Je, Russia hana ubavu kama Iran?

Je, Russia hana ubavu kama Iran?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,679
Reaction score
5,165
Vita ya IRAN imechukua wiki moja kuisha kutokana na mashambulizi makali ya Iran Marekani ameona aingilie kati kuomba Casefire why not RussiaUjraine War?Kwa upande Russia ni miaka kadhaa mpaka sasa Operesheni haijaisha kitu ambacho kinatia shaka.
 
Hili ni missile moja tu ya Iran

teeew.PNG
 
Jibu ni kwamba uharibifu na madhara yaliofanywa na Iran nchini Israel kwa muda wa siku 12 ni makubwa mno, kuliko uharibifu na madhara yaliofanywa na Russia nchini Ukraine kwa zaidi ya miaka miwili.

Kama hii vita ingepiganwa japo mwezi mmoja. Nakuhakikishia kuwa huko Israel kusingekuwa na jengo hata moja lililosimama. Kila kitu kingekuwa chini kama jangwa la Muhimbili to Magomeni.
 
Iran amepigana na mtoto mpendwa wa USA wakati Russia anapigana na mtoto wa mtaani hana wa kumtetea. Russia pia angekuwa anapigana na Israel US angeshaingilia serious na kusuruhisha mgogoro.
kwani Marrkani,Ulaya haimsapoti velensi?
 
Vita ya IRAN imechukua wiki moja kuisha kutokana na mashambulizi makali ya Iran Marekani ameona aingilie kati kuomba Casefire why not RussiaUjraine War?Kwa upande Russia ni miaka kadhaa mpaka sasa Operesheni haijaisha kitu ambacho kinatia shaka.
Hii sio kuhusu ubavu wa Russia ni swal la dictating.

Marekani Hana Cha kumtishia mrusi. Mrusi atamaliza vita akitaka yeye, labda Ukraine ikatae tu lakini Russia us a super power, it cannot be in intimidated
 
Jibu ni kwamba uharibifu na madhara yaliofanywa na Iran nchini Israel kwa muda wa siku 12 ni makubwa mno, kuliko uharibifu na madhara yaliofanywa na Russia nchini Ukraine kwa zaidi ya miaka miwili.

Kama hii vita ingepiganwa japo mwezi mmoja. Nakuhakikishia kuwa huko Israel kusingekuwa na jengo hata moja lililosimama. Kila kitu kingekuwa chini kama jangwa la Muhimbili to Magomeni.
Nimesikitika sana iran kusimamisha vita, maghorofa wa Israel yalivyokuwa yanakatika nilikua nanenepa kinouma
 
Hii sio kuhusu ubavu wa Russia ni swal la dictating.

Marekani Hana Cha kumtishia mrusi. Mrusi atamaliza vita akitaka yeye, labda Ukraine ikatae tu lakini Russia us a super power, it cannot be in intimidated
Marekani haingii Urisi sababu ya kuogopa nyuklia tu,lkn Russia ilibidi itoe mkong'oto wa kutosha vita ingekuwa vimeisha.
 
Back
Top Bottom