hana

  1. PAYE

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa Mungu: Samia ukiendelea na Urais unaenda kufa, maana hana kibali cha Mungu

    Mtumishi wa Mungu amesema "Samia ukiendelea na Urais unakwenda kuuawa, utaondolewa: Mungu kakukataa”
  2. J

    JamiiForums Tanzania Huyu Samia ana tabia kama za Milton Obote. Kwanini hajitokezi na kulituliza Taifa? Je, hajali, au hana uwezo?

    ..hivi ni kwamba hana uwezo? ..au hajali haya yanayoendelea? ..kwanini hajitokezi na kuituliza nchi? NB: ..Milton Obote alikuwa Raisi wa Uganda ambaye alishindwa kutoa uongozi wakati wa crisis nchini humo. Alikuwa na tabia ya kuacha mambo yajiendee yenyewe mwisho wake akapinduliwa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Aliyejiriwa ni mtumwa aliyefungwa mdomo na mshahara au cheo, ni ajabu kuona mtu asiye na ajira wala uhakika wa kipato akiogopa kujitetea

    Ni tangu enzi za ukoloni ajira iliweza kutumika kama kifaa cha kuogopesha watu wasifungue mdomo. Mkoloni alifungua mashamba, viwanda, na miradi mingi sana, watu walilipwa mshahara waweze kujihudumia hata kama walipata kidogo, ambao hawakuwa na ajira nao waliweza kusurvive, enzi hizo mambo...
  4. sanalii

    JamiiForums Tanzania Suluhu hana suluhisho, ubabe wake umefikia mwisho, jukwaani anatoa mipasho, hoja zake hazina mashiko.

    Yule fedhuli mwenye roho ya korosho, Mwenye hoja zisizo mashiko, Anadhani katiba ni hadithi za esopo, Kila mara hutoa boko, Kwasasa amekosa soko, Kila kona mi miwasho, Mikali zaidi ya ile ya uamsho, Ataipata ya joto, Kiti kitawaka moto. Wahuni wenye mikoko, Wanaotegemea pisto...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Njaa imetanda Sudan huku wakiuana na kuchinjana hadi basi tu, binadamu amechafukwa hana huruma

    Haya mapicha yanasikitisha, hapa kuna link kwa yeyote mwenye uwezo wa kutoa misaada abofye akasaidie, hali ni mbaya, hadi nimekosa hata hamu ya kula...
  6. Mbondijr

    JamiiForums Tanzania Waungwana kama kanji hana mnara huyu jamaa ajengewe mnara chapu

    Haiwezekani huyu jamaa anavyo tupuna na kutupukutisha asiwe na mnara aisee duh Huyu jamaa hata uji wa mgonjwa haachi achiliambali wa mtoto Haiwezekani mshahara wa mwezi mzima apitenao shwaa hata chenchi asinibakishie Ina maana kesho naenda kazini by foot. Shikamoo kanji
  7. FK21

    JamiiForums Tanzania Mnaowapondea Wapare, mbona huyu wangu hana hizo tabia?

    Ile trend ya wapare wachoyo +wachawi mbona uyu MARIAM wangu Hana hayo anapenda tu makande Mzuri mcha Mungu muelewa au bado navutiwa timing?
  8. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania GE2025 MKOLONI HANA RANGI Episode 2: Miaka 4 Ya Samia vs Miaka 4 Ya Richard Turnbull

    RICHARD TURNBULL UWEKEZAJI KWENYE MATUMIZI YA AKILI UINUAJI WA HAKI NA SIASA ZA KUJITEGEMEA KUHAKIKISHA RASILIMALI ZINANUFAISHA NCHI PIA KUIMALISHA MFUMO BORA WA ELIMU NA AFYA KUIMALISHA NA UTUNZAJI MZURI WA RELI WA BARABARA BANDARI YA TANGA NA DAR ES SALAAM ZILIBORESHWA ZAIDI KWA KUJALI UKUAJI...
  9. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi la Polisi kupiga picha Mahakamani kwenye kesi dhidi ya Lissu, ni utaratibu au vitisho?

    CHADEMA kupitia mitandao yake ya Kijamii, imetoa taarifa kuwa Jeshi la Polisi limeanza kupiga picha Mahakama Kuu Dar es Salaam ambako leo wanachama wa chama hicho wamekusanyika kusikiliza shauri la uhaini linalomkabili Mwenyekiti wa chama hicho. ---- Tukio la Jeshi la Polisi kupiga picha...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Jamaa kasomea uinjinia wa umeme lakini hana ajira

    Kutoka katika ukurasa rasmi wa Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche ameandika..... "Nchi ya Tanzanite, migodi mikubwa ya dhahabu, Nchi ya almasi, Nchi ya Ngorongoro, Serengeti na Serous.. Nchi ya makaa ya mawe, chuma, uranium, nickel na cobalt. Nchi inayoagiza Mpaka gunia la Kubenea viazi...
  11. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Wanaosema Humphrey Polepole hana jipya wajue

    Japo wengi hawaoni lolote jipya kwenya madai ya Humphrey Polepole, mie naona yapo mengi. Give the dirty his due. Polepole, ajue asijue, akusudie asikusudie, akiri asikiri, ana mapya mengi anayo. Huyu Mwanasheria wa ACT ni chawa anayedandia. Hebu tufikiri pamoja. Hapa jipya siyo kile alichosema...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Masikini hana chakupoteza akipoteza labuda kapoteza umasikini wake

    Watanzania msifikir kucomment na kupost ndo inatosha kupaza sauti zenu kudai HAKI dhidi ya viongozi wabinafsi bali watawapuuza kama vile hawajawaona. Marekani waliandamana Hadi bungeni na ikulu kumpinga Trump Nyie endeleeni kukaa kama wafu mtegemee mtu mmoja awapazie sauti wakati umoja ni...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu amorim hana back up plan? Hata katimu kadogo hivi anaanza na mabeki watano

  14. kaputula

    JamiiForums Tanzania Asharose hana ubora kwenye uongozi ila connection na Kikwete ndio inambeba

    Kuna wasomi wanawake Kikwete amewabeba awamu yake ya urais kutokana na harakati zake alipokua kiongozi wa wanafunzi chuo kikuu cha Dar es Salaam. Mtu kama Asharose anajua sana kingereza, ni msomi mzuri wa sheria lakini misimamo gani ya kisiasa anayo inatia mashaka. Kwa mimi ninayeamini katika...
  15. PLOII

    JamiiForums Tanzania Stars imemaliza mwendo taifa limepoteza; Morocco ni Football Brain tugange yajayo, Asanteni Watanzania kwa Sapoti kwa timu yenu

    Kwenye Mada moja kwa moja, Tukubali kuwa kilichotokea leo ni matumizi ya Brain, tukubali tukutae matumizi ya Brain kwa wachezaji wetu ni KIDOGO sana mfano Coach unamtoa Kagoma anaingia SAADUNI (hana anachoweza) badala yake katikati panapwaya ~ Morocco wanasogea kirahisi bila pressure. Clement...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo Hana athari ndo maana wajanja wanampotezea tu. Tani Moja tu ya uranium kwa MOSSAD/CIA inatosha kabisa!

    Ndo hivyo. Unajua wajanja au born town ni watu ambao hawatumii nguvu pasipo nguvu.......wanamchora tu mtu na kupima kama kweli Yuko serious au la. Wakiona ni bwege tu asiye na mbele Wala nyuma huwa wanamwacha na wanacheka tu. Hali ikiwa tofauti basi hudeal nae kiume. Haka kakitu hakina athari...
  17. Bueno

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kumsaidia Mtu kile Kidogo kabisa ulichonacho kisha baada ya kumsaidia akaingia Mitini hana Habari na Wewe unajua inauma Kiasi Gani?

    Wakuu, hivi nyinyi imeshawakuta yaani unampiga mtu tafu kile kidogo kabisa ulichonacho yaan ndio akiba yako hio mtu anaitaka hio hio umsaidie unaingia unavunja kibubu unampa kwa moyo mmoja kabisa sababu ya kukamilisha kutenda matendo ya Huruma. Ila baada tu ya kumsaidia mtu huyo anaanza kukuona...
  18. GuDume

    JamiiForums Tanzania Tusilee ujinga, nilipogundua hii dawa akaondoka mwenyewe na hana hamu tena

    Dogo kamaliza shule mwaka 2023 akaja kukaa kwangu ambapo mimi ni shemeji yake. Mara ya kwanza nliona its ok akae akae akitafuta michongo kwa miezi miwili mitatu nisimbanie. Amekaa mwaka ukaisha. Yupo tu anafuga kitambi. Anaamka saa 3 anakunywa chai. Anaangalia tv na kucheck movies tu akisubiri...
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wakati JPM akipondaponda demokrasia, hii ndiyo shughuli aliyokuwa akifanya Polepole, aliisahau katiba mpya, atakumbukwa kwa kusifia "vieitee"

    Alikuwa Katibu Mwenezi wa CCM aliyetumia muda mwingi kufanya mambo yasiyoeleweka. Alikuwa anakata mauno mbele ya watu, badala ya kuongelea wakulima, wafugaji au katiba mpya.
  20. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Polepole ni Mkwara mbuzi tu, anatishia nyau ila hana lolote

    Humphrey Polepole, aliyekuwa Balozi na Katibu wa Itikadi wa CCM, sasa ni mshindwa wa hali ya juu (pathetic loser) anayeandamwa na machungu, akidai kufichua siri za chama ili kuudhoofisha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan. Kauli zake za chuki ni za mtu aliyeporomoka, anayeishi kama kibaraka...
Back
Top Bottom