Harmonize ku"fake"idadi ya viewers ya wimbo wake mpya Teacher

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,032
1630330074262.png
 
Je, hiyo video iliwekwa on waiting?

Kama ndiyo, basi haishangazi. Huenda watu walianza kucomment kabla ya kuonyeshwa rasmi.

Kama ni vinginevyo, anatengeneza namna ya kununua views na asishtukiwe.
 
mtu mmoja anaweza akawa anareply na aliemreply nae akareply yaan unaweza ukakuta watu wawili tena mwingne ata asiwe ameangalia video wakasongesha comment tena unakuta wanachambana mengne hayahusiani hata na huwo wimbo
unakuta zikafika hata comment 50 kwa ID mbili tu

ni km jf wale wanaoanza kusalimiana na kuitana baby kwenye nyuzi za watu na kujaza reply zisizouhusiana na thread

so kawaida sana
 
mtu mmoja anaweza akawa anareply na aliemreply yaan unaweza ukakuta watu wawili tena mwingne ata asoiwe ameangalia wakasongesha comment tena unakuta wanachambana mengne hayahudiani hata na huwo wimbo
unakuta zikafika hata 50 kwa ID mbili tu

ni km jf wale wanaoanza kusalimiana na kuitana baby kwenye nyuzi za watu

so kawaida sana
Daaaaah umenichekesha
 
You tube huwa inatokea kuna wakati viewers zinaganda, hii inatokea pindi system ya yoytube inapo inspect viewers za maroboti. Alafu baada ya muda zinaachiwa ndio unakuta ghafla mtu kapata milioni, just zilikuwa counted but hazikudisplay kutokana na system inspection.
Yan ingekua ni rahis hivyo wanaigeria wangekua mbali sana mana wale wenzetu wako mbali kumziki na teknolojia tukaubali tu dogo anapambana
 
Back
Top Bottom