harusi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Michango ya harusi too much

    Wakuu hivi ni namna gani unaweza kuepuka kuchangia harusi hasa hawa wanoomba michango randomly kisa tu ulisoma naye unaamka unajikuta kwenye group na wengine wako na audacity unakuta hadi amount ya mchango ameshakujazia. Imenilazima kuweka private setting za WhatsApp nisiaddiwe kwenye magroup...
  2. JamiiForums Tanzania VIDEO: Katika mila za Kalabari, bi harusi hatacheka wala kutabasamu hadi atakaporidhika na kiasi cha pesa anachomwagiwa wakati wa ndoa ya kitamaduni

  3. JamiiForums Tanzania Usifanye sherehe ya harusi kama unataka ndoa yako idumu.

    Harusi kubwa inaweza kuunda mindset ya zile hadithi za 'forever and ever" na kuji mwambafy katika hadhi fulani hivi, na pia kukuza matarajio yasiyo ya kweli kuhusu ndoa. Wakati maisha ya kila siku hayalinaginishwi na ukuu wa sherehe yenu, ukakasi unaweza kuwatokea na kusababisha kutoridhikiana...
  4. JamiiForums Tanzania Unamwaga laki kwa dada poa kila wiki, lakini harusi unaona ni gharama kubwa – vijana mmerogewa wapi?

    Mwaka mzima umemaliza zaidi ya milioni 5 kwa ‘upuuzi wa kununua mbususu’ – kila wiki dada poa tofauti, hoteli, vocha, na outing. Lakini ukiambiwa uanze mipango ya harusi unasema “bado muda”, “harusi ni gharama”, au “madem wa siku hizi hawafai kuolewa.” mna shida gani vijana? Swali langu ni moja...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Je, ndoa za siku hizi ni biashara au mapenzi? Mbona talaka zimekuwa nyingi kuliko harusi?😩

    Nawasalimu Wana-jamiiforums habari zenu? Moja kwa moja kwenye hoja. Zamani ndoa ilikuwa taasisi takatifu, watu walivumiliana, walilea watoto pamoja na waliheshimu viapo vya ndoa. Lakini siku hizi tunashuhudia talaka zikitolewa kwa sababu kama "Hajanitumia salamu asubuhi" au "hana gari tena"...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Wasafi hawajalipwa mishahara miezi kadhaa ila bosi wao anaonekana anatunza mamilioni kwenye harusi Nigeria

    Habari wadau. Wafanyakazi wa wasafi walalamika kucheleweshewa mishahara yao. Huku bosi wao akionekana nigeria akitunza mamilioni ya pesa. Baada ya kutunza harusini Aliingia club na kugawa dola mia mia kwa watu wengii Hasiowajua.. ila wafanyakazi wake anaewajua mishahara hakuna Waajiri muwe...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Watanzania punguzeni "romantic scenes" kwenye harusi. Unamlisha mwenza keki "kinywa kwa kinywa" mbele ya wakwe zako Seriously??

    UTABIRI: Mpaka kufika 2030, watoto wa 2000 wataanza kulana denda mbele ya wakwe zao kwenye harusi kwa kigezo cha "Westernization"
  8. JamiiForums Tanzania Ni kipi kinachowaliza WANANDOA siku ya harusi?

    Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽 Hivi ni kitu gani kunasababisha mmoja kati ya WANANDOA kulia machozi wakati wa HARUSI? Maana jambo hili limekuwa likifanywa na WANANDOA wengi tu.
  9. JamiiForums Tanzania Hivi tokea afrika iumbwe kumeshawahi kutokea harusi kama hii? Dada zetu wa kitanzania mjitafakari

    Dada zetu mnafeli wapi? Kwanin wasanii wakubwa hawapendi kuoa dada zetu WA hapa tz? Jux Kaenda Nigeria Alikiba alienda Kenya Benpol alienda Kenya Na kuna tetesi kuna safari nyingne ya Nigeria kumsindikiza Simba kwani hana mpango WA kumuoa binti kizimkazi. Hii HARUSI imetikisa, kila siku...
  10. JamiiForums Tanzania Na wasiwasi na Harusi ya JUX na pesa zinachezewa na CCM kutoka serikali

    Lisemwalo lipo mtakuja kusikia Ripot nyengine ya CAG kuhusu ccm inavyotumia pesa vibaya kwa kutumia wasanii. JUX uwezo wa kukatia tiketi watu wote au waliokuja naijeria ni uwongo na wote waliokwenda kule hawana pesa za kuchezea. Usijeshangaa pesa walizopata ni kuishawishi CCM ya serikali kuwa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Sitarudia kutongoza tena kwenye harusi

    Wazee basi, Jana katika Harakati nikiwa nimeenda kwenye sherehe mshikaji alikua anaoa Sherehe, ilifana sana basi kama kawaida nikawa napiga zangu bia meza yetu ilkua ni kreti la safari larger na kali moja Ikafika muda wakuu kibofu kikatingwa Ikabidi niende maliwato kupunguza acid, Nje...
  12. JamiiForums Tanzania Sam Sasali: Nilipost Maharusi kumbe Bwana Harusi ana mke mwingine, kesi ikaniungukia

    Mtangazaji wa Clouds FM, Samuel Nathaniel Sasali akielezea sababu za kwa nini huwa haposti sherehe anazosherehesha. Pia soma ~ Ma-MC wanaosambaza picha za Watu bila ridhaa waonywa ~ Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi: Ukitumia taarifa bInafsi za mtu bila idhini yake Faini Tsh. Milioni 100 ~ Ijue...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Je kwanini sherehe nyingi za harusi hufanyika usiku?

    Eid Mubarak WanaJF. Naomba kuuliza kama kuna faida yoyote ya sherehe za harusi kufanyika usiku. Harusi imefungwa mapema mchana au Jioni lakini shughuli za Ukumbini zinaanza saa 2 usiku mpaka saa 6 usiku pengine na kuendelea mpaka asubuhi. Chakula na vinywaji vinaliwa kuanzia saa 4 usiku watu...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Harusi mfungie kanisani, wali ukaliwe ukumbini, huo SI Upendo enyi watu wa Mungu!

    Salaam ,Shalom! Siku za mwisho imeandikwa Upendo wa wengi utapoa, Yaani ufunge ndoa kanisani, tukushangilie Kisha chakula kiende kuliwa ukumbini Tena kwa kundi dog tu la watu! Kiukwelli zamani palikuwa na upendo, likuwa Kila jumamosi au jumapiili sie watoto wa uswazi hatukukosa pilau la...
  15. JamiiForums Tanzania Kulazimisha Vijana Jobless Kuhudhurua Vikao vya Harusi Mkikusanya Mamilioni ili Mchome kwa Siku Moja ni Upunguani wa Hali ya Juu

    Katika miaka ya hivi karibuni, ugonjwa wa misplaced priorities umekuwa janga sugu miongoni mwa Watanzania. Tunaishi kama watu waliopoteza dira—tukisherehekea anasa na matumizi ya kipuuzi huku tukilia na kulalamika kuhusu ukosefu wa ajira, huduma mbovu za afya, na umaskini. Ni jambo la kushangaza...
  16. JamiiForums Tanzania Harusi ya Aziz Ki imefanyiwa Ubaya Ubwela

    Kuna watu kule utopoloni wanaodhani wana akili kuliko watu wengine walipanga harusi ya Aziz Ki iende kufunika droo ya robo fainali ya CAF. Harusi ikajaa media za youtube ili tu kutafuta trend. Wazee wa Ubaya Ubwela wakasema aha kumbe tunaenda hivi? Kuna tukio likatokea huko Makanjiro sijui au...
  17. JamiiForums Tanzania Harusi iliyokosa chakula,kweli mmetuweza

    Mliwaza nini. Mbona wewo
  18. JamiiForums Tanzania JAMAN wenye picha za ndoa ya MH Aziz ki Bwana harusi

    Rejea somo HAPO juu Waliohudhuria TUNAOMBA picha za harusi ya Aziz ki vs mobeto h
  19. JamiiForums Tanzania Nimealikwa kwenye harusi ya Hamisa Mobetto na Aziz Ki. Are you invited?

    Kama mdau mkubwa wa soka Tanzania na mwanafamilia nimepewa na kupokea mwaliko katika harusi ya Hamisa Mobetto na MVP wa NBC Premiere League 2023-24 Stephanie Aziz Ki. Harusi hii itafanyika ukumbi wa The SuperDome. Mwaka huu mafanikio yoyote ya mpira pale Uto tusahau ila harusi tunayo 🤣😂...
  20. JamiiForums Tanzania Magari ya kukodi/Car rental

    Kodi gari lenye uhakika na Rhond's company limited linalofaa kwa mahitaji yako yote ya kusafiri. 📅 Yanapatikana sasa – weka oda mapema uhakikishe tarehe zako! ✅ Bei nafuu ✅ Magari masafi na yanayotunzwa Piga simu/WhatsApp +255 655 633 302
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…