Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Hapa nilipo nalia balaa. Nilitarajia na nilikuwa na uhakika kualikwa kwenye Harusi ya Karne ya boss wa Amazon Jeff Bezos na Lauren Sanchez na kuwa mwafrika mweusi pekee kutoka Africa kuhudhuria Harusi Hiyo.
Yani wamepiga kimya Kabisa wakati Mimi ni Kati ya mteja mzuri wa Amazon duniani.
Yani wamepiga kimya Kabisa wakati Mimi ni Kati ya mteja mzuri wa Amazon duniani.