harakati

The National Revival Movement Party (Azerbaijani: Milli Dirçəliş Hərəkatı Partiyası) is a political party in Azerbaijan. The party's leader is Faraj Guliyev, who is well-known politician. At the 2010 parliamentary elections, it won 1 out of 125 seats. In the 2015 parliamentary elections, it won 1 out of 125 seats.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Wanaharakati wa Tanzania wanashangaza sana. Wana chembe ya udini katika harakati zao

    Leo wanasherehekea Isreal na Marekani kuishambulia Iran. Hawaoni watoto wadogo wanaouliwa Hawaoni Isreal na marekani uhuru wa wananchi wao una binywa. Leo ukipost picha ya jengo la Isreal limeshambuliwa, raia huyo anaweza kupotezwa. Hawaoni jinsi gani nchi hizi zinavyovuka mipaka ya...
  2. Mhafidhina07

    Marekani ipo harakati ya kuitengeneza Libya Nyengine Mashariki ya Kati.

    Mjadala mkubwa kwa sasa ni Operation ya Marekani dhidi ya Iran katika harakati za kuondosha serikali inayoita ya Mkono wa Chuma,ambapo kwa taarifa imesema kuwa imefanikiwa pakubwa kwa wauwa viongozi wa juu(Maamuzi). Lakini binafsi naona hakutakuwa na Mshikamano ndani ya Irani endapo Wairani...
  3. ELI COHEN

    Hadi sasa katika harakati zako za ujana maji ya moto, ni kitendo kati ya hivi haujawahi kugusa kabisa?

    1: punyeto 2: clubbing/pub 3: unywaji wa pombe/liqour/whiskey/wine/visungura/gongo 4: mihadarati (bangi, heroin, meth, cocaine) 5: utumiaji wa makahaba 6: kuwa na sponsor/mshangazi 7: kuangalia pornography 8: betting 9: kuwa na mchepuko 10: group/party sex 11: threesome 12: kutoa...
  4. ELI COHEN

    Sasa naelewa kwanini UAE wamepiga marufuku harakati za itikadi kali nchini mwao, kuanzia misikitini hadi mitaani. Hii imepelekea nchi kufaidi amani

    Hata siku moja hauwezi kuona dubai imeingilia mgogoro wowote hapo mashariki ya kati. Hata siku moja hauwezi kuona maandamano ya kuunga mkono palestina na hamas nchini mwao Hata siku moja hauwezi kuona dubai inaendekeza itikadi na sera za MUSLIM BROTHERHOOD zilizoleta maafa mashariki ya kati...
  5. Sales man

    Mtibeli na Haya Land , acheni kurudisha harakati Nyuma za kupambani haki

    Hawa Vijana , Sijui wamepatwa na nini. Walikuwa wakiweka maandiko mazuri ya kudai haki na kuelimisha . Ila kwa sasa ni Kama kuna kitu hakipo sawa. Vijana kweli tumefika hatua hii ya kununulika kirahisi Hayaland na Mtibeli mjitafakari sana
  6. ELI COHEN

    Harakati za #freepalestine wa JF

  7. THE BIG SHOW

    PostGE2025 Mzee Warioba ni tunda la mfumo kristo na anachokifanya ni muendelezo wa harakati zile zile

    Friends and Our Enemies, Ukimsikiliza warioba kwa umakini sana utabaini wazi wazi kuwa ni muendelezo wa drama za TEC na Mfumo kristo mara baada ya kufeli kwa harakati zao za kutumia GENZ katika kuichafua nchi hii na kutaka kuifanya isitawalike. Besides Warioba usije ukajiona wewe ni special...
  8. Ritz

    PostGE2025 Hizi sio harakati ni agenda za kuvuruga nchi

    Wanaukumbi. HIZI SIYO HARAKATI NI AJENDA ZA KUVURUGA NCHI 📌 Hakuna jinsi unaweza elezea watu kuwa ni sahihi kufanya maandamano tena ya kisiasa siku ya sherehe muhimu kama Krismasi. Anachokifanya Maria Sarungi na kundi lake ni mfano wa wazi jinsi walivyo na rotten morality towards human beings...
  9. W

    Ombi: Harakati za maandamano zisitishwe

    Ombi langu kwa vijana ni kusitisha harakati zote za maandamano. Maandamano yalishafanyika tena makubwa sana. Ujumbe ulishatumwa. Watawala wameshafahamu kuwa wananchi wameshachoka na uhuni uliokuwa ukifanyika wa mazingaombwe ya kura, ufisadi, uminywaji wa haki, utekaji na mauaji. Watawala...
  10. ELI COHEN

    Licha ya kuwa ni nchi masikini, tulishaangaa sana utajiri wa Somalia mipakani Afrika Mashariki na harakati zisizoisha za al shabab. Jibu ni hili

  11. K

    PostGE2025 Dayone: Nina jitoa rasmi kwenye movement ya kuhusu Maandamano

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram mwanaharakati Dayonè Vladislaus Monson ameandika haya; “Kwanza kabisa si kubaliani na mauaji Yaliyo fanyika October 29 na ngependa kuona wale Askari walio fanya mauaji waki wajibishwa , pili sikubaliani na Serekali ya SAMIA , yote mpaka wabunge ningependa kuona...
  12. Pakome

    Siwachukii Gen Z, sababu ya kutokutaka kuwaunga mkono ni kwasababu harakati zao zina viashiria vya kupoteza maisha

    Siwachukii Gen Z, sababu ya kutokutaka kuwaunga mkono ni kwasababu harakati zao zina viashiria vya kupoteza maisha Napenda vijana waishi na sio wafe Na hii ndiyo sababu ya kutokutaka kuwaunga mkono Nikiwaunga mkono nitakuwa nimewatuma shimoni jambo ambalo litaniingiza kwenye kesi ya mauwaji...
  13. Mshana Jr

    PostGE2025 Mahitaji ya nyakati, harakati za Gen Z vimewafubaza wasanii

    Ni kipindi kigumu na kibaya kwa wasanii wa Tanganyika.. Hawasikiki tena na kazi zao haziuziki wala kushabikiwa tena. Hata zile drama zao zilizokuwa zinawapa viewers na kiki kwasasa zinaonekana ni upuuzi mtupu Hakuna trendings tena mitandaoni Hakuna 'new subscribers' Hakuna interviews tena...
  14. Pakome

    G Z tafadhali sana harakati sio uharibifu, kama ni Siasa wajikite humo waachane na masuala ya Mali za Wananchi, kwani yatawasababishia kesi ya wizi

    Uharibifu wa Mali na Miundombinu ndio chanzo cha kusababisha mauwaji G Z tafadhali sana Harakati sio Uharibifu kama ni Siasa wajikite humo waachane na maswala ya mali za Wananchi Swala la mali litawapa adhabu na kesi ya Wizi kwani Wananchi wanaishi maisha yakutawaliwa na hasira kali...
  15. Yoda

    Wanaosisitiza amani zaidi badala ya HAKI ni wajinga au wanufuika wa mfumo kandamizi. Haki ikitamalaki amani inakuwepo automatically

    Ukiacha vichwa panzi wachache na mapoyoyo wa hali ya chini na wale wenye maisha duni wanaoimbishwa wimbo wa amani bila haki na wanaimba kwa sababu ya ukosefu wa maarifa, taarifa sahihi au udini wengine wote wanaoimba zaidi amani badala ya kuimba zaidi haki ni wanufaika wa mfumo ulioondoa...
  16. Trainee

    Wengine kila siku humu mnajidai kuponda uchaguzi na kuupinga lakini mtaani mmejazana kwenye harakati za kupambania 'kazi za muda'

    Timu maandamano bwana Yaani kimtu kinakomaa mishipa kupondea uchaguzi na kuupinga lakini kwenye foleni ya kuhangaikia kazi za muda za usimamizi na ukarani wa uchaguzi unakakuta tena kapo mstari wa mbele
  17. Sales man

    Harakati za Tanzania ni ngumu, mimi mwaka 2017 nilikamatwa

    Mwaka 2017 nilikamatwa kwa kumkosoa Magufuli. Kipindi kile nilikuwa na miaka 21 Ila sikutetewa na mtu yoyote Ila kwakuwa Mimi nilikuwa naishi karibu na police kota , na ni Kijana humble . basi kesi ilichezeshwa na wakaizuia isipate Ku-trend . Basi Mwanasheria wa Serikali aliifuta Kesi yangu...
  18. Mashamba Makubwa Nalima

    Watu walionunua teuzi na wale waliohaidiwa majimbo 2025 wakisaliti harakati za ukombozi wamenikumbusha wale walioweka pesa DECI miaka ya 2000

    Watu walinunua teuzi kwa mamilioni ya pesa kwa kuwa inaeleweka uchaguzi mkuu kwao ni ndani ya cham tu huku nje maigizo. Wengine wakaamua kusaliti harakati za ukombozi na kugeuka machawa wa serikali kandamizi.Waliunga juhudi muda ambao ndugu zao ambao walikuwa wanafanya harakati pamoja wakiwa...
  19. H

    Mrejesho: Harakati za kutafuta mpaka kuandikishwa JWTZ

    Habarini ndugu ? Ninawashirikisha baadhi ya harakati nilizofanya katika kutafuta kuandikishwa na kuwa askari JWTZ. Ni ndoto yangu tangu nikiwa mdogo kiumri kuwa askari wa JWTZ hususa ni kuwa komandoo. Baada ya kuhitimu kidato cha nne nilitaka kwenda jeshini wazazi wangu wakanikatalia wakasema...
  20. Mohamed Said

    Clouds Maktaba Kutafuta Chanzo Cha Harakati za Uhuru

    EMMANUEL SHONDE WA CLOUDS AMEFIKA MAKTABA KUTAFITI CHANZO CHA HARAKATI ZA UHURU WA TANGANYIKA Kijana Emmanuel wa Clouds leo asubuhi kaniweka kitako akinipiga maswali na kunihoji kuhusu historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika. Emmanuel kasukumwa kuja kunihoji baada ya kusoma kitabu cha Abdul...
Back
Top Bottom