hamasa

Hamasa (Arabic: حَمَاسَة‎, romanized: Ḥamāsah) is an area in the Buraimi area in Oman on the Oman–United Arab Emirates border. Hamasa, for the period of 200 years, was the capital of the Buraimi district.

View More On Wikipedia.org
  1. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali inanufaika nini na wananchi wengi kujiandikisha na kupiga kura? Mbona hamasa ni kubwa mno?

    Mimi ni mwananchi mshamba tu ni juzi juzi tu hapa ndio nimetoka shamba. Gharama ni kubwa sana na nguvu ni kubwa sana SERIKALI INATUMIA KUHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA NA KUPIGA KURA. Serikali inazirudishaje hizi gharama baada ya juhudi hizi? Kuna faida kiasi gani serikali inanufaika na hii...
  2. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Nimevumilia muda mrefu sasa nakaribia kuuteka mtaa hamasa kwa wanaoanza biashara

    Kwemah wakuu,,,tunapeana tu motisha na kuongeza mapambano ya kila siku hasa kwa wadundulizaji kama mimi Iko hivi, nilipomaliza chuo niliingia zangu kitaa na idea ya kuuza vifaa vya simu na tigo pesa ambayo nilikuwa naifanya toka nikiwa chuoni hasa tukifunga chuo au nikiwa mwanzoni mwa semester...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM wamchangia Lissu Milioni 5 atengeneze gari lake. Lissu azipokea

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaongoza wajumbe wa NEC alioongoza nao ziarani mkoani Mwanza na wanachama wa chama hicho mkoani humo wamemchangia Shilingi Milioni Tano Makamu Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA, Tundu Lissu ili kufanyia matengenezo gari yake. Pia...
  4. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kilichowaponza CHADEMA ni kauli na hamasa ya vurugu

    Kilichowaponza CHADEMA ni kauli na hamasa ya vurugu Na Mwandishi Wetu MWAKA 1994 hauwezi kufutika katika historia ya dunia baada ya watu zaidi ya 800,000 kupoteza maisha kwa mauaji ya wenyewe kwa wenyewe nchini Rwanda. Wengine zaidi ya 2,000,000 walikimbia nchi na kwenda maeneo mbalimbali...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Utendaji wa CCM hii chini ya mwenyekiti Samia suluhu hassan, ni wa kisayansi sana kisiasa, hamasa ni kubwa mno mioyoni mwa wananchi kujiunga nayo

    Faida za mipango mikakati, maagizo na maelekezo yanayoamuliwa na kutolewa kutoka vikao vya ngazi za juu vya CCM, hususani taifa, yanafika bara-bara na yanatekelezwa vizuri kikamilifu sana, na kwa ufanisi mkubwa mno kwenye matawi na mashina ya CCM huku mitaani na vijijini. hili liko wazi kabisa...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Ngao ya jamii haina hamasa kwasababu mapato yote yanaenda TFF na taasisi zingine kwa lengo la kuisaidia jamii lakini zinaishia mifukoni mwa wachache

    Hela unayopatikana wanadai wanarudisha kwa jamii ila hatujawahi kushuhudia hata beseni wamepeleka zahanati Sababu iliyopeleka mechi hii isiwe na hamasa ni "Tucheze sisi hela wapate wao? " kuanzia mwaka jana ngao ya jamii iliongezwe timu ziwe badala ya mbili, ni kufosi Yanga na Simba zikutane...
  7. Janeth Thomson Mwambije

    JamiiForums Tanzania Kuendeleza hamasa ya matumizi ya nishati safi ya kupikia

    Miongoni Mwa Utekelezaji Unaoendelea Kufikiwa na Serikali Ya Awamu Ya Sita, Ni Ufikiaji wa Asilimia Kubwa Ya Matumizi Ya Nishati Safi Ya Kupikia. Na Kwa Kutambua Umuhimu Wake, Nilifanikiwa Kutembelea Kampuni Ya Utengenezaji - Majiko, Ya, "Envotec", Inayotengeneza Majiko Kwa Kuzingatia Usalama wa...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Vikundi vya Hamasa vina tofauti gani na Chawa wa mama?

    Hivi karibuni kumekuwa na mjadala kuhusu watu wengi kujiita chawa wa mama, ambapo baadae Rais aliongea maneno ambaye nadhani yaliwarudisha nyuma kidogo. Leo, nipo Dodoma kama kawaida, kwenye one and two, tupo na waziri Mkuu hapa, kwa hiyo wamekuja wamama wengi wamevaa t-shirt zenye picha ya...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni bingwa wa maneno, wenzio wanajua fix

  10. Muuza madafu wa Ikulu

    JamiiForums Tanzania INONGA DAY: Tupia picha za Hamasa za mashabiki wa Simba wakijiandaa na Inonga Day

    Ewe Mwana lunyasi, Tuendelee kuhamasishana ili Jumamosi tukamkande Galaxy pale kwa Mkapa. Katika kuelekea mchezo huo, Afisa habari wetu ametupa hamasa wana lunyasi kwa kuuita Inonga Day au ukipenda Inonga Mgeni Rasmi. Nasi kama wana Simba, tunatakiwa tutokelezee kama Inonga. Hizi ni baadhi...
  11. Bhaghosha

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Chadema ziwe za kutia hamasa na hasira kwa wasikilizaji wake dhidi ya watawala

    Mikutano ya hadhara kwa vyama ni njia mojawapo ya kufikisha ujumbe unaokusudiwa. Lakini pia hutumika kuleta hamasa au hasira/mori. Mnakumbuka Mtikila na Magabachori pale Jangwani. Nawashauri sasa Chadema kugeuza approach. Katika wasemaji wao wachanganye pia watu wa aina ya Mwabukusi, au Askofu...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024

    Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuingia kucheza Mchezo wake wa kwanza wa AFCON dhidi ya Morocco kwenye mji wa San Pedro, Ivory Coast. Mechi hii itachezwa saa 2:00 usiku Timu hizo zipo kwenye kundi F ambpo timu nyingine ni Zambia na DR Congo. Upi utabiri wako wa mechi hiyo? ===========...
  13. 5 Nyingi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Unaibiwa Mama, Hamasa Haziwezi Kuibeba timu Mbovu

    Wakati nchi ya Ghana imeamua kuwekeza katika soka, serikali yao iliweka mazingira vutivu kwa wawekezaji wanaotaka kufungua academy, academy zikafunguliwa nyingi kama Makanisa ya jiji la Mbeya. Miaka 10 baadaye timu ya taifa ya Ghana ikaanza kuimarishwa na vijana waliotokea kwenye academy zao...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Timu ya hamasa AFCON mnasemaje kuhusu jezi ya taifa stars?

    Sandaland ndio inayoivalisha timu ya taifa. Wachezaji wetu ni vijana wenye akili timamu wanajua ni Brands zipi duniani zinatengeneza jezi Bora (prestigeous) na zipi zinatengeneza jezi hafifu (inferior) sokoni. Inafahamika kuwa Nike, Puma, adidas, umbro, nk ni kampuni bora kwa vifaa na jezi. Sisi...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Walioteuliwa Kwenye Kamati ya Hamasa ya Taifa Stars hawa hapa

    Hii nchi ukiwa mwepesi wa Kucheka unaweza kupasuka Mbavu , Yaani Wahuni ndio wanaoteuliwa eti kwenye kuhamasisha timu ya Taifa . Kwenye kikosi hicho yumo Mwijaku aliyeshindwa kutimiza ahadi yake ya kutembea uchi ikiwa timu yake ingefungwa. --- Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas...
  16. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Sababu 30 Zinazopelekea Mmiliki Wa Kiwanja/Shamba/Jengo Kuuza Kwa Bei Nafuu

    Kuuza Kiwanja/Shamba/Jengo Kwa Hamasa Kubwa Hamasa ya muuzaji ni kile kinachomsukuma mmiliki auze ndani ya siku anazotegemea. Hamasa inaweza kuwa moja ya mambo yafuatayo:- ✓ Kutalakiana kwenye ndoa. ✓ Migogoro ya ubia miongoni mwa wamiliki wa kiwanja, au jengo. ✓ Kupoteza ajira. ✓...
  17. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Kuanzia Leo Simba Mjifunze Mpira sio Hamasa kubwaa bali ni uwekezaji Mzuri.

    Nahisi Leo mmeona mmefungwa mbele ya Mashabaiki wenu Lukuki na hii ni Muendelezo wa kuonyesha wapi mnakwama. Sold Out bila Usajili mzuri mtaendelea kuchezea tu. Mlipigwa na Raja kwenye Full House hamkujifunza na Leo Yanga kawapiga Tena goli Nyingi. Basi Leten mabango yenu ya kua mnahamasa...
  18. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Azam sio huzikamia Simba na Yanga no. Ni timu ambayo wachezaji wake wanaweza kufichwa na kupewa hamasa ili wasihongwe na Timu kubwa

    Azam pamoja na kutikuwa Bora lkn likija swala la Simba au Yanga wanakuwa wamoto mno. Je wanakamia?? Niko!!!! Timu Hizi kubwa kwanza hutaka ushindi kwa namna yoyote na kila timu ndogo viongozi wengi Ni washabiki wa Hizi timu kubwa na hivyo kutumika kuhujumu timu kwenye mechi ngumu. Kama kila...
  19. Utopologist

    JamiiForums Tanzania Mpira ni mchezo wa mipango na mikakati, sio hamasa na siasa.

    Mpaka tutambue hili, hakuna maendeleo ya maana kisoka yatapatikana. Matokeo ya jana pamoja na Taifa Stars v Uganda mwezi uliopita ilikuwa ni funzo lakini bado hatutaki kuelewa.
  20. N

    JamiiForums Tanzania Hamasa za wanasiasa kwenye mpira ni laana

    Katika dunia ya leo ambayo ustaarabu upo kwenye kiwango cha juu mambo ya hamasa kwenye michezo hususani mpira yamepewa nafasi ndogo sana. Mpira ni mchezo wa medani unaitaji mikakati, mbinu na uhodari kuweza kumshinda mpinzani wako. Hamasa zimewafanya wachezaji wa yanga kuwa overwhelmed na...
Back
Top Bottom