Ni kweli Harmonize anadaiwa Kodi Na Eng. Usiri

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Wakuu lem declare interest Kwamba mimi ni sehemu ya Eng. Usiri ambae Alikuwa ni Land Lord Wa Msanii Harmonize.

Msanii Hrmonize ni Kweli anadaiwa Kodi na Mjomba Yangu Wangu Eng. Usiri na Aliondoka Pale Mbezi Usiku Bila Kuaga na Mpaka Sasa Ajakabidhi Nyumba Ya Eng. Usiri.

Hata Wakili wake Amekuwa Hataki Kupokea any documents Ambayo inayohusiana na Rent dispute ya Mteja wake.
Screenshot_20210417-133449.jpg
 
Attachments

  • jaymaudaku_1631810312694221.mp4
    6.2 MB
Wakuu lem declare interest Kwamba mm ni Sehemu ya Eng. Usiri ambae Alikuwa ni Land Lord Wa Msanii Harmonize.

Msanii harmonize ni Kweli anadaiwa Kodi na Mjomba Yangu Wangu Eng. Usiri na Aliondoka Pale Mbezi Usiku Bila Kuaga na Mpaka Sasa Ajakabidhi Nyumba Ya Eng. Usiri.

Hata Wakili wake Amekuwa Hataki Kupokea any documents Ambayo inayohusiana na Rent dispute ya Mteja wake.
emu tupiamo na tupicha twa nyumba ya mjomba wako go!!!
(unisamehe mimi ni mjita)
 
Sasa barua ya mwenzi wa nne wewe unaleta leo? Acha utimu mkuu anyway hayo hayakuhusu
 
Wakuu lem declare interest Kwamba mm ni Sehemu ya Eng. Usiri ambae Alikuwa ni Land Lord Wa Msanii Harmonize.

Msanii harmonize ni Kweli anadaiwa Kodi na Mjomba Yangu Wangu Eng. Usiri na Aliondoka Pale Mbezi Usiku Bila Kuaga na Mpaka Sasa Ajakabidhi Nyumba Ya Eng. Usiri.

Hata Wakili wake Amekuwa Hataki Kupokea any documents Ambayo inayohusiana na Rent dispute ya Mteja wake.View attachment 1940747
Lakini umejiandaa kupambana na wamakonde humu ?? ..
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Back
Top Bottom