hamu

Hamu is a surname and given name. Notable people with the name include:

Ana Hamu, Māori woman
Bruna Hamú (born 1990), Brazilian actress and model
Hamu Kayondo (born 1990), Ugandan cricket player
Hamu Shiru (died 1932), Yezidi tribal leader

View More On Wikipedia.org
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Waitara atamba, adai Heche hana nyumba Tarime, anaishi kwa mama yake, asema anamsubiri kwa hamu uchaguzi wa 2025

    Tarime haijawahi kupoa! Mbunge Waitara, akihojiwa na kituo Cha tv Cha Dar24 ametamba kwamba hawezi kubabaishwa na mwanafunzi wake kisiasa, John Heche, na kwamba atamchakaza kwenye uchaguzi wa 2025. Waitara ametamba kwamba John Heche hana nyumba Tarime, na kwamba anaishi kwa mama yake, hivyo...
  2. Hyrax

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dalili 7 zinazokujulisha kuwa Mwanamke ana hamu na tendo la ngono

    1. Anapenda kujishika nywele, kidevu, mikono, shingo na mashavu kila wakati 2. Anapenda kulamba au kung'ata lips mara kwa mara 3. Anapenda kupost picha au video zenye msisimko wa kingono mara kwa mara 4. Anapenda kupiga stori na kucheka cheka na akikaa sehemu anapenda kubana miguu 5. Ngozi yake...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nasubiri Uchambuzi wa Yericko Nyerere Sakata la Kariakoo na Ujasusi wa Kiuchumi (Biashara)

    Ndugu zangu tusipige tu kelele kama watu wasiokuwa na mwelekeo bali tulitazame sakata la Wafanya biashara wa kariakoo kwa Angle kubwa ikiwemo athari za Kiuchumi, kisiasa na kiusalama ktk Nchi. Natamani kusikia yule mtaalam wa uchambuzi wa siasa za kiintelijensia ya uchumi (financial matters)...
  4. Ashampoo burning

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeachwa wadau baada kufulia … Sina hamu

    Jamani ashampoo nilikuwa mshua fulani nilianza kuingiza hela toka nikiwa chuo huko sasa hela zilikuwa zinaingia sana kwa siku milioni kwanza kawaida .hapo nikiwa chuo mwaka wa pili tayari bank nina 50 millions kiukweli maisha yalikuwa mazuri sana Biashara niilikuwa nafanya gadgets...
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kupoteza Hamu ya Ngono kwa Mume Wangu: Je, Mimi Nipo Peke Yangu?

    Nimekaa hapa nikaona wacha nipige story na washirika wa jamii forum, hasa muda huu ambao wengi tupo maofisini na katika biashahara, ila mimi nipo napunga upepo katika mbunga moja nzuri hapa Tanzania. Twende kwenye Hoja Mimi ni mama wa watoto 3 na mke wa mtu, nipo ndani ya ndoa zaidi ya miaka...
  6. OCC Doctors

    JamiiForums Tanzania Hamu ya tendo la ndoa wakati wa hedhi

    Homoni ya 'Estrogen' hupungua mwanzoni mwa mzunguko wa hedhi na kisha huanza kupanda kwa kasi kwa siku ya pili au ya tatu. Hii hupelekea mwanamke kupata hisia na hamu kali ya tendo la ndoa akiwa katika siku za kukaribia kupevuka kwa yai. Ikiwa mwanamke atapata hamu na hisia ya tendo wakati...
  7. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Kwanini watumishi hawana hamu na tarehe 1/5/2023 sikukuu ya wafanyakazi? Ni majeraha ya nyongeza ya 23% mshahara?

    Kama mjuavyo mwaka jana watu walikuwa kimuhemuhe cha nyongeza ya mishahara kwa asilimia 23.3 kitu ambacho "msigwa na raisi wa tukta" hawana majibu ya namna asilimia hizo zilivyo ongezwa kwenye mishahara ya watumishi. Jambo hilo huwenda ndio chanzo cha watumishi walio wengi kupoa mioyo yao...
  8. Bridger

    JamiiForums Tanzania KWELI Baadhi ya Dawa za kutibu Malaria zinaweza kusababisha mzio mwilini, ikiwemo Kuchubuka Uume na Midomo

    Mdau wa JamiiForums analalamika kuwa alitumia dawa za kutibu Ugonjwa wa Malaria zinazoitwa EKELFIN ambazo baadaye zilimsababishia kupatwa na mchubuko sehemu za siri na midomoni. Anashangaa kwanini Serikali haitoi taarifa kwa watumiaji juu ya madhara ya dawa hizi kwa binadamu. Ni kweli kuwa...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Bakhmut bado ni kimbembe, mfupa uliomshinda fisi, Mrusi hana hamu

    Mrusi ametupia kila kitu hapo Bakhmut, "mizoga" ya Warusi kila siku inaongezeka kwa maelfu lakini wazalendo wa Ukraine wamesimama kidete, wanapambana kuingia kwenye historia kama Daudi dhidi ya Goliathi, tuliaminishwa siku zote Urusi ni jitu............ =================== Kiev, April 11...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi za Afrika hazina hamu tena na "Demokrasia ya Kimarekani"

    Mkutano wa pili unaojiita kama "Wa kilele wa demokrasia duniani" ulioandaliwa na serikali ya Marekani utafanyika hivi karibuni, na moja ya kumbi ndogo itakuwa barani Afrika lakini hadi sasa, ni nchi 16 tu kati ya 54 za Afrika ambazo zimethibitisha kuhudhuria. Hii imeonyesha kwa mara nyingine...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wenye umri wa miaka 35 hamjaoa na hamna hamu ya ndoa njooni tujadili

    Sasa nina miaka 35 sipati hamu kabisa ya kuoa na kuishi na mwanamke, labda aje tu nichaape aondoke. Ziko shida nyingi na hatari nyingi ninazoweza kupata kwa kutoishi na mwanamke, kiufupi sina sababu ya msingi ya kuwa bachela hadi sasa. Hakuna kitu nakerwa kama kulizwa naoa lini , current...
  12. Mohammed wa 5

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sina hamu na Mapenzi

    Mimi ni kijana me umri miaka 29 naishi mkoa X shida yangu nakosa HAMU ya mpenzi au kufanya MAPENZI Ila Niko rijali kabisa tatizo nikitongoza tu mwanamke akanikubalia hapo nakuwa Sina HAMU nae Tena. Na siku tukipanga appointment aje geto kabla ya kufika naghairi asije namwambia nimepata...
  13. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya ufisadi wa Deus Seif na Abubakari Alawi kutolewa 10 machi, 2023. Walimu na wanachama CWT wasubiri kwa hamu

    Kama inavyofahamika, watajwa hapo juu walikuwa ni viongozi wa chama cha walimu Tanzania, Deus Seif akiwa katibu mkuu na Abubakari Alawi akiwa mweka hazina wa Taifa. Walishtakiwa na Jamhuri (TAKUKURU) Mei 2021 kwa kesi ya uhujumu uchumi, wizi wa fedha za walimu na matumizi mabaya ya madaraka...
  14. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akiwa hivi hata hamu ya michepuko ama kuongeza mke inapungua, unakuwa umepata pumziko sio majuto

    kwa ufupi nyumbani pakiwa hivi unapa miss sana, unamuwaza mke na watoto na unapata ari ya kuwapigania.
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Mvurugiko wa homoni chanzo cha kukosa nguvu za kiume, hamu ya tendo

    Wataalamu wa afya wamesema tatizo la mvurugiko wa homoni ‘hormone imbalance’ ni chanzo kikubwa kwa mwanaume kukosa nguvu za kiume na mwanamke kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa. Hata hivyo, wengi wamekuwa wakikimbilia kutumia dawa badala ya kuwaona wataalamu hali inayochangia kukuza tatizo na...
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amenikata hamu kabisa na nguvu za kiume zimeisha. Kumbe haya matatizo ya nguvu za kiume sababu ni Wanawake

    Huyu dada siku ya kwanza nimemtoa out nlimwona tu alivyokuwa na ushamba. Dada mzuri wa sura na umbo. Lakini kichwani ana ushamba flani. Mtu mmeonana jana leo anakutumia msg ana njaa na anafanya kazi. Huu ni upumbavu wala si ujanja. Wanawake wengi hawajielewi. Binafsi sipendi mtu anayetangaza...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi hana hamu na HIMARS, ghala la silaha lafyekwa na kupelekea hasara kubwa

    Urusi wanasaka hizi silaha za HIMAS usiku na mchana maana zinawatesa zaidi ya balaa, na bado Marekani wanaendelea kuziongeza, ni aina ya silaha yenye uwezo wa maangamizi makubwa na ikipiga wanaiondosha ilipofyatulia, hivyo hata ukijibu unaambulia kupiga mapori bila chochote cha maana humo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nikikumbuka nilivyowabeba Sarpong na Moringa terminal 3 sina hamu na GSM

    Nilipigwa na jua toka asubuhi mpaka saa nane Sarpong sababu ya kikungoja wewe,kumbe hata danadana hujui kupiga, Moringa aka Falcao, tukaambiwa alikuwa anatakiwa PSG leo yupo Namungo. GSM mna dhambi sana
  19. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku hizi sina hamu ya kutongoza wanawake kabisa, kuna wanaume humu ambao washapitia hii stage?

    Mimi ni kijana in my 20's miaka michache iliopita nilikuwa tongoza tongoza na nilikuwa nabadilisha sketi, nkaacha, badae nikawa na tabia ya kununua makahaba wanaojiuza barabarani, baada ya muda nilipima hivi Mara mbili, nikajikuta niko salama, Nilijitafakari na sikuona faida wala tuzo ya hayo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wana - Iramba tunasubiri kwa hamu kutimuliwa kwa Jesca Kishoa

    Miongoni mwa Wadada na Wanawake ambao wapenda Demokrasia Tunasubiri Kwa hamu watimiliwe CHADEMA ni huyu Jesca Kishoa. Ambaye amefanya CHADEMA Iramba kama KIKOBA !Kwa Unafiki ambao amekuwa akitufanyia na kutufanyia sisi punda wake. Hakika kama Kuna kitu Cha Maana ambacho Baraza Kuu litafanya na...
Back
Top Bottom