hana

  1. JamiiForums Tanzania Simba hana record nzuri na timu za Kusini na Magharibi mwa Afrika

    Simba hana record nzuri na timu za Kusini na Magharibi mwa Africa kulinganisha na Kasikazini. Kama ambavyo yanga hana rekodi nzuri na timu za Warabu. Naongea kiufundi sio kiushabiki Simba alitolewa na timu kutoka Msumbiji, akatolewa na timu kutoka Botswana, akatolewa na Pirate na Kaizer Chief...
  2. JamiiForums Tanzania Zelensky anaposifia silaha za Marekani hana nia nzuri na dunia

    Kila siku raisi wa Ukraine anapotaka kujisifu kuwa amekomboa eneo au tuseme anapopiga propaganda za vita hawachi kusifu silaha fulani aliyopokea karibuni kutoka Marekani au kwa washirika wake. Na anaponyimwa chochote na nchi hizo hawachi kutoa lawama za wazi wazi na vitisho kwa taifa hilo kwa...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Jay Melody ni kwamba hana hela ya video? Wimbo ndiyo unaishia hivyo

    Huyu bwana mdogo anafeli sana, ametoa hit lakini hataki kutoa video. Sasa wimbo wake kidogo kidogo unapotea masikioni japo ni mkali sana. Nashindwa kuelewa ni umasikini, kama ni hivo watu wenye fedha zetu hatuwezi kushindwa kumpa milioni 30 atoe video. Sasa wimbo mkali anachelewa kutoa video...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu Ni kuwa Tundu Lisu Hawezi Kuwa Rais Wa Nchi Hii, Hana sifa za kiuongozi za kuwa Mkuu Wa nchi

    Ndugu zangu huo ndio ukweli kuwa Tundu Lisu Hawezi Kuwa Rais Wa Nchi Hii ya Tanzania, Hata Kama angezaliwa kabla ya Uhuru na kuwepo wakati huo na ikatokea uchaguzi, bado Lisu asingepewa nafasi ya kuwa Mkuu Wa nchi Hii ya Tanzania, kwa kuwa anakosa sifa za kiuongozi anazopaswa kuwa nazo Mkuu Wa...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii, Mmarekani hana mpinzani wadau: jiandaeni tu kuolewa!

    Yanayoendelea huko Ukraine na Russia nilifikiri ni mihemko na ujuaji mwingi tu wa wabongo.......kumbe ni kweli mzee mzima putin anakutana na wakati mgumu; Vyombo vyote ninavyoangalia sasa, hata vile visivyo rafiki wa marekani, vinatangaza tu sasa kuyumba kwa urusi. Nikikumbuka jinsi dunia...
  6. JamiiForums Tanzania Kuwa Mkweli ni Kitu gani hakika 'Unakimisi' mno kutoka kwa Mpenzi wako mliyeachana na huyo Uliyenae sasa hana kabisa?

    Nipo tayari sasa Kusoma Maoni yenu.
  7. JamiiForums Tanzania Pamoja na Simba Kumchukuwa Mgunda, Hana Leseni Daraja A, Kocha wa Simba Queen Nkoma Kuiongoza Simba Malawi

    Huu ni uhuni, pamoja na kelele zote kumbe hata leseni A ya CAF hana, simba panashida sana, ujanja mwingi hakuna kitu.
  8. JamiiForums Tanzania Kiongozi asiye mzalendo na anayejali tumbo lake huwa hana huruma na raia masikini na wasio na uwezo

    Dunia nzima kiongozi wa namna hii huwa hana huruma. Hawezi kujali kama wananchi wanahangaika juu ya ugumu wa maisha na ajira. Atahakikisha wanakamuliwa kodi za kila namna bila ya huruma. Wananchi huwa wananug'unika kama ilivyo kwa sasa Tanzania yetu. Ni manug'uniko kwa kwenda mbele.
  9. JamiiForums Tanzania Mzungu hana rafiki, kapindua meza Kenya ipo siku atapindua meza Tanzania!

    Hakuna mtu alikuwa karibu na mzungu kama Raila, hakuna aliyekuwa ana ushawishi mbele ya mzungu hapa Afrika kama Raila mpaka hata walisema Obama ni cousin yake, lakini siku imefika na mzungu kapindua meza na Raila hatakiwi tena. Najua mtasema Ruto kashinda kidemokrasia lakini ukweli ni kwamba...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ruto: Maamuzi ya mahakama tunamuachia Mungu

    "Sisi ni watu ambao tunamtambua Mungu, maamuzi yatakayoenda kutolewa kesho tumemuachia Mungu na viongozi wa mahakamani waamue na kenya iweze kwenda mbele". "Mimi naomba kwa heshima kubwa mumuombee Kenyatta hasa katika kipindi hiki cha transition, Mungu amsaidie ampatie hekima, kuwe na...
  11. JamiiForums Tanzania Putin hana unafiki, haendi mazishini, siyo kama wengine!

    Kama haumpendi mtu kwa nini kujibaraguza kuhudhuria mazishi yake kama akifariki tena wengine mpaka wanatoa hotuba kwenye mazishi lakini you don’t mean it, Rais wa Urusi Putin ameonyesha njia baada ya kifo cha Rais wa mwisho wa USSR kwenye mazishi yake Gorbachev haendi, Putin siyo fun wa...
  12. JamiiForums Tanzania Tusipende kutumia msemo kwamba Mungu amempa huyu na fulani hajampa, Mungu hana upendeleo na huenda anahusika kidogo sana kwenye mafanikio yetu duniani

    Msemo huu hupendwa sana kutumika hasa na watu kanda ya mikoa ya pwani ya bahari. Utasikia hili sio fungu langu, fulani kapewa fulani kanyimwa. Hizi ni fikra za kimasikini sana za kumfanya mtu anafikia mpaka kuridhika na hali yake na kushindwa kupambana kwa njia tofauti za kufikia malengo yake...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Aibu sana tajiri msomi kama Mengi kushindwa kuandaa succession plan ya utajiri wake. Bakhressa hana elimu ila ameweza

    Habari wadau. Nazani wote tunaona ona ugomvi wa mirathi wa familia ya mengi. Mtu unapata utajiri wa zaidi ya bilion 500 ila unashindwa kuandaa waendelezaji wa mali hizo. Mtu tajiri sana kama Mengi ila unaruhusu watoto wako wanakuwa wakubwa mpaka wanafika miaka 25 ama 30 bila kuoa hata...
  14. JamiiForums Tanzania Alinikataa alipokuwa hana mtoto, kazalishwa sasa hivi ni mwepesi

    Wanawake aisee Mungu awape hustahimilivu mkubwa sana na jicho la kuona mbali saaana, maana najua changamoto ya wanawake wanashindwa kuchagua mtu sahii wanajikuta wanachakazwa na wakware mbalimbali then wanaishiwa kutupwa au kuachwa. Ni binti flani wa mtaani kwetu kweli nilimpenda sana na...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mtanzania asiyelipa Kodi anakuwa hana uchungu na nchi yake. Asante sana system kwa kuweka hili sawa

    Yaani sisi tuliokuwa na uchungu na Nchi yetu na rasimali za Tanzania tulionekana ni wapiga kelele tu. Hatukuwa wakurupukaji tu bali tuna uchungu na nchi yetu tunapoona Kodi zetu zikitumiwa vjbaya na viongozi. Hilo la kuhakikisha kila mtanzania, kinana, mzee, mke na mume wanalipa kodi sasa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Aliachana na mumewe baada ya kupima HIV yeye akaonekana hana maambukizi. Anataka anipe mzigo. Je nipige?

    Waliishi na mumewe kwa zaidi ya miaka 15. Sasa wameaachana kwa talaka na hii ni baada ya wote kupima na mke akabainika hana maambukizi huku mume akiwa Hiv positive. Nimeomba mzigo kasema fresh. Sasa hofu yangu ni kula mzigo wa namna hii.
  17. JamiiForums Tanzania KALIUA: Shaka awanyooshea vidole Maboss wanaonyanyasa wanawake Kingono asema akibainika tu hana Kazi

    SHAKA AKEMEA WALE WOTE WENYE VYEO WANAOHUSISHWA NA UNYANYASAJI WA KINGONO ASEMA UKIBAINIKA HUNA KAZI. === Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekemea tabia ya udhalilishaji inayodaiwa kufanywa na baadhi ya watumishi waliopewa dhamana katika halmashauri mbalimbali ikiwemo ya Sikonge. Akizungumza leo...
  18. JamiiForums Tanzania Nimeamua Kukisanua: Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally 'anatukanwa' mno na CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez ila hana jinsi

    Kama kuna Mtu ambaye anajuta kwanini kaacha Kazi Azam Media na kaja kuwa Msemaji wa Simba SC basi atakuwa ni Msemaji wa sasa Ahmed Ally. Wengi wenu huwa mnamuona Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally yuko very normal ila ukweli ni kwamba ana Maumivu makubwa Moyoni hasa la Kutukanwa mara kwa mara na...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Hana mazoea ya kushikiwa simu yake

    Nina mpenzi wangu ambae namtazamia kama mke wangu mtarajiwa, amekua ni msiri sana kwenye simu yake mara kwa mara akija kwangu simu inashinda kwenye mkoba na iko silent t, hua namtega namuomba simu yake anajibu hana mazoea ya kumpa mtu mwingine simu yake, mm nipo open sana kwake hata simu yangu...
  20. JamiiForums Tanzania Urusi hana hamu na HIMARS, ghala la silaha lafyekwa na kupelekea hasara kubwa

    Urusi wanasaka hizi silaha za HIMAS usiku na mchana maana zinawatesa zaidi ya balaa, na bado Marekani wanaendelea kuziongeza, ni aina ya silaha yenye uwezo wa maangamizi makubwa na ikipiga wanaiondosha ilipofyatulia, hivyo hata ukijibu unaambulia kupiga mapori bila chochote cha maana humo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…