haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Zima gari lako haraka kama ikiwaka taa hii kwenye dashboard

    Kama unaendesha gari lako ghafla taa hii nyekundu ikawaka ni vema ukatafuta mahali ambako pako salama ukapaki gari yako na ukaizima kwanza. Rangi nyekundu iliyoko kwenye hiyo alama inatosha kukuambia kwamba hilo ni tatizo ambalo linahitaji kutatuliwa haraka sana kabla halijaleta madhara...
  2. JamiiForums Tanzania Gari hula mafuta zaidi likiwa laenda polepole au haraka?

    Gari hula mafuta zaidi likiwa laenda polepole au haraka? Wengi husema gari likienda mbio kweli halili mafuta kiviiile! Je, ni kweli?
  3. JamiiForums Tanzania Wanahabari fanyeni haya haraka sana

    Kutokana na ripoti ya CAG inayoonesha upigaji wa hali ya juu katika serikali ya awamu ya tano chini ya Mwendazake basi haraka sana fanyeni yafuatayo: i/ Acheni kuandaa makala na vipindi vinavyosifu mambo aliyofanya Mwendazake. Umeshaambiwa ATCL imeingiza hasara ya 153bilioni kwa miaka mitano...
  4. JamiiForums Tanzania Mradi wa bandari ya Bagamoyo urejeshwe haraka sana

    Wandugu, sasa ni muda muafaka wa kurejesha ule mradi wetu mkubwa wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kwa maslahi mapana ya kiuchumi na kwa faida za kichumi. Yafanyike maandalizi mapema na washirika wote wakae katika mazungumzo ili hatimae mradi uanze kazi mara moja. Ikumbukwe mradi huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…