halmashauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Chokochoko zilianza halmashauri kuu ya TANU 1963

    https://youtu.be/Vb7IeyvxrtE
  2. M

    JamiiForums Tanzania Chato: Wananchi hawamtaki Manunga awe mwenyekiti wa halmashauri. CCM Taifa wanalazimisha

    Kura zilipogwa kwa uwazi na Diwani Kapembe kushinda kwa aslimia 70. Manunga alishawachosha watu wa Chato. Anatuhuma nyingi sana ikiwemo ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi. Kapembe ameahinda kwa kura nyingi. Kwa nini Manunga anapigiwa debe ?
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hii biashara ya Mchanga wa Makaburini eneo la Kishenge (Bukoba) ni Mradi wa Halmashauri?

    Kwenye Mji wetu wa Bukoba Mkoani Kagera Uongozi wa Mkoa ulitangaza kuhamisha makaburi ya Kishenge ili kujenga kitega uchumi, lakini sasa eneo hilo limegeuka kama ‘dili’ la ushirikiana. Walitoa makaburi kadhaa kisha watu wakaanza kuchimba mchanga wa makaburini (eneo ni mchanga mtupu). Sasa...
  4. Influenza

    JamiiForums Tanzania RC Mtaka azijia juu Halmashauri kwa kukusanya ushuru kwa Wakulima ikiwa hazijamwezesha Mkulima kwa chochote

    Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka, amewashangaa Halmashauri wanaotoza kodi na ushuru mkoani humo kwa kuendeleza taratibu zisizo na uhalisia, hususan kwa wafanyabiashara na wakulima wadogo. Akizungumza na Madiwani pamoja na Halmashauri, Mtaka alisema: “Mtu analima mpunga, anapiga maombi mvua...
  5. S

    JamiiForums Tanzania KERO Morogoro: Tunalazimishwa kulipia ushuru mara ya pili kwa mizigo iliyoshalipiwa tayari

    Mimi ni mfanyabiashara wa nafaka Mkoa wa Morogoro, tunapobeba mizigo gari kubwa haziingii katikati ya mji hivyo inatulazimu kufaurisha mzigo kwa kutumia gari ndogo cha kushangaza tunapofanya hivyo watu wa halmashauri wanataka ushuru mwingine angali mzigo una risiti halali ulipotoka.
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Ajira Mpya HALMASHAURI YA CHALINZE hatujapewa pesa ya kujikimu

    Mimi ni mtumishi wa ajira mpya kutoka Halmashauri ya Chalinze. Yaani toka mwezi wa pili hatujapewa pesa za kujikimu na ilihali halmashauri nyingine za mkoa wa Pwani wameshalipwa. Kila tukiuliza tunaambiwa tutalipwa tu, wanasema kama sio December 2025, basi April au June 2026.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wanakosa taarifa sahihi juu ya mikopo inayotolewa na halmashauri kwa ajili ya kujiajiri, hali inayowarudisha nyuma kiuchumi na kuchangia

    Ukosefu wa Uhamasishaji wa Kutosha: Wengi wa vijana hawajui kuwa halmashauri hutenga asilimia 10 ya mapato yake ya ndani kwa mikopo ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu (kila kundi asilimia 4, 4, Viongozi wa halmashauri hawafanyi kampeni za kutosha kuwafikia vijana katika kata, vijiji au...
  8. Isenye

    JamiiForums Tanzania List ya idara zenye njaa kali huko halmashauri.

    1.Idara ya elimu ya msingi 2.Idara ya kilimo 3.Idara ya michezo 4.Idara ya mifugo na uvuvi 5.Idara ya usafi na mazingira 6.Idara ya utawala 7.Idara ya ujenzi 8.Idara ya Elimu secondary Huko watu wamepauka hadi huruma
  9. TZCHINA

    JamiiForums Tanzania Miradi ya Viwanja Chini ya Halmashauri.

    Leo nilikuwa naangalia mfumo wa leseni (Tausi Portal) nikaona section ya Land Sale, wame list Halmashauri zenye miradi ya kuuza Viwanja kwa matumizi mbalimbali mfano Biashara, Makazi pia Biashara na Makazi. Issue yangu kama wameweza kutangaza katika mfumo kwa nini wasiruhusu pia mtu kufile...
  10. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kasesela: Ukichukua maoni ya mtandao ukageuza ndiyo maoni ya taifa unajisumbua

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Richard Kasesela ametoa wito kwa watu kutotafsiri maoni ya mtandaoni kama ndiyo maoni ya taifa zima. Haya ameyasema baada ya kuulizwa juu ya uwepo wa maoni hasi(negative comments) kwenye baadhi ya machapisho yanayohusu vifo vya makada wa CCM. "ukichukua...
  11. Pax Vobiscum

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uonevu wa wakulima wa cocoa halmashauri ya Mlimba

    Salaam wakuu, Uongozi wa Halmashauri ya Mlimba umetangaza kuanza kuwaandikisha na kuwasajili wakulima wa zao la kokoa, Hii inafikirisha sanaaa, je Nia yao Nini hasa? Kwanini waje na huo Mpango kwa wakulima wa kokoa tu? Kwanini wasifanye kwa wakulima wote wa mpunga, mawese, mahindi, matikiti...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Haya ndiyo madudu yanayofanywa na Vigogo wa Afya Halmashauri ya Mji Korogwe, Tanga, Serikali ichukue hatua

    1. Kuna mazingira ya Rushwa ya ngono kwa Watumishi wao, wakati ambao watumishi wakidai stahiki zao. 2. Kuchepusha dawa za Serikali kupeleka kwenye maduka yao ya dawa, na hivyo kusababisha uhaba wa dawa katika Hospitali ya Mji Korogwe. 3. Kudai 10% pindi Mtumishi anapohamishwa kutoka kituo...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Katavi: Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika yasema imetoa mikopo kiasi cha Tsh Bilioni 1.1

    Baada ya baadhi ya Wanawake Wajasiliamali wa Tarafa ya Karema, Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi kutoa kero ya kutokupata mikopo ambayo itawasaidia kuendeleza biashara zao, Serikali imefafanua, Kusoma zaidi kuhusu Wananchi hao bofya hapa ~ Wanawake walia kukosa mikopo Tanganyika...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Wanawake walia kukosa mikopo Tanganyika licha ya halmashauri zote nchini kutoa

    Baadhi ya wanawake wajasiliamali wa Tarafa ya Karema Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi wametoa kero ya kutokupata mikopo ambayo itawasaidia kuendeleza biashara zao. Wanawake hao akizungumza hivi karibu wamesema kukosa fedha za mikopo unazorotesha maendeleo yao, huku wakishangaa...
  15. makong012

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma mbovu katika halmashauri ya Kibaha

    Habari za muda huu wana JF, Hii wiki nimetua mjini Dar Salaam kulikua na plot niliacha muda mrefu inashugulikiwa hati. Na kuna mtu kutoka halmashauri nilikuwa nawasiliana nae akaniambia hati ilishatoka kitambo, maana mchakato ulianza since 2022 huko. Nikasema kwa kuwa nipo mjini acha nipate...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mkwamo katika kuhusu uhamisho kutoka halmashauri Moja kwenda mkoa mwingine

    Habari za alfajiri hii wana Jf!! Kwanza nipende kupongeza uwepo wa jukwaa hili la hoja mchanganyiko Niende moja kwa moja kwenye mada, Mimi ni mtumishi wa umma idara ya elimu nimejikuta katika mkwamo mkubwa mno na hii ni baada ya kuhamishwa kituo cha awali miezi kadhaa nyuma kwa ukatili mkubwa...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Dodoma leo 23 Agosti, 2025

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika mkoani Dodoma tarehe 23 Agosti, 2025.
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameipandisha hadhi Halmashauri ya Bagamoyo kuwa mji

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, 𝐌𝐡𝐞. 𝐌𝐨𝐡𝐚𝐦𝐞𝐝 𝐌𝐜𝐡𝐞𝐧𝐠𝐞𝐫𝐰𝐚, akiwa katika ziara yake Wilayani Bagamoyo, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 𝐌𝐡𝐞. 𝐒𝐚𝐦𝐢𝐚 𝐒𝐮𝐥𝐮𝐡𝐮 𝐇𝐚𝐬𝐬𝐚𝐧, ameidhinisha kupandishwa hadhi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo na kuwa Halmashauri ya Mji wa...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Halmashauri ya Wilaya Itilima – Simiyu tumekatwa fedha vyama viwili CHAKUHAWATA na CWT

    Halmashauri ya Wilaya Itilima, Mkoa wa Simiyu, Walimu tumekatwa makato kwenye vyama viwili vya Wafanyakazi ambavyo ni Chama cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu (CHAKUHAWATA) na Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kinyume na taratibu za utumishi. Taratibu zinaeleza kuwa Mtumishi atajaza fomu...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kila la kheri vikao vya kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM Taifa.

    Kwa unyenyekevu mkubwa niko tayari kuupokea kwa mikono miwili uamuzi wenu thabiti kwa ustawi na maslahi mapana ya chama cha mapinduzi. Hakuna cha kupoteza. Asante sana wa jumbe wa mikutano mikuu ya CCM katika kata zote zaidi ya 17 katika Jimbo langu, kwa imani na mapenzi yenu makubwa mno kwangu...
Back
Top Bottom