haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka: Jinsi ya kuangalia fine kwenye gari ama leseni

    Habari za jioni wanajukwaa; Wiki moja iliyopita niliandikiwa fine kwa makosa mawili na traffic ila akaniambia hawezi kunipatia risiti kwa sababu mtandao ulikuwa unasumbua hivyo akaniagiza nikimuona traffic yeyote nimuombe hiyo risiti ili niweze kulipa deni. lakini nikakumbuka siku za nyuma...
  2. JamiiForums Tanzania Safirisha Kwa haraka zaidi mizigo yako kutoka china kwa kutumia ndege

    Habari boss, kampuni ya PM TRADING AND LOGISTICS inapenda kukutaarifu kuwa inaendelea na zoezi la kupokea mizigo itakayosafiri Kwa njia ya ndege kutoka China kuja Tanzania. Wiki hii ndege itasafiri Jumatano ya tarehe 25 mwezi wa 9. Tafadhali mpatie supplier wako address yetu OUR CHINA ADDRESS...
  3. JamiiForums Tanzania Wakina Dada/ Wanawake ni vitu gani huwa mnaviangalia haraka mnapokutana na Wanamume?

    Wasalaam Wadau huu uzi nimefikiria kuuanzisha ili kupata maoni ya kina Dada/Wanawake wa humu Jamiiforums. Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza Dada zangu ni nini hasa au kitu gani huwa unakiangalia na kukiweka kwenye mawazo yako haraka sana? Pale unapokutana na Mwanaume au Kijana kwa mara ya...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa tafsri ya haya maandishi

    Habari wakuu, Naomba kupewa tafsiri ya haya maandishi hapa chini
  5. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Oven la kisasa lenye jiko la gesi na mtungi wa gesi ya Orxy vinauzwa

    Oven la kisasa lenye jiko la gas na mtungi wa gas orxy vinauzwa kwa haraka mno .... pesa ya haraka inahitajika.. Dukani hilo jiko ni 560,000/= cc tunauza 380,000 tu
  6. JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi kwa njia ya Mfumo tunaomba u-refrect teknolojia mpya, kwa maana ya Kasi na uharaka zaidi

    Nitumie fursa hii kuishukru serikali yetu kwa huu mfumo wa ESS kwakweli nasema kutoka moyoni mwangu. God bless this 6th regime
  7. JamiiForums Tanzania Human Resource Officer Uregntly needed before 2nd September 15:00Hours

    Hello we need Human Resource Officer All can apply Preferable female Knowledge in law will be an added advantage Place of work Zanzibar Qualification either certificate, Diploma or Degree in Human Resource or relevant academic qualifications Experience 0 onwards Please send your CV and all other...
  8. JamiiForums Tanzania Brand gani ya T-shirt plain ambazo hazipauki kwa haraka

    Habari zenu wadau Nimekuja kwenu ili nipate msaada nipate Tshirt plain hasa nyeupe ambazo nitazitumia kuprint tangazo kwa ya biashara yangu Mara ya kwanza nilichukua Hot basic manga sababu ni bei rahisi nilinunua nyingi nikaziprint nyingi nikagawia watu baada ya muda mafupi naona Tshirt zile...
  9. JamiiForums Tanzania Kijijini hakuna siri na taarifa husambaa haraka sana

    Wakuu nimeamua kuileta hii habari kama thread sio story ya kutunga ni kweli ilinitokea kipindi cha nyuma kidogo miaka ya 2008. Ilishawahi kunitokea hiyo Kijijini aisee. Nimetoka zangu Dar nikaenda Kijijini basi bhana kulikuwa kuna Pisi kali ya maana na kuna jamaa alikuwa anaigharamia Mimi...
  10. JamiiForums Tanzania Inahitajika google play console haraka sana offa ya milioni 2 ipo mezani.

    Natafuta mtu anayemiliki app iliyopo playstore ili aniuzie google console yake kwa milioni 2 (2,000,000).💲💲 Ikiwa utaniunganisha na mmiliki wa console na akaweza kuniuzia nitakupatia laki 1 (100,000) 🤑🤑🤑 ☎️👉 0711707070 Sifa za account 1.Iwe na zaidi ya mwaka tokea isajiliwe 2.Iwe na app...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka unahitajitika!

    Natumai Ni wazima nyote humu jamvini. Mwanzo gari yangu ilikuwa in heat sana na ikawa inavuja maji,fundi akabadilisha gasget na cylinder head.kuwasha gari ikawa inakataa,yani inakaribia kuwaka lakini inaishia kuunguruma tu. Fundi akcheki pump ya mafuta na akasema inashida,akaweka ingine na...
  12. JamiiForums Tanzania Kama umeielewa hii picha ndani ya sec 3, haraka mrudie Mungu wako!

  13. JamiiForums Tanzania Bati zuri la kupaulia kwa sasa ni lipi?

    Bati zuri la kupaulia kwa sasa ni lipi? Je ni kampuni gani ya mabati ambayo hayapauki haraka, niliambiwa ALAF na ANDO sasa sijui ni ipi niondoke nayo? Yamkini wewe uajua kampuni nzuri pia nitapokea ushauri, nataka ati zuri kwajili ya nyuma nzuri. Tupo Arusha
  14. JamiiForums Tanzania Haya Wakuu Wakuu wa Mikoa nchi za SADC nanyi mpo tayari? Kamalizaneni haraka na Waganga wenu wa Kienyeji sawa?

    Ukiwa Mkuu wa Mkoa wa nchi za SADC hautakiwi uwe Unajisahau sana au hata kuwa na Dharau kwa unaowaongoza.
  15. JamiiForums Tanzania Mwananchi awaambia TESEMA warekebishe haraka mfumo wa ukataji tiketi Busisi upande wa Serengeti

    Mdau wa JamiiForums.com ametoa maoni katika taarifa inayohusu ujenzi wa Daraja la J.P. Magufuli (Kigongo – Busisi) ambapo ameelezea changamoto ya mfumo wa ukataji tiketi. Ujenzi wa Daraja la Magufuli wafikia Asilimia 90
  16. H

    JamiiForums Tanzania Msaada. TRICHLOROACETIC ACID. hiyo dawa naweza kuipata sehemu gani dsm ninauhitaji nayo wa haraka sana ni kwa ajili ya mtoto

    TRICHLOACETIC ACID. hiyo dawa naweza kuipata sehemu gani dsm ninauhitaji nayo wa haraka sana ni kwa ajili ya mtoto
  17. JamiiForums Tanzania Manguli wa mapenzi msaada wa haraka unahitajika kwangu naomba njooni mnisaidie

    Mimi ni kijana wa miaka 30, ni mfupi mweusi mnene kidogo wa wastani,. Changamoto yangu ambayo ninahitaji msaada wenu ni kuwa, Nina wapenzi wawili ambao wate kwa pamoja wanaonyesha kunipenda sana, wananipenda mpaka nimekuwa nashindwa kuelewa niingie na yupi kwenye ndoa na wote wanahitaji...
  18. JamiiForums Tanzania Private Lecture Quantitative Technics anahitajika haraka

    Habari wa jukwaa natumaini ni wazima,Nina kimeo carry ya quantitive Technics Postgraduate natakiwa ndani wiki mbili zijazo nikafanye mtihani,please naomba nipate mwalimu wa kunibrush niweZe kuchomoka, 2hrs per day ,Malipo ni mazuri nikichomoa supplementary bonus pia nitatoa Natanguliza...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wenu haraka sana, Ni kampuni gani nzuri ya kubeti simba vs Yanga mechi ya leo kwa matokeo ya ataeshinda

    habari zenu wazee wa kuweka mizigo Nataka nibeti nusu fainali ya leo Yanga vs Simba, timu itayofuzu kucheza fainali nichague option ipi na kampuni ipi nzuri ? nipo karibu na jengo la gal sports betting, niliwahi kufungua account ya meridian bet na sporty bet
  20. I

    JamiiForums Tanzania Gen Z wa Tanzania mkiacha kugawanyika kwa misingi ya kiitikadi ya kisiasa mtajikomboa haraka

    Nchi hii kuna wizi, ufisadi na ubadhilifu wa rasilimali za umma mkubwa usio na kifani. Wakati huo huo hali ya maisha yanazidi kuwa magumu kwa wananchi wote na hasa vijana. Njia kuu zote za kiuchumi ama zinamilikiwa na wajanja wachache na hasa viongozi na familia zao na marafiki wao. Njia pekee...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…