harmonize

  1. JamiiForums Tanzania Maeneo matano ulipo ushindani wa Rayvanny na Harmonize

    Mwimbaji wa Bongofleva toka WCB Wasafi, Rayvanny amemtambulisha msanii wa kwanza aliyesainiwa chini ya lebo yake ya Next Level Music (NLM), Mac Voice tangu kuanzishwa kwake Machi 2021. Kabla ya kusaini NLM, Mac Voice tayari ameshasikika kwenye Bongofleva kwa kipindi cha nyuma ambapo alikuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Hii ni aibu kubwa sana kwa Harmonize

    Nasema tena hii ni Aibu kubwa sana kwa Harmonize Waliobahatika Kuangalia ICU leo watanielewa Harmonize kwa Kujimwambafai Instagram aha Anaongoza ila in Real life ni anasikitisha hivi kweli Msanii anashindwa kuclear rent anayodaiwa na mwenye nyumba yake yaani analeta Ustar hadi kwenye Kulipa Kodi...
  3. JamiiForums Tanzania Ni kweli Harmonize anadaiwa Kodi Na Eng. Usiri

    Wakuu lem declare interest Kwamba mimi ni sehemu ya Eng. Usiri ambae Alikuwa ni Land Lord Wa Msanii Harmonize. Msanii Hrmonize ni Kweli anadaiwa Kodi na Mjomba Yangu Wangu Eng. Usiri na Aliondoka Pale Mbezi Usiku Bila Kuaga na Mpaka Sasa Ajakabidhi Nyumba Ya Eng. Usiri. Hata Wakili wake...
  4. JamiiForums Tanzania Harmonize ni star anayekimbiza sanaa kwa sasa

    Harmonize kweli anakimbiza sanaaa hasa ukitembea kumbi nyingi za Starehe ngoma zake ndo zina bamba sanaaa. Hata Kajalee naona kama anamuwaza dogo sana hasa na Post zake kule Inst.Na hisi kwa jinsi anavyo kubalika. Anangoma zikigongaa hatarii na jamaa hana shobo japo watz wengi wanaaminishwa...
  5. JamiiForums Tanzania Harmonize ku"fake"idadi ya viewers ya wimbo wake mpya Teacher

  6. JamiiForums Tanzania Pasha: Mnanikosea heshima kunishindanisha na Harmonize

    BURUDANI Mnanikosea heshima kunishindanisha na Harmonize. Hapo jana Msanii Pasha Mtepa akifanya Mahojiano na kituo cha Runinga cha East Afrika TV alisema watu wanamkosea heshima kumshindanisha na Harmonize kwa sababu yeye ndio wa kwanza kuuwakilisha mkoa wa Mtwara na amekaa muda mrefu kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Harmonize - Teacher (Official Audio)

    Ingizo jipya kwenye burudani
  8. JamiiForums Tanzania Zuchu amkimbiza vibaya mno Harmonize licha ya kutumia maroboti

    Zuchu na harmonize waliachia nyimbo zao siku moja huko youtube Lakini katika hali ya kushangaza views za Harmonize zilionekana kupaa ghafla kwa speed ya light 😅😅😅 mpaka watu tukawa tunashangaa imekuwaje? Sasa ni wiki nne kamili zimepita toka waachie nyimbo zao na kwa hali isiyo ya kawaida...
  9. JamiiForums Tanzania Harmonize aja na wimbo mpya, atangaza yeye ndio Mwalimu wa Amapiano

    Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya maarufu kama Bongo Flava Harmonize ametoa wimbo unaoitwa Mang'dakiwe Remix ambao amesema ni Darasa la Amapiano kwa wasanii wengine. Darasa hili la amapiano linakuja wakati Diamond Platnumz amekuwa akitamba na Wimbo wa Amapiano unaoitwa "IYO".
  10. JamiiForums Tanzania Harmonize hana haja ya kuwa na baunsa sasa...

    Jamaa amejazia kinoma utadhani umaga wa kwenye mieleka.. Hata sadala ataanza kumuogopa sasa. Anatisha mmakonde... Nawasilisha Nb. Hebu tuangalie upande wa pili wa samaki. Tumuone mwalimu wake na role model wake maana ndie aliyemfundisha.
  11. JamiiForums Tanzania Kilichomponza Nay wa Mitego kublokiwa na Harmonize

    Nay wa Mitego amesema yeye ni mtu ambaye hapindishipindishi maneno na kama ukikosea au ukimzingua atakuchana ukweli labda hiyo ndiyo sababu ya Harmonize kujishtukia na kumblock Instagram. "Mimi sina tatizo na Harmonize, nipo straight sana hata kama ni mshkaji wangu ukinizingua au ukinikosea...
  12. JamiiForums Tanzania WCB lebo ya Diamond imegeuka kuwa kiwanda cha kutoa mastaa katika levo za juu mno

    WCB lebo ya Diamond imegeuka kuwa kiwanda cha kutoa mastaa katika levo za juu mno, Kuna waliofata nyayo za kijana lakini hali hairidhishi, kuna lebo kama kings music ya alikiba na konde gang ya harmonize hizi lebo wasanii wake wamekuwa wakipata wakati mgumu kutoboa ikafika kipindi hadi wasanii...
  13. JamiiForums Tanzania Views za Harmonize YouTube kupanda ghafla zinatia shaka

    Njooni tujadili kupanda kwa viewers wa nyimbo zake , je ni kweli ananunua viewers. Nyimbo yake ya sandakalawe ilikuwa na viewers 400k baada ya masaa machache ikawa na viewers 1.5 m
  14. JamiiForums Tanzania Wimbo wa Harmonize wa Sandakalawe wazuiwa youtube, sababu wasema ni kuiuka hakimiliki za kampuni ya EMPIRE

    Wimbo wa msanii nguli wa bongo flava Harmonize unaoitwa sandakalawe, umezuiwa youtube kutokana na kile kinachosemwa kuwa ni kukiuka hakimiliki za kampuni ya usambazaji mziki ya EMPIRE. Mpaka sasa haijajulikana ni kipengele kipi cha hakimiliki kilichokiukwa lakini tetesi zinasema ni shutuma za...
  15. JamiiForums Tanzania Harmonize atoa wimbo mpya, asema yeye ndio mfalme hana haja ya kuongea tena, anauacha mitaa iongee

    Msanii nguli wa muziki wa kizazi kipya Harmonize, ametoa wimbo mpya unaoitwa Sandakalawe, wimbo huo unaonekana kukubalika na kupata views 100,000 ndani ya saa moja, hatua iliyomfanya Harmonize kusema yeye ndio mfalme wa muziki wa kizazi kipya na hatowakumbusha tena na kuacha mitaa iongee.
  16. JamiiForums Tanzania Back to Back ya Ali Kiba muathirika ni Harmonize

    Tukumbuke kwamba kwa sasa mziki wa bongo ni kama vile siasa za mpira wa Simba na Yanga,hata ije Azam au Gwambina fc au Namungo bado mashabiki wa hizi timu watakua ni wale wale tu watokanao na Simba au Yanga. Hii ni sawa kwa Muziki wetu umegawanyika kwa team Kiba vs team Diamond,hata wasanii...
  17. JamiiForums Tanzania Nini kinamkwamisha Harmonize kufikia malengo anayoyatamani?

    Harmonize amekuwa akitamani kutawala soko la mziki Tanzania , amejitahdi Sana Kwa Kias chake ,media kubwa zinampigia chapuo , Baadh ya accont maarufu za wambea Instagram pia zipo nyuma yake. Na kuna watangazaji pia ambao richa ya kuonekana kama wehu eg mwijaku ,lakn hawajali ni kama wamejitoa...
  18. JamiiForums Tanzania Harmonize ausome upepo mama sio mwendazake hapendi sifa

    Mdogo wangu Harmonize naona jana umeachia nyimbo ya kumsifu mama, ila sidhani kama umeshausoma upepo wa mama kwa sasa upoje, mdogo wangu mama sio kama mwendazake yaani hapendi kusifiwa sifiwa tena akijua ni zile sifa za kujipendekeza Mdogo wangu jikite kwenye kazi zako tu isipoteze pesa kabisa...
  19. JamiiForums Tanzania Tamasha La Harmonize Arusha, nimesikitika Sana

    Wakuu, Jana kuna kitu nimejifunza kwanini Diamond kwenye burudani anasumbua anajiandaa vya kutosha na ukilipaa pesa utapata kulingana na pesa yako. ..... Nimehudhuria matamasha mengi ya Diamond ukitoaa milioni Moja au Laki5 utapata hospitality ya kutosha. ..... Wakuu Jana nimehudhuria Tamasha La...
  20. JamiiForums Tanzania Rayvanny amjibu Harmonize kuhusu BET

    Habari Wana Jf. Hili alilolifanya Rayvanny naona Yuko sahihi kabisa maana now days Harmonize hasikiki na ndio maana anaangaika mchana na usiku kutafuta Kiki ili aongelewe lakini wapi. Kiukweli Kama Harmonize ni mkubwa angekuwa na BET au tuzo kubwa yeyote Kama RAYVANNY CHUI. Pia lingine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…