haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka kutoka kwa wasajili LINE

    Wadau salam. Nahitaji kununua line ya kuuzia bando (HALOTEL) Nauliza je process zipi nifuate ili nikibadli umiliki (NIDA) line usipoteze sifa ya kuuza bando?
  2. 4

    JamiiForums Tanzania Mwachieni Lissu haraka, sio ombi ni sauti ya Mungu alie juu kupitia kwangu

    Amani ya Bwana ikawe kwa kila mmoja popote mlipo Rejea mada tajwa hapo juu Mungu anataka Lissu achiliwa haraka sana ndani ya siku 21 ni amri kuu sio ombi. Ujumbe huu ukamfikie kila mmoja na mhusika wa kuendelea mshikilia mtu uyu. Msipofanya hivi ndani ya siku 21 , kuanzia leo 1/5/ 2026, bila...
  3. JamiiForums Tanzania Mwaka jana nilitoa wazo la kuanza mchakato wa haraka sana wa kujenga refinery Tanga

    Mwaka jana na hata mwaka huu baada ya straight of hormuz kufungwa nilitoa maoni yangu binafsi, Tuanze mchakato wa crude oil refinery haraka sana nashukuru dangote alikuwa na mawazo kama yangu na mchakato utaanza Kwanza ijengwe integrated refinery kama ile ya gujarati ambayo itakuwa na crude...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Value ya wanawake inapungua haraka, Yule binti aliekuwa too hot tukiwa rika la 20s leo anajitongozesha kwangu tukiwa 30s nimlipie deni la elf 50

    Miaka hio tukiwa kwenye 20s hii pisi haikuwa type ya kawaida, kuitongoza unywe maji koo liyakauka na huambulii kitu, kichwani smart anajijua ni mashine yenye hadhi ya watu wa aina flani, n.k. Niliwahi kujaribu kutupia nyavu lakini niliambulia virungu vya ugoko na kuishia kuwaita mashem...
  5. JamiiForums Tanzania Mwekezaji anahitajika haraka hapa

    Nyumba inahitajika mwekezaji Location KARIAKOO Mtaa wa Kipata na Kongo. sqm 260 Hati Safi. Anatakiwa muekezaji wa kuingia ubia ajenge anachotaka. 📱0754693556
  6. T

    JamiiForums Tanzania Sasa nimeelewa ni kwa nini watu kutoka upinzani wakihamia CCM wanapewa vyeo haraka sana tena vikubwa!

    Wanabodi kumekuwa na utaratibu licha ya ccm kujigamba kwamba Ina rasilimali watu ya kutosha lakini inaonekana watu smart sana wanapatikana upinzani. Mwanzo nilijua tu kuwa labda ni kivutio cha kuwashawishi wapinzani wengi kuhamia huko ila baada ya kuona jinsi mashabiki wa ccm wanavyojenga hoja...
  7. L

    JamiiForums Tanzania John Heche inatakiwa akamatwe haraka na kuwekwa ndani bila kupewa dhamana kwa uchochezi na uchonganishi mpaka athibitishe kwa vielelezo kauli zake

    Ndugu zangu Watanzania, Ni lazma kama Taifa Tujijengee Heshima ,utaratibu ,nidhamu ,adabu ya maneno na kauli za kuzungumza Hadharani. Siyo mtu anajitokea zake huko anaanza kuropoka ropoka Bila Breki vitu Hovyo hovyo bila ushahidi wala vielelezo vya aina yoyote ile ilimradi tu Ameona kamera...
  8. JamiiForums Tanzania Sadaka ya damu ni noma inajibu haraka sana

    wakati unamchinja sema maneno machache tu
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA Yapinga Uteuzi wa Jakaya Kikwete ndani ya AU, Yataka Mapitio ya Haraka

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeiandikia Umoja wa Afrika (AU) kikitoa wito wa kufanyika kwa mapitio ya haraka kuhusu uteuzi wa Jakaya Kikwete kama Mwakilishi wa Ngazi ya Juu wa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja huo kwa Ukanda wa Pembe ya Afrika na Bahari Nyekundu. Machi 25, 2026...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Naomba mnieleweshe matuta yanasababishaje mafuta kuisha haraka kwenye ndinga?

    Wakuu, Naomba msaada kwa yeyote anayeelewa namna engine inafanya kazi kwa uhusiano wa tuta na mafuta kuisha. Nilipitia kwenye post ya Eliudi alitoa listi ya matuta Goba then jamaa mmoja akasema ishu ya mafuta kuisha, Nataka kuelewa ili nitathmini kwa mazingira ya barabara ya huku mtaani kwetu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana ,mchapakazi, mwenye uzoefu na shughuli za Library

    Natafuta kijana (anayejielewa),mchapakazi, mwenye uzoefu na shughuli za Library,anicheki ili tufungue ofisi. Atatafuta location bora ambayo kazi itaenda,atanipa mchanganuo wa vifaa vinavyohitajika,then mi nitashghulika na gharama zote ZA AWALI.ITAKUA NI KAZI YA HESABU! Means kila siku atanipa...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini 'Wajinga' wanatoboa kimaisha haraka kuliko sisi 'Great Thinkers’?

    Leo naomba tuweke vyeti vyetu vya chuo na zile "A" zetu za sekondari pembeni, tuzungumze ukweli unaouma. Nimekuwa nikifanya uchunguzi wangu binafsi na kugundua jambo moja la kushangaza sana mitaani: Asilimia kubwa ya watu tunaowachukulia kama 'watu wa kawaida' au wasio na uwezo mkubwa wa...
  13. JamiiForums Tanzania Ni jambo gani kwa sasa ambalo ni kero zaidi kwako na ungetaka litatuliwa kwa haraka?

    Ni kero gani kubwa zaidi kwako na ungetaka itatuliwa kwa haraka?
  14. JamiiForums Tanzania Hivi hakuna namna rahisi ya kujua Code ya mtandao wa simu kwa haraka?

    Wakuu, Nimekuwa nikipata changamoto ya kutambua code ya namba ya simu iliyokupigia au uliyopewa na mtu kwa kuangalia maana zinafanana na kila siku zinakuja mpya. Sasa hii inakua Changamoto kama mjuaavyo nchi hii imeshakua ya mabando, sasa unajikuta una dakika za mtandao mmoja tu ambazo huwezi...
  15. JamiiForums Tanzania Magaidi hawa wanatakiwa wafe haraka sana!!

    Katika Uwanja wa vita na Iran Magaidi hawa wanahitajika sana wafe 1. Mojtaba Khamenei – Kiongozi Mkuu 2. Mohammad Qalibaf – Spika wa Bunge la Iran 3. Ahmad Radan – Mkuu wa Polisi wa Iran 4. Gholamhossein Mohseni Ejei – Mkuu wa Mahakama 5. Ahmad Vahidi– Kamanda wa Kikosi cha Walinzi wa...
  16. JamiiForums Tanzania Anahitajika kijana wa Car wash haraka

    Anahitajika kijana wa Car wash haraka, Mwenye uzoefu na mwaninifu.
  17. JamiiForums Tanzania Kutotumia miguu yako vizuri kutakufanya uzeeke mapema na Haraka

    KUTOTUMIA MIGUU YAKO VIZURI KUTAKUFANYA UZEEKE MAPEMA NA HARAKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Forever young kama ndio unataka kuonekana na kuwa hivyo basi hii mada inakuhusu Sana. Yaani unataka uonekane Siku zote kijana shupavu usiyezeeka. 2. Wakati wengine wa rika lako wakizeeka na...
  18. Y

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wananikataa, nifanyaje ?

    Wasalam Wana JF Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 27 katika harakati zangu zamaisha nimeshakua na mahusiano na wanawake tofauti tofauti na swala la kuchakata lilikua siolakuniumiza kichwa. Mwanzoni mwa mwaka uliopita nilibadili makazi ya utafutaji na mwanamke niliekua nimemweka kwenye malengo...
  19. JamiiForums Tanzania Binti anayeonesha uchi mtandaoni ‘Live’, achukuliwe hatua haraka

    DAH tulipo FIKA SIO pazuri, Kuna HUYO Binti MTANDAONI huonyesha uchi wake live insta, ALAFU anafunika, SIJUI ni WA bongo hapa, KWA KWELI SERIKALI YETU msichekee HAYA MAMBO tuelekeako WATOTO wetu WA kike wataharibikiwa Kama tunaweza kulalamika acc za wanasiasa FULANI zifungiwee tunaomba na acc...
  20. JamiiForums Tanzania Gen Z niwakumbushe jambo moja tu: Uzee unakuja haraka sana kama mafuriko

    Muda unaonekana mrefu ukiwa na miaka 18, 20 au 25. Lakini ukweli ni kwamba miaka inapita kwa kasi ajabu. Jana ulikuwa mwanafunzi, ghafla una miaka 30 unajiuliza muda ulienda wapi. Ndiyo maana: • Jifunze mapema • Fanya kazi kwa bidii • Jenga nidhamu • Heshimu muda •Acha masihara na maisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…