harakati

The National Revival Movement Party (Azerbaijani: Milli Dirçəliş Hərəkatı Partiyası) is a political party in Azerbaijan. The party's leader is Faraj Guliyev, who is well-known politician. At the 2010 parliamentary elections, it won 1 out of 125 seats. In the 2015 parliamentary elections, it won 1 out of 125 seats.

View More On Wikipedia.org
  1. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Yawezekana kujifunza pikipiki siku moja ya kesho ili Jumatatu nianze nayo harakati Kariakoo?

    Nimeamua kujiongeza baada ya tabu ya usafiri Mbezi to Gerezani nimeamua kumvua mtu chuma sasa changamoto ni kubalance moto na gear ndio inanipa shida kesho nataka asubuhi niende eneo la wazi ili nipate experience ili jtatu nitinge nayo kwenye harakati zangu inawezekana au ndio safari ya kwenda...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini Chadema wanaamini wazungu kwenye harakati zao za kisiasa?

    Makamu wa Rais wa Marekani, JD Vance aliinyooshea kidole Ulaya kuwa haina demokrasia kwa watu wao wenyewe. Wakati huohuo bunge la Ulaya linainyooshea vidole Africa kuwa hakuna demokrasia. Nimemsikia Tundu Lissu akidai kesi yake iliyoko mahakamani ifutwe kwakuwa dunia inatuangalia (the world is...
  3. Damaso

    JamiiForums Tanzania Black Panther: Filamu kama njama ya kufuta historia halisi ya harakati za Black Power

    Ni mwaka wa 2018, ulimwengu ulizizima kwa uzinduzi wa filamu ya Black Panther, kazi ya Marvel Studios iliyoongozwa na Ryan Coogler. Kwa wengi, ilionekana kama ushindi wa uwakilishi wa Waafrika na Wamarekani Weusi kwenye sanaa ya Hollywood. Watu walifurika sana kwenye kumbi za cinema kutazama...
  4. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Ninawapongeza wanaCHADEMA kwa kuacha harakati zao kwa muda ili kufuatilia zoezi la uchukuaji fomu CCM

    Hakika huu ni uzalendo. Nawapongeza sana kina Godbless Lema na makada wengine wa CHADEMA kwa kufuatilia kwa karibu zoezi linaloendelea la uchukuaji fomu za kugombea uongozi kwenye vyombo vya dola. Hii ni ishara kuwa watanzania wakiwemo makada wa CHADEMA wana imani na CCM. Makada wengi wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili kuleta UKOMBOZI wa kweli wa Nchi hii?

    CHADEMA ndo kinara wa harakati hizi za Ukombozi wa Nchi hii. Mwenyekiti, Tundu Lissu yupo mahabusu, chama kimefutiwa Ruzuku, kama haitoshi chama hicho hicho kimepigwa marufuku kufanya shughuli za kisiasa. Nionavyo mimi ni kwamba, kwa mtiririko huu:- 1. Lissu hawezi kuachiliwa leo labda mpaka...
  6. funaku

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madhara ya Post Election Violence nchini Kenya sababu ya mizaha ya siasa

    Inasikitisha Sana na kamwe tusijipeleke huku.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nashauri Watanzania wote tushikamane katika hili

    Jamani freedom is coming tomorrow, nawaombeni WATANZANIA wenzangu vijana tushirikiane kuliokoa hili Taifa kutoka mikononi mwa watu wachache wenye Nia ovu juu ya Taifa letu. Sambamba na hilo tuone jinsi gani tunaweza kuilinda amani yetu kwasabab ni kazi ngumu sana kuitafuta tena. Hata hivyo, ni...
  8. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Martha Karua aruhusiwe kuingia na aendelee na harakati zake, kuzuia ni doa Afrika Mashariki

    Ombi langu mamlaka zimruhusu aingie aendelee na shughuli zake, afrika ya mashariki ni moja, hasa Tanzania, Kenya na Uganda, issue ndogo ndogo za kila lissu na wanaharakati wengine zisitukwaze tukaja haribu sifa ya taifa letu, as I spoke mimi CCM damu, lakini hili liachwe liendelee, na waendelee...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Je, Babu yetu wa Bunda, anahujumu harakati za chama?

    Habari makomredi wenzangu! Mzee Wetu wa Bunda ni kiongozi wa juu wa chama Cha majani mabichi ambaye asili yake ni Upinzani. Amewahi kuwa kiongozi na mbunge wa kuchaguliwa Bunda mjini, baadaye akatimkia chama kile. Sasa kuna msemo usemao, jasiri haachi asili, yaeza kuwa anakihujumu chama chake...
  10. funaku

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wetu Brussels na harakati za Chadema Ubelgiji

    Kumekuwepo na harakati nyingi sana na za muda mrefu za watu wasioitakia mema nchi wanaotumika Kuichafua nchi kimataifa. Tumeshuhudia watu hao wakiwa hosted ndani ya nchi ya ubelgiji. Je ubalozi wetu umechukua hatua gani? KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  11. P

    JamiiForums Tanzania G-55 wanataka uongozi na siyo ukombozi wa nchi

    Siasa za nchi za Afrika zikeshindwa kuleta maendeleo ya kweli kutokana na mitazamo ya harakati za wanasiasa. Kabla ya kupata uhuru, wanasiasa wa kipindi hiko walijikita katika kuleta ukombozi wa kweli kwa nchi zao. Hivi walielekeza nguvu katika kuleta umoja wa kitaifa. Baada tu ya ukombozi watu...
  12. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Usijishugulishe na jambo kama huna harakati nalo, Kila jambo lina wenyewe

    Watu wengi wamekuwa wakidandia hovyo shughuli za watu bila kutambua kuwa wanafanya makosa,Mchezaji mpira anajiingiza kwenye Ulingo wa siasa, Mfanyakazi anajiingiza kwenye Mambo ya Kisiasa, Dini anapokuwa kazini. Haya mambo yanahitaji kuwa separated na specialised, ikiwa umeamua kufanya siasa...
  13. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Harakati za CHADEMA kwenda mahakamani zinaendelea?

    Sijawasikia wanasema wataenda mahakamani kesho. Na John Heche amekwenda mbali kabisa na mahakama inavyowezekana,kwa sababu amekwenda Mara. Na Tundu Lissu anasema anataka kupelekwa mahakamani leo. Lakini yapo mafanikio yoyote Chadema imepata kutokana na haya maandamano au Chadema inabidi...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Harakati za Daudi kuwania Ufalme zinatupa Somo gani katika Siasa na namna ya kuepa Kuuawa?

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Ni kweli kabisa Hakuna ufalme au utawala usiotoka kwa Mungu. Huo utawala haupo. Hata watawala wenyewe wanajua Jambo Hilo kutokana na maisha Yao walikotoka na walipo hivi Leo. Niliwahi msikiliza Magufuli na pia Rais Samia mwenyewe alishawahi kukiri kuwa hakuwa...
  15. funaku

    JamiiForums Tanzania Sio kila harakati na siasa za magharibi ni za kuiga

    Wapo baadhi ya vijana,wazee wa makamu,watu binafsi na taasisi nchini Tanzania zinaiga kila kitu wanachokiona Kwenye Tv ,mainstream media za magharibi na kwenye mitandao. Nipende kuwaasa kuwa kila nchi na kila jamii ina mienendo na taratibu zake. sio kila unachokiona huko mitandaoni ni...
  16. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Pointers kwa wote wanaohofia usalama wa maisha yao kwa sababu ya harakati zao

    Matukio ya watu kuvamiwa majumbani mwao na watu wanaodaiwa kuwa ni polisi yamezidi sasa. Cha kushangaza, polisi nao huja kukanusha kuwa haikuwa wao. Mfano, uvamizi kwenye nyumba ya mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali hapo jana. Watu hao wakiwa wanavamia, hujitambulisha kama polisi...
  17. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Harakati za kuusambaza upendo, ngono na kuzimu. Mjue nabii David Berg na wana wa Mungu (CoG)

    Hii ni picha ya miaka ya 1970s. Unaowaona hapa kwa tafsiri ya haraka unaweza sema ni mabinti walio na furaha na tabasamu pamoja na amani mioyoni mwao. Picha hii ya pamoja ni ya waumini wakiwa pamoja na mchungaji au Nabii wao ,wakieneza injili ya neno la Mungu na kuhubiri UPENDO kwa watu...
  18. Mkweliii

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwl. Mbelwa Petro: CHADEMA wanasadifu harakati za mnyama pimbi

    "CHADEMA wana harakati kama za mnyama pimbi, unawakuta juzi wanaimba NO HATE, NO FEAR!, jana wanaimba JOIN THE CHAIN!, leo wanaimba STRONGER TOGETHER!, kesho utawakuta wanaimba NO REFORM, NO ELECTION!, na bangi za Lema zikikolea kichwani anaanza kuwaimbisha wanachama TONE TONE mara NIMO...
  19. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya Lissu, harakati za ukombozi; CHADEMA kuweni macho na mamluki, "katika viwalavyo, na nguoni mwenu, vimo!"

    Hili ni angalizo la usalama kwa mustakabala mwema wa harakati za ukombozi na Mh. Lissu mikononi mwa watesi wetu: Kama huyu ni wakili msomi akiiwakilisha CHADEMA na mwamba kwa kipindi chote: "ama?!" Kwa hakika jopo la utetezi, mipango na mikakati nyeti ya mapambano haiwezi kuwa bwerere kwa...
  20. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa karibu na Mbowe ndo hao hao wapo G55 ina maana harakati zote , za kufungwa , kunyanganywa mali zilikuwa bortion?

    Unajua katika hii dunia trust no one . Haiwezekani watu wakufunge Wakunyanganye Mali Wakuite majina yote mbaya then baada ya hapo uwatangazie msamaha. Haiwezekani . #Kataa Ccm #No reform no Election.
Back
Top Bottom