Kupoteza Hamu ya Ngono kwa Mume Wangu: Je, Mimi Nipo Peke Yangu?

chonka

New Member
May 6, 2023
2
21
Nimekaa hapa nikaona wacha nipige story na washirika wa jamii forum, hasa muda huu ambao wengi tupo maofisini na katika biashahara, ila mimi nipo napunga upepo katika mbunga moja nzuri hapa Tanzania.

Twende kwenye Hoja

Mimi ni mama wa watoto 3 na mke wa mtu, nipo ndani ya ndoa zaidi ya miaka 14, na mimi ni mwajiriwa katika NGO na nina cheo kikubwa na mwonekano wangu hauendani na miaka niliyonayo, ni kama kijana.

Kisa nachotaka kupiga story na nyie itapendeza nipate maoni ya wanawake na wanaume muwe watazamaji, hivi ni kweli wanawake wenzangu kuna wakati hamna hamu na waume zenu nikimanisha katika sita kwa sita kuna wakati unamwona mume wako kama kama kaka ako ata haushutuki.

Ndio hali ninayopitia mimi, toka kuanzia miaka 6 kama sikosei nilianza kumwona mume wangu kama kaka angu, ni kawa sina hamu nae, na asipo nianza wala ata sitakaa nimuanze, nikawa sina mzuka nae nitafanya nae tendo ila ni ile hali ya fanya maliza ondoka, na ni baba bora na anayetimiza majukumu yake kama mume.

Mpaka saa nyingine natamani kuchepuka kama msemo wa mjini ulivyo ila bado sipo tayari kumsaliti mume wangu hakuna baya alilonifanyia, ilani hali tu iyo nayopitia.

Swali ni Je wanawake wenzangu uwa mnafanyaje mnaopitia hali kama ya kwangu.​
 
MIMI SIO KE ILA JIBU NI MOJA TU 👇👇👇👇👇👇👇
Screenshot_20230510-233754~2.png
 
Nimekaa hapa nikaona wacha nipige story na washirika wa jamii forum, hasa muda huu ambao wengi tupo maofisini na katika biashahara, ila mimi nipo napunga upepo katika mbunga moja nzuri hapa Tanzania.

Twende kwenye Hoja
ya kwangu.​
WEWE ndani ya moyo wako ni Malaya tu unaetafuta uhalali wa kufanya umalaya wako...go ahead na hyo program Yako ya uchepukaji then usisahau kuja kutupa mrejesho..

subiri wachepukaj wenzako mostly single Maza waje kukuhalalishia uchafu unaotaka Kuanza..kiufup unataka kusikia go ahead..😂😂😂
 
Mimi nakushauri wewe chepuka tuu upate starehe ya muda mfupi alafu ukisha haribu maisha uje hapa tukupe ushauri.

Sio wewe tuu hata sisi wanaume tunakosa hamu na wake zetu sema tuna zuga tuu siku ziende tuzeeke pamoja nani anapenda kuzeeka bila familia.

Cha msingi wewe mdharau mume wako alafu chepuka ukizingatia umri wako umkubwa lakini muonekano unakubeba sawa.
 
Nilishawahi kuwa na demu mwenye vitabis Kama vyako nikapiga chini.

Mwanamke akikosa hamu ya tendo kwa mumewe Basi Ni dhahiri kwamba Huyo mwanamke anachepuka na penzi la mchepuko limekukolea.
Watu Kama nyie sio wa kuvumiliwa hata kea dakika moja.
 
Nimekaa hapa nikaona wacha nipige story na washirika wa jamii forum, hasa muda huu ambao wengi tupo maofisini na katika biashahara, ila mimi nipo napunga upepo katika mbunga moja nzuri hapa Tanzania.

Twende kwenye Hoja

Mimi ni mama wa watoto 3 na mke wa mtu, nipo ndani ya ndoa zaidi ya miaka 14, na mimi ni mwajiriwa katika NGO na nina cheo kikubwa na mwonekano wangu hauendani na miaka niliyonayo, ni kama kijana.

Kisa nachotaka kupiga story na nyie itapendeza nipate maoni ya wanawake na wanaume muwe watazamaji, hivi ni kweli wanawake wenzangu kuna wakati hamna hamu na waume zenu nikimanisha katika sita kwa sita kuna wakati unamwona mume wako kama kama kaka ako ata haushutuki.

Ndio hali ninayopitia mimi, toka kuanzia miaka 6 kama sikosei nilianza kumwona mume wangu kama kaka angu, ni kawa sina hamu nae, na asipo nianza wala ata sitakaa nimuanze, nikawa sina mzuka nae nitafanya nae tendo ila ni ile hali ya fanya maliza ondoka, na ni baba bora na anayetimiza majukumu yake kama mume.

Mpaka saa nyingine natamani kuchepuka kama msemo wa mjini ulivyo ila bado sipo tayari kumsaliti mume wangu hakuna baya alilonifanyia, ilani hali tu iyo nayopitia.

Swali ni Je wanawake wenzangu uwa mnafanyaje mnaopitia hali kama ya kwangu.​
Ushauri wa bure nenda hospital kamuone specialist hakikisha haufichi kitu na usiwe mwoga lasivyo utayakoroga.
 
We umeanza kugongwa na mtu mwingine ,mana nyie mkianzaga kuchepuka huwa mnahama Mazima Mazima , matako na miguu na kichwa chote kinahamia Kwa huyo mchepuko , mwisho wa sku wakuchezee upate maradhi alaf Mme wako ndo ahangaike.... Na huko mahofsini mnadanganyana ujinga mtupu
 
Najibu kama mwanaume; mumeo hana swaga, na hii hutokea pale mnapozoeana sana, na kuona vitu vingine havina umuhimu.

Nb: mwambie mr aku-treat wewe kama muhuni fulani, akuchape chape hizo assets ulizonazo; naimani utafurahia uhusiano ulionao.​
 
Acha umalaya baki njia kuu michepuko sio dili
Ebu achana na uyo mchepuko ulienae kwa sasa hamu ya mumeo itakuja tu ila ukiendelea na uyo mchepuko hamu ya mumeo hutokua nayo na bado ndoa yako utaiweka matatani
Afu pia kua na huruma na watoto wako 3 iv ndoa ikivunjika hao watoto watakua na kuishi ktk mazingira gan
 
Nimekaa hapa nikaona wacha nipige story na washirika wa jamii forum, hasa muda huu ambao wengi tupo maofisini na katika biashahara, ila mimi nipo napunga upepo katika mbunga moja nzuri hapa Tanzania.

Twende kwenye Hoja

Mimi ni mama wa watoto 3 na mke wa mtu, nipo ndani ya ndoa zaidi ya miaka 14, na mimi ni mwajiriwa katika NGO na nina cheo kikubwa na mwonekano wangu hauendani na miaka niliyonayo, ni kama kijana.

Kisa nachotaka kupiga story na nyie itapendeza nipate maoni ya wanawake na wanaume muwe watazamaji, hivi ni kweli wanawake wenzangu kuna wakati hamna hamu na waume zenu nikimanisha katika sita kwa sita kuna wakati unamwona mume wako kama kama kaka ako ata haushutuki.

Ndio hali ninayopitia mimi, toka kuanzia miaka 6 kama sikosei nilianza kumwona mume wangu kama kaka angu, ni kawa sina hamu nae, na asipo nianza wala ata sitakaa nimuanze, nikawa sina mzuka nae nitafanya nae tendo ila ni ile hali ya fanya maliza ondoka, na ni baba bora na anayetimiza majukumu yake kama mume.

Mpaka saa nyingine natamani kuchepuka kama msemo wa mjini ulivyo ila bado sipo tayari kumsaliti mume wangu hakuna baya alilonifanyia, ilani hali tu iyo nayopitia.

Swali ni Je wanawake wenzangu uwa mnafanyaje mnaopitia hali kama ya kwangu.​
Hayo ni matokeo ya kulala kitanda kimoja chumbani kila siku.

Wekeni vitanda viwili 3×6 mlale separate mtakuwa na hamu ya kunjunjana kilq uchao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom