Harmonize ni star anayekimbiza sanaa kwa sasa

Mamserenger

JF-Expert Member
Oct 14, 2019
1,157
2,078
Harmonize kweli anakimbiza sanaaa hasa ukitembea kumbi nyingi za Starehe ngoma zake ndo zina bamba sanaaa.

Hata Kajalee naona kama anamuwaza dogo sana hasa na Post zake kule Inst.Na hisi kwa jinsi anavyo kubalika.

Anangoma zikigongaa hatarii na jamaa hana shobo japo watz wengi wanaaminishwa bila WCB basi haujui...mziki

Kweli Diamond amesaulika sana kwa kweli.

Bila kuleta timu Mondi ama Tim Harmo.

Harmo kwasasa Nyota nzuriii.

HARM.jpg
 
Nothing to comment here, ila kwa kuwa umetoa mawazo yako sawa, wacha niweke akiba ya maneno.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Ukimtaja harmonize tafadhari sana usimlinganishe na WCB. Tafuta mtu wa size yake. Diamond ni level nyingine kabisa.

Yani natamani nikifa, kwenye msiba wapige ngoma za MOND tu maana ntapumzika nikiwa nimeburudika sana au hata kufufuka inawezekana.
Utapigiwa usjali mpaka jehanam utawekewa nyimbo zote.
 
Ukimtaja harmonize tafadhari sana usimlinganishe na WCB. Tafuta mtu wa size yake. Diamond ni level nyingine kabisa.

Yani natamani nikifa, kwenye msiba wapige ngoma za MOND tu maana ntapumzika nikiwa nimeburudika sana au hata kufufuka inawezekana.
Hahahaahhaahha ayaaa ngoja tutakugongea ya baba lao

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Harmonise kweli anakimbiza sanaaa hasa ukitembea kumbi nyingi za Starehe ngoma zake ndo zina bamba sanaaa.

Hata Kajalee naona kama anamuwaza dogo sana hasa na Post zake kule Inst.Na hisi kwa jinsi anavyo kubalika.

Anangoma zikigongaa hatarii na jamaa hana shobo japo watz wengi wanaaminishwa bila WCB basi haujui...mziki

Kweli Diamond amesaulika sana kwa kweli.

Bila kuleta timu Mondi ama Tim Harmo.

Harmo kwasasa Nyota nzuriii.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Huo anakimbiza mtwara chitoholi
 
Ukimtaja harmonize tafadhari sana usimlinganishe na WCB. Tafuta mtu wa size yake. Diamond ni level nyingine kabisa.

Yani natamani nikifa, kwenye msiba wapige ngoma za MOND tu maana ntapumzika nikiwa nimeburudika sana au hata kufufuka inawezekana.
Mkuu mbona una vidole viwili tu miguuni
 
Back
Top Bottom