hana

  1. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania Nimeachana na mchumba niliyedumu naye kwa miaka 5 kisa hana Bikra

    Sidhani kama mimi ni mzembe ila pengine nimekuwa mwema sana kwenye dunia iliyojaa hayawani. Iko hivi, miaka mitano iliyopita nilimtongoza binti mmoja aliyekuwa anavutia kwa macho ya wengi hasa kwenye maadili, alivyokuwa anaishi na watu plus kujituma kwake ukichanganya na heshima mno basi...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Luhaga Mpina hana sifa kikatiba na kikanuni kugombea Urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu 2025

    Imeandaliwa na Ndg. Humphrey H. Polepole, Mwana CCM wa Imani 1. Msingi wa Kikatiba na Kikanuni Katiba ya ACT Wazalendo (2024), Ibara 16(4): "Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo atakuwa ni mwanachama wa chama kwa kipindi...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Umahiri na weledi wa kisheria wa wakili Nassoro Katuga ni wa kiwango cha juu mno mahakamani, hacheki na mtu, hahitaji ushabiki, wala hana mzaha

    Muungwana ni mtu na nusu awapo mbele ya mahakama. Anajua wajibu wake ipasavyo. anayakabili majukumu yake vyema na kwa weledi wa kiwango tajika. Hababaiki, hatetereki wala hayumbishwi na yeyote awepo mahali pake pa kazi. Nassoro katuga sio tu mahiri wa sheria, bali pia ni mwamba na nguli wa...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huyu Mchezaji wa Taifa Stars PIPINO JR anakimbia kimbia tu Uwanjani hana Tija

    Ni nadra sana kukuta Mchezaji wa Mpira wa Miguu mwenye Matege mabaya kama yake akawa anajua Mpira. Ilitokea bahati tu kwa Marehemu Ramadhan Lenny kuwa nayo na hakika alikuwa na Kipaji cha hali ya Juu hasa katika Nafasi ya Kiungo wa Juu na cha Chini. Hebu upesi sana Kocha Hemed Morocco amtoe...
  5. haszu

    JamiiForums Tanzania Yule asemae asie na haki anahaki, na mwenye haki hana haki, wote hao ni waovu

    Naam, ni kutoka kwenye Biblia, pia yasema " Wema watawalapo watu hufurahi ila waovu watawalapo, watu huugua. Katika kutafakari neno hili nami nikaona si watu linalougua bali wapenda haki ndio wanaougua, yaani kuteseka. Wale waovu , wanaonufaika na uovu na wale wajinga ambao hawafaidiki chochote...
  6. E

    JamiiForums Tanzania MAMA SAMIA HANA KIPENGELE LABDA KIPENGELE UJE NACHO WEWE

    Sina mengi ya kuongea, Kipengele uje nacho wewe Asanteni sana
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Feitoto hana hela, au anawachora tu!

    Utani wa Feisal Fei Toto na wachezaji wenzie wa Taifa Stars, akiwa anakula chakula cha wenzie na kusema kuwa hana hela. Ni kweli Feisal hana hela?😅
  8. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Mpenzi anayekujibu dharau au ambaye hana muda na wewe ni hii hapa

    Wajomba na Mamshangazi habari zenu. Mahusiano yanachangamoto nyingi sana, ukiona mahusiano yako yamesimama imara na hujawahi pitia changamoto kama hizi siku ikikukuta utatamani kuzimia. Baadhi ya mahusiano yanapitia changamoto hizi. 1. Kunyamaziwa kimya kwa siku 2 hadi 3 2. Kujibiwa majibu...
  9. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Watoto/Mke wa Polepole upoje?

    Mbali ya usalama wa Huyu mwanaharakati je usalama wa familia yake (watoto/mke) upoje? Umma usije ukawadhuru. Tuungane kuwatambua walipo na kuwalinda na maadui
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Devotha Minja hana sifa ya kuwa mgombea mwenza

    Jee endapo Salum Mwalim akimshinda Rais Samia na akawa Rais baadae Salum Mwalim akaondoka JeeDevotha Minja mwenye cheti cha Form 4 atakuwa Rais?
  11. G

    JamiiForums Tanzania Makongorosi Chunya mdada ambaye Hana phycologist PM Iko wazi.

    Husika na kichwa tajwa hapo juu. Asante.
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mungu hana dini

    "Muumba alitupatia uzima - sio mafundisho na hekaya za kidini "Ukweli haumilikiwi na vitabu, mahekalu, au wanadamu. Ukweli unapatikana kwa kupatana na Nuru - katika matendo, nia, na ukumbusho." "Kila dini ilianza na mtu ambaye alikumbuka. Lakini mara tulipogeuza ujumbe wao kuwa udhibiti...
  13. R

    JamiiForums Tanzania RC Tanga unahangaika na nini kusema na kuupamba uongo ? Yuko peke yake, hana mshindani ameshapita. kwanini utende dhambi ya kusema UONGO

    Arsenals zote ziko at her disposal, such as so-called tume "huru" ya uchaguzi, polisi, fedha zote za nchi and all oppressive machinery you can think of are at her disposal, sasa RC unahangaika nini na uongo wa data za social services mkoani Tanga? upuuzi kama huu.............Tanga...
  14. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji kiongozi ambaye hana hasira

    Baada ya Gen Z kumtukana Rais Samia mtandaoni,Wakenya wamefungiwa biashara. Hiyo ni trade war. Tumeona balaa iliyotokea kati ya USA na China. Hasira ni jambo baya. Kiongozi anawaangusha Watanzania na Wakenya pia. Katuni ya kipanya isiruhusiwe kubadili economic policy
  15. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Trump alivyogundua Putin hana 'uswahiba' inapofika maslahi ya Urusi

    Rais wa Marekani Donald Trump ameamua kuiuzia Ukraine silaha za kukabiliana na makombora ya Urusi pamoja na kushambulia pia vikosi vya Urusi. Vifaa hivi vitalipiwa na nchi za Ulaya. Haya ni mabadiliko makubwa katika msimamo wa Trump dhidi ya ushiriki wa Marekani katika vita vya Urusi na...
  16. figganigga

    JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI: Samia Suluhu asema hana wazo la kuwania Urais 2025

    Katika kumbukumbu za Siasa za Tanzania, Rais Samia Suluhu aliwahi kusema kwamba hana wazo la kuwania Urais 2025. Habari hiyo ikachapishwa na Gazeti la CCM linaitwa Gazeti la Uhuru. Japo Gazeti watendaji wake walipata Misukosuko kwa kuandika nukuu ya kweli. Swali langu kwa Samia leo Tarehe 19...
  17. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Tusimwonee Samia, Tusimbeze Polepole - Katiba ya nchi inasemaje? SAMIA HANA KOSA!

    Team! Jana nilifuatilia kwa karibu wasilisho la Balozi Polepole na usiku huu nimerudia kusikiliza hoja yake kuhusu Rais kutogombea kwa hoja inayojengwa juu ya utamaduni. Hizi ni fikra mbovu kiasi fulani. # Wapi ilikoandikwa ktk Katiba kuwa VP, PM, Speaker hawaruhusiwi kuwa Rais miongoni mwao...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Polepole hawezi kukemea utekaji na mambo mengine ya kihuni ya serikali ya sita. Maana yote yanayotendeka sasa yalitendeka pia 2015-2021

    Atazunguka zunguka tu kutaja mchakato wa mgombea wa Urais na mchakato wake but hawezi kugusa mambo mengine. Mambo mengi ya hovyo ya kipindi hichi ni reflection ya kipindi cha Magufuli ambacho Polepole alikuwa mezani akila pamoja na Rais Magufuli. Hazungumzii jinsi wapinzani wanavyonyimwa haki...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukikutana na mwana Simba SC anayejificha katika hiki Kivuli jua hana Akili na ukimmudu mzabe kabisa cha Kibao cha Kutukuka akome....

    Eti Simba SC kufungwa na Yanga SC mara 5 mfululizo siyo Kosa au Jambo la Kushangaa kwani hata Real Madrid nayo imefungwa na FC Barcelona mara 4 au mara 5 mfululizo. Pumbavu Wahed zenu wenye hii Fikra hivi ukiwa kabisa na Akil Timamu Kichwani utaweza kulinganisha Mafanikio ya Real Madrid ya...
  20. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Polepole angekuwa anajijua kuwa hana mvuto wa kisiasa asijengejiuzulu, kwa kutoa shutuma za uongo na upotoshaji amejipoteza kisiasa

    Kuna watu wakishapata madaraka basi wanajiona washakuwa maarufu kiasi cha kuanza dharau na majigambo, kiasi cha kuona wao ndiyo wenye sifa zaidi kuliko wengine kitu ambacho si sikweli ni ulimbukeni tu wa madaraka. Mbaya zaidi wanafikia hatua hata ya kutowaheshimu wale waliowaheshimisha kwa...
Back
Top Bottom