harusi

  1. Mr George Francis

    Acha kusumbua watu wakuchangie kwenye harusi yako

    Harusi ni sherehe inayofanyika baada ya agano la ndoa. Unapowaza kufanya harusi usifikirie kuhusu pesa zilizopo kwenye mifuko ya watu. Angalia mfuko wako mwenyewe kama unaweza kumudu gharama za sherehe ya harusi au ufunge tu ndoa bila sherehe. Hakikisha huna deni kwa mtu yeyote baada ya...
  2. MK254

    Jamaa ajilipua kwa bomu kwenye harusi huko Pakistan

    Kuwaelewa makobaz kunahitaji elimu isiyo ya kawaida. DERA ISMAIL KHAN, Pakistan – The death toll from a suicide bombing at a wedding near the Afghan border rose to seven on Jan 24, police said, as Pakistan struggles to deal with a rising wave of militant attacks The bombing tore through a...
  3. Kazanazo

    Je nisipo hudhuria harusi ya rafiki huyu kuna lawama?

    Ni rafiki wa kushibana kwetu kama kwao na kwao kama kwetu, urafiki wetu ni zaidi ya undugu maana tunasaidiana kuliko hata hao ndugu zetu wanavyo tusaidia Urafiki wetu ulianza na kukua kwa kasi tukiwa school na kwa bahati nzuri kila tukivuka level moja kwenda nyingine tunajikuta tumepangiwa...
  4. Jokajeusi

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Bikra ni alama ya uaminifu na baraka kwa kizazi chako Habarini Wakuu, Naweza kuwa tofauti na wengi, naweza nisiungwe mkono na wengi hasa wale waliooa na walioolewa, lakini ninachojaribu kueleza hapa ni suala lenye manufaa kwa familia, jamii, taifa na dunia kwa ujumla. Ni suala litakalo iweka...
  5. Brightburn

    Tunatengeneza kadi na website ya harusi yako

    Ifanye harusi yako iwe ya kisasa zaidi kwa kuwa na website ya harusi ambayo itakuwa na picha za matukio yote yaliyofanyika ukumbini na utaweza kushare na marafiki, ndugu au familia yako. Utapata website hii kutoka HAMIA DIGITAL na hosting ya miezi 6 bure kabisa! Unachotakiwa kufanya ni kununua...
  6. Damaso

    Gharama za michango ya harusi na sintofahamu ya chakula

    Hivi karibuni kwenye mijadala ya harusi, gumzo limekuwa kadi za mchango. Ukitazama kadi, single unachangia elfu 50, double elfu 90. Hapo mtu anajisikia kama amenunua Tiketi ya Mechi fulani, kumbe unakwenda kuwapiga tafu watu katika harusi yao. Lakini ukifika, unakutana na ujumbe kuwa: “Chakula...
  7. Mad Max

    Harusi za siku hizi za kipuuzi sana. Eti mtu unakodi hadi Maids waje kunogesha sherehe. Really?

    Aisee harusi zina vikorombwezo vya ajabu ajabu sana ndio vinapelekea kusumbuana na msg za michango na kuingia madeni wanandoa. Mfano: 1. Kukodi ukumbi - Mil 4 2. Mapambo - Laki 5 3. Music - Mil 1 4. MC - Laki 5 5. Cameraman - Laki 5 6. Kukodi magari ya maharusi Mil 1 7. Coaster za ndugu - Laki...
  8. Jaji Mfawidhi

    DOKEZO Ukumbi Wa Harusi Bethany Mikocheni-Kwa Warioba siri zavuja!

    Hongereni kwa kazi na wasomi poleni kwa Masomo, machawa tunawashukuru na wasanii pia kwa kutusimanga sisi wasomi ! Ukumbi wa Bethany unaomilikiwa na thehebu lisiloamini YEsu, wanamiliki ukumbi wa Harusi mikocheni kwa Warioba njia ya kwenda viwandani. MAUZA UZA YA UKUMBI:- Ukumbi ni ghali...
  9. Diaspora Messenger

    Karibu kwa Huduma ya Ukodishaji wa Magari, | Harusi, shughuli binafsi n.k.

    KARIBU KWA HUDUMA YA UKODISHAJI MAGARI For Car Rental Services | Kwa Huduma ya Ukodishaji wa Magari Karibu! Tunatoa huduma bora za ukodishaji wa magari kwa harusi, shughuli binafsi, na matukio mengineyo. AINA YA MAGARI NA BEI ZETU: 1. Mercedes Benz - G Wagon: Tsh 2,300,000 - All Sedan...
  10. McLaren

    Video: Kwa utaratibu huu uliopo kwenye harusi ya kabila hili la Kinigeria, wanaume wenzangu tungetoboa kweli?

    Wakuu, Nimekutana na video hii ya harusi ya watu wa kabila moja huko Nigeria, nimewaza sana kwa vyuma vilivyokaza sidhani kama wanaume wa Kitanzania hasa wa Daslam wangeweza. Huu utaratibu uko huko kwenye kabila moja la Nigeria linaitwa Ijaw ambapo mwanamke akiwa Bi Harusi kwenye harusi yake...
  11. Papillon 1906

    Heshima kwa wageni kuendelea kuwepo eneo la tukio

    Wanandoa nchini Filipino wamewashangaza watu wengi ulimwenguni baada ya kuendesha shughuli za harusi yao katika kanisa ambalo limejaa maji kutokana na dhoruba na mafuriko. Bwana Newlyweds Jade Rick na Jamaica kiss - wanaeleza Maamuzi hayo kwao ni kama kujitoa sadaka katika jambo Lao, lakini...
  12. Brightburn

    Kadi nzuri za harusi kwa Tsh 950 tu!

    Ofa ya kadi za harusi, send-off, michango, graduation, komunio, na mialiko mingine mbali mbali. Utapata ofa hii kuanzia leo hadi mwezi wa nane tarehe 29, gharama ya kawaida ni Tsh 1500 kwa kadi moja, pata kwa ofa ya Tsh 950 kwa kadi moja (kuanzia kadi 100). OFA inaambatana na; Kudesign kadi...
  13. M

    Akina dada kumpa Ex wako penzi siku moja kabla ya harusi huwa mnafikiria nini?

    Inashangaza sana mdada anakuwa na mtu wake kwa muda mrefu lakini hamuoi na wala hana mpango wa kumuoa. Lakini anakuja kupata mtu wa kumuoa cha ajabu kabla ya harusi anakwenda kumpa penzi na anagongwa kana kwamba sio mchumba wa mtu. Hii inashangaza sana.
  14. Chiferereji Cha jisatu

    Je ni kweli 85% ya ndoa za Harusi huvunjwa na walioshiriki harusi

    Aiseeh Leo katika pita pita zangu mm huwa syo mtu wa story za vjiwen ila Leo mlienda mahali tulikuw wanaume tu bas story zlipgwa nyingiii akina s unajua palpo na wanaume wanawake pia huongelewa😂😂, kama ilivo kwenye saloon za wanawake pia wanaume huongelewa 🥲🥲 Ikaja Agenda kama ilivosome hapo...
  15. DuaZaMama

    No Reforms No Election yatua kwenye harusi huko Mbeya

    Wakuu Mnaoamini kuwa hii kauli mbinu imeisha wakati au utamu mjue kabisa hii ngoma inazidi kupenya katika matukio mbalimbali yanayofanyika katika jamii tazama hii video huko mbeya watu wapo harusini lakini kauli ipo pale pale.
  16. The Burning Spear

    Moto wa No reforms no Election watinga kwenye harusi ya Kamanda

    GT. Moto wa No reforms no.Election hakuna wa kuuzima maana aliyeuwasha amefungwa ukonga na watu wanamwelewa sana.
  17. Damaso

    Harusi ni ya Mwanamke, Ndoa ni ya Mwanaume

    Katika dunia ya sasa, harusi imegeuka kuwa tamasha la kuonyesha mali, hadhi na umaarufu. Watu wengi – hasa wanaume – wanajikuta wakilazimika kutumia mamilioni ili kufanikisha harusi ya kifahari, ilhali maisha ya ndoa yanayofuata yanakuwa magumu, yenye mivutano na yasiyo na furaha. Ni wakati...
  18. Busu la Kenge

    Nasikitika sijaalikwa kwenye Harusi ya Jeff Bezos

    Hapa nilipo nalia balaa. Nilitarajia na nilikuwa na uhakika kualikwa kwenye Harusi ya Karne ya boss wa Amazon Jeff Bezos na Lauren Sanchez na kuwa mwafrika mweusi pekee kutoka Africa kuhudhuria Harusi Hiyo. Yani wamepiga kimya Kabisa wakati Mimi ni Kati ya mteja mzuri wa Amazon duniani.
  19. Fbn

    Kero ya Kutegemea Michango kwa Harusi au Tafrija

    Katika nchi kama Tanzania, harusi au tafrija kubwa haziwezi kufanyika bila kuchangiwa na marafiki, ndugu na jamii kwa ujumla. Ingawa utamaduni huu una asili ya mshikamano na upendo wa kijamii, hali imebadilika na kuwa kero kubwa kwa watu wengi. Leo hii, mtu anapotangaza kufunga ndoa, mara moja...
  20. M

    Hatukopi kununua sare za harusi, tunakopa kujenga mashule nk

    Tukumbushane Mheshimiwa Rais alisema hatukopi ili kununua sare za harusi, badala yake tunakopa kujenga Mashule nk. Usisahau kua deni limefika 107t Na leo tumeambiwa uchumi wetu unafanya vizuri kuliko ulaya na Marekani. Shule zetu ndo hizo wajameni baada ya miaka 63 ya uhuru
Back
Top Bottom