana katuambia anataka kufanya harusi (kuoa) yeye kaandaa laki moja tu, anaomba aongezewe pesa iliyobaki

    Kijana kaomba aongezewe pesa iliyobaki ili aweze kufanya sherehe kabambe. Wakuu mtu kama huyu anasaidiwa vipi huko kwenu?
  14. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Alikubali tuanzishe mahusiano wakati ashatolewa mahari na harusi inasubiri kupangiwa tarehe

    WAKUU KILE KISA CHA MSHANGAZI AMBACHO NILIWAAHIDI NDIO HIKI HAPA. Hiki kisa kinanikumbusha kipindi Mama yangu mzazi alipo gundua kuwa nimeanza kuingia kwenye ulimwengu wa mapenzi (kushenyenta) aliwahi kunikalisha chini na kuniambia, katika kufanya ujinga wangu wote niogope sana watu wa aina...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Michango ya harusi too much

    Wakuu hivi ni namna gani unaweza kuepuka kuchangia harusi hasa hawa wanoomba michango randomly kisa tu ulisoma naye unaamka unajikuta kwenye group na wengine wako na audacity unakuta hadi amount ya mchango ameshakujazia. Imenilazima kuweka private setting za WhatsApp nisiaddiwe kwenye magroup...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Katika mila za Kalabari, bi harusi hatacheka wala kutabasamu hadi atakaporidhika na kiasi cha pesa anachomwagiwa wakati wa ndoa ya kitamaduni

  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Usifanye sherehe ya harusi kama unataka ndoa yako idumu.

    Harusi kubwa inaweza kuunda mindset ya zile hadithi za 'forever and ever" na kuji mwambafy katika hadhi fulani hivi, na pia kukuza matarajio yasiyo ya kweli kuhusu ndoa. Wakati maisha ya kila siku hayalinaginishwi na ukuu wa sherehe yenu, ukakasi unaweza kuwatokea na kusababisha kutoridhikiana...
  18. Friji la mtumba

    JamiiForums Tanzania Unamwaga laki kwa dada poa kila wiki, lakini harusi unaona ni gharama kubwa – vijana mmerogewa wapi?

    Mwaka mzima umemaliza zaidi ya milioni 5 kwa ‘upuuzi wa kununua mbususu’ – kila wiki dada poa tofauti, hoteli, vocha, na outing. Lakini ukiambiwa uanze mipango ya harusi unasema “bado muda”, “harusi ni gharama”, au “madem wa siku hizi hawafai kuolewa.” mna shida gani vijana? Swali langu ni moja...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Je, ndoa za siku hizi ni biashara au mapenzi? Mbona talaka zimekuwa nyingi kuliko harusi?😩

    Nawasalimu Wana-jamiiforums habari zenu? Moja kwa moja kwenye hoja. Zamani ndoa ilikuwa taasisi takatifu, watu walivumiliana, walilea watoto pamoja na waliheshimu viapo vya ndoa. Lakini siku hizi tunashuhudia talaka zikitolewa kwa sababu kama "Hajanitumia salamu asubuhi" au "hana gari tena"...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Wasafi hawajalipwa mishahara miezi kadhaa ila bosi wao anaonekana anatunza mamilioni kwenye harusi Nigeria

    Habari wadau. Wafanyakazi wa wasafi walalamika kucheleweshewa mishahara yao. Huku bosi wao akionekana nigeria akitunza mamilioni ya pesa. Baada ya kutunza harusini Aliingia club na kugawa dola mia mia kwa watu wengii Hasiowajua.. ila wafanyakazi wake anaewajua mishahara hakuna Waajiri muwe...
Back
Top Bottom