haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini hizi nyumba za wageni zilizopo nje ya mji, zinajaa haraka kuliko za mjini?

    Wiki iliyopita, niliamua kutoka nje ya mji kidogo kwenda kujipumzisha. Nilipofika huko, nikawa natafuta nyumba ya wageni iliyojificha, ili nipate utulivu wa kutafakari, maisha ya hapa duniani. Kuulizia nafasi, zimejaa; nikaenda nyingine tena kama tatu, zimejaa; daah, nikatamani nirudi mjini...
  2. JamiiForums Tanzania Mahakama itende haki, haiwezekani ndugu zetu tangu 2016 wako rumande, lakini kesi za kisiasa zinamalizwa haraka haraka, first in first out!

    Haki ionekane pande zote, masheikh walikaa rumande miaka tele, hata Sasa tunapoongea ndugu zetu wanaozea rumande, kesi hizi za kisiasa zinapangwa tarehe za karibu. Mahakama mnakwama wapi? First in first out. Haki ni kwa wote. Tunatarajia kesi hiyo ya akina Mdee na yenyewe ipangiwe miezi...
  3. JamiiForums Tanzania Mimba ikiharibika, kutolewa au kutoka yenyewe mwanamke anatakiwa kupatiwa cPAC haraka, ni muhimu

    Kwa Tanzania kitendo cha kutoa mimba bila sababu za kitabibu ambazo hazikwepeki kufanya hivyo kwa faida ya mwanamke aliyebeba ujauzito ni kosa kisheria. Pamoja na hivyo, bila kujali mimba imetoka yenyewe au imetoka bahati mbaya au imetolewa makusudi, hiyo haiondoi huduma ambayo mwanamke...
  4. JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Royal Your yanaonekana wazi na haraka mno, Hongera sana Rais Samia

    Will Smith ndani ya Serengeti kwa staili ileile ya Royal Tour na mkewe ndie kamuiga mama kuwa ni Tour Guide kwa mumewe... Kaja kujionea mwenyewe live baada ya kumuona mama kwenye Royal Tour? Wenye wivu wajinyonge.
  5. JamiiForums Tanzania Kaze anaihujumu Yanga, mtimueni haraka sana kwa mustakabali wa klabu

    Simaanishi kwamba anafanya fitna, la hasha ila uwezo wake mdogo kimbinu na ufundishaji ni zaidi ya hujuma. Nilianza kuwa na mashaka na uwezo wa Kaze kwenye mechi ya Yanga vs Gwambina msimu uliopita akiwa kocha mkuu pale alipo wapumzisha wachezaji muhimu eti...
  6. JamiiForums Tanzania NBS hizi errors haziwi fixed.. rekebisheni haraka..

    Rekebisheni...watu wanataabika.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Graphics designer mwenye uzoefu na masoko anahitaji haraka

    Utangulizi Glaness graphics and design inamilikiwa na Flydream Company Limited. Inahusika na huduma mbalimbali mfano kutengeneza flyers, banners, video editing, video shooting, T-shirt printing n.k Tunatafuta mtu aliye tayari na uzoefu katika maeneo haya: Sifa 1. Uwezo wa kutumia computer...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kocha Pablo Kagombana na Clatous Chama wapatanishwe haraka kwa Faida ya Simba SC

    Waligombana katika Mechi ya Derby Timu ilipokuwa Vyumbani kwa Chama kuzikataa Mbinu za Kocha Pablo ambazo aliziona zisingesaidia mbele ya Yanga SC na Kocha kuona anadharaulika. Tafadhali Simba SC hasa Msemaji Ahmed Ally usilificbe hili kwani nina uhakika nalo 100% kwakuwa ndani ya Simba SC yako...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Prof. Shivji: Kwanini zoezi liwe la haraka kuwahamisha? Ni kweli Wamaasai wameshirikishwa?

    Heri ya siku kuu na mapumziko, Nikiwa nafatilia ITV leo katika kipindi cha Dakika 45, profesa shifji kajadili mambo mengi, ika mimi naleta la wamasai kuhamishwa Ngorongoro. Anasema mwaka 1958 walihamishwa kutoka serengeti kwenda Ngorongoro kwa ahadi ya kutokuja kuhamishwa tena na serikali ya...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Nashauri kwa maslahi mapana ya Simba kocha Didier Gomes arejeshwe Msimbazi haraka

    Wadau Nawasalimu Nimeona nitoe ushauri kwa kuzingatia maslahi mapana ya Klabu yangu ya Simba Didier Gomes arejeshwe kundini haraka Tunamuhitaji sana kuliko wakati wowote ule Hakukuwa na sababu ya kuachana naye
  11. D

    JamiiForums Tanzania Serikali (NEMC na TCRA) kuna pesa za bure hapa wala msijiulize mara mbili

    Kila idara ya serikali siku hizi ina vyanzo vya mapato! Ndungu zangu NEMC naona bado wamelala usingizi wa pono wakati kuna pesa kibao za kuokota! 1. Sheria na kanuni za mazingira ziko wazi kabisa! Hivyo basi! Nashauri NEMC ianze kutoza kodi ya spika na miziki mikubwa katika kumbi na taasisi...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka: Nasumbuliwa na goti

    Wakuu salaam, Ni week Sasa NASUMBULIWA na goti limevimba vimba linauma alaf limekaza hata turning ya mguu kutembea imekua tatizo nachechemea tu. Nimechuliwa na kuchuliwa ila ngoma inalegea kidogo na kukaza Tena. Ni tatzo limekua likintokea Mara kadhaa huko nyuma pia Sijaumia Wala kuanguka...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada: Binti aahirisha kuolewa siku saba kabla ya ndoa; wazazi wake hawana uwezo wa kurudisha gharama za mahari na maandalizi ya ndoa

    Salamu wanajukwaa, Baada ya salamu nijielekeze kwenye mada. Kuna kijana hapa alikuwa kwenye mchakato wa kuoa, amechumbia, amelipa mahari kama M 1.5 na maandalizi ya ndoa yalikuwa yamepamba moto. Kila kitu kuhusu maandalizi ya ndoa kilikiwa kimekamilika siku Saba kabla ya ndoa binti amekataa...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Nidhamu ya uwoga iliyozuia wizi kwa Manunuzi pale MSD, ndiyo tunaitaka haraka sana irejee!

    Ndiyo, Tunaitaka haraka sana hiyo nidhamu ya uwoga ambayo Leo tunaona ilikuwa na mapungufu na haifai kumbe iliweza kuzuia ufisadi MSD Nidhamu ya uwoga ndiyo iliyoleta ufanisi Mkubwa na usimamizi mzuri wa kodi za wananchi karibu kila pahala Haitoshi tuu kuwa kiongozi sehemu Fulani na uongozi...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka kuhusu ugonjwa huu wa bata

    Nisaidieni wadau, huo ni ugonjwa gani wa bata? Unatibiwaje? Vifaranga vya bata wangu vinaisha kwani hupoteza uwezo wa kutembea kama muonavyo pichani kisha hufa. MSAADA WA HARAKA WA USHAURI UNAHITAJIKA. Ninawaomba sana wana JF
  16. JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu anasumbuliwa na tumbo

    Msaada jamani shemeji/wifi yenu anasumbuliwa na tumbo muda sana tumeenda hosptali tofauti wakashauri aache kinga za uzazi wa mpango. Amecha na kupewa madawa tofauti tofauti lakini maumivu ya tumbo kichwa ayaishi kama kuna mtu anatiba mbadala anisaidie jamani Asanteni sana
  17. JamiiForums Tanzania Russia Vs Ukraine hakuna mshindi wa Vita ila kwa Haraka Urusi amepoteza in reality

    Habari za wakuu hapa ni vema uzi uachwe kuonesha nani kapoteza kwa namna tofaut tofauti, Kuna Nyuzi nyingi Sana hapa ila huu utakuwa wa kitaalamu Na shuhuda nilizoshuhudiwa siyo kwa kusimuliwa Wengi wameeleza chanzo cha Vita hii ila kwa hapa naonesha Matokea tu 1. Mpaka sasa week Jana natoka...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini wadada huwa mnaamini mwanaume asiye na haraka ya kulala na wewe ndio anakupenda?

    Moja kati ya vitu ambavyo dada zetu huwa wanatumia kama kigezo cha kumpima mwanaume, ni kigezo cha mwanaume kutompaparukia kutembea naye ingawa wameshatogozana na kukubalina kuwa pamoja. Nimesikia wadada wengi wanasifia kuwa jamaa yake hana haraka hata kama akienda kwake. Hiyo hali huwa...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Nashauri Zuchu atoke WCB haraka maana Diamond anatembelea nyota yake, hakuna mapenzi

    Ikiwa dhahiri kabisa kuwa zuchu ni Kati ya wasanii watatu wakubwa Tanzania na Africa mashariki boss wake diamond plutnum amekuwa akiingia pesa nyingi sana kupitia nyimbo za zuchu au zile alizomshirikisha zuchu, hivyo diamond kiuhalisia ni chawa wa chinichini wa zuchu. Kwakuwa zuchu Sasa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Popote nilipo nawezaje kuzitambua pande kuu nne za dunia?

    Naomba kujua nitatambuaje dira za dunia ie nikisimama mahali popote nitajuaje kuwa West ni huku, East North and South.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…