WanaJF! Kwema? Moja kwa moja niende kwenye Mada.
Mdogo wangu kapata kazi ya Uhandisi ya Mkataba TARURA ila pia kapata Kazi Permenent HALMASHAURI.
TARURA atapata kama 2M na marupurpu mengine kwa anabyodai Wakati Halmashauri ni 1M pia kwa ufatiliaji wake Halmashauri marupuru ni kwa manati...
Kata ya Mtumba, Halmashauri ya Jiji la Dodoma yapatiwa jumla ya shilingi 83,000,000 kwaajili ya mikopo ya asilimia 10 kwa makundi maalum ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kwa lengo la kuwainua kiuchumi na kuboresha maisha yao.
Hayo yalielezwa na Afisa Maendeleo ya Jamii Kata ya Mtumba...
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amemwelekeza Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga kupitia ofisi ya Kamishna wa ardhi nchini kuunda timu kushughulikia mgogoro wa ardhi kati ya wananchi wa Kitongoji cha Luhafwe na...
Serikali imeipandisha hadhi mamlaka ya mji mdogo utete(Rufiji) kua halmashauri ya mji huku ikiwa na idadi ndogo sana ya watu(6600) Kwa mujibu wa sensa ya 2022 ,lakini moja ya kigezo kikubwa ni watu angalau 30,000 wanaoishi eneo la mji ,but miji yenye hadhi na idadi kubwa ya watu haipewi hadhi...
Ndugu zangu wana JF, ukizaliwa wilayani Ngara, Mkoani Kagera ni rahisi sana kutegua kitendawili cha Kwanini Nguruwe hauzwi kwenye minada ya mifugo licha ya kuwa ni mnyama anayefugwa na mwenye jina rasmi kwenye kundi la wanyama.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara (DED) kwa...
Kuna tatizo kwa Vikundi katika Halmashauri ya Buchosa vina malalamiko kuhusu ile mikopo ya Asilimia 10 kwa vijana, kuna vikundi vimeomba mkopo tangu Julai 2024, hela zilitoka na zikaenda kwa Viongozi wa juu wa Halmashauri lakini upande wa pili wameshindwa kutoa mikopo hiyo kwa vikundi husika...
Anonymous
Thread
asilimia
buchosa
halmashauri
katika
mikopo
samahani
tatizo
vijana
vikundi
Naibu Waziri ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amesema Serikali imeongeza umri wa ukomo katika mikopo ya asilimia 10 itokanayo na mapato ya ndani ya Halmashauri kwa vijana kutoka miaka 35 hadi 45 ili kuweza kufikia vijana wengi zaidi.
Mhe. Dkt Dugange ameyasema hayo wakati wa akijibu...
Various HALMASHAURI Jobs April, 2025
Halmashauri recruitment
Welcome to our page about HALMASHAURI Jobs April, 2025! Here, you will discover all Jobs from from HALMASHAURI (Nafasi za kazi HALMASHAURI April, 2025) in Tanzania.
HALMASHAURI / A council is a group of people who come together to...
Mkurugenzi wa halmashauri ya Morogoro ndugu Jeshi Lipembe amesema kwamba ameagizwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwaadhibu walimu na watumishi wa sekta ya afya watakaoshindwa kutoa mchango wa mwenge (10,000/=)
Aidha ameagiza walimu wakuu, wakuu wa shule, na viongozi katika idara ya afya...
SERIKALI KUJENGA STANDI YA KISASA KATIKA HALMASHAURI YA WIRAYA YA RORYA
Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Dkt. Festo Dugange amesema Serikali imepanga kujenga standi ya Kisasa katika Halmashauri ya wilaya ya Rorya ili kusaidia upatikana wa huduma za usafiri na kuongeza mapato katika...
Chama cha Kutetea Haki na Maslahi ya Walimu Tanzania (CHAKAMWATA), kimetangaza kutua mahakamani kuzishtaki Halmashauri mbalimbali nchini kwa madai ya kushindwa kulipa stahiki za walimu zaidi ya Tsh. Billion 12.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mbeya, Aprili 08, 2025, Katibu Mkuu wa...
Kumekuwa na vitendo vya kudai rushwa kunakofanywa na watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya ili waweze kupitisha vikundi vya vijana kupata mkopo wa 10% Inayotolewa na halmashauri.
Hili jambo lipo katika halmashauri ya wilaya ya Mbeya hapa mji mdogo wa Mbalizi.
Maafisa maendeleo katika...
Wana JAMII FORUM naomba kuuliza je halmashauri huwa wanafanya kazi siku ya KARUME DAY?
KUNA mwajiriwa mpya wa serikali anahitaji kuripoti siku ya jumatatu nayo inaangukia karume day je watampokea..,?
Ili kuongeza wingi wa Kodi nchini. TAMISEMI kupitia Halmashauri za Majiji, miji na manispaa zianzishe Kodi ya Makaburi kwa kila anayezikwa kwenye Makaburi rasmi
Wanabodi salama? Kheri ya Idd kwa nyinyi na Familia Zenu.
Nina mdogo wangu ni Engineer (Mambo ya Civil) kapata kazi Halmashauri (Permenent) ila Pia kapata Mkataba TARURA (Wakala wa barabara). Upande wa halmashauri Mshahara haufikii hata Gross ya 1M ila upande wa wakala anapata Gross ya 2M...
Nitamshangaa Rais Samia akikubali kugawa eneo lolote la nchi kiutawala, aendelee na msimamo wa mtangulizi wake JPM, Magufuli aliapa asingegawa eneo lolote na akafa na msimamo wake. Kitu muhimu ni kujenga miundo mbinu imara na ya kisasa. Jifunzeni kutoka madiwani wa jiji la Arusha na wa Manispaa...
Hallo. Kama title inavyojipambanua. Kati ya miji midogo inayokuwa ndani ya Halmashauri ya Mji wa Moshi, ni pamoja na Mji wa Himo ambao uko karibu na Mpaka maarufu wa Kenya na Tanzania(Holili).
Mji huu umekuwa na viashiria vingi kuonyesha kuwa unakua kutokana na shughuli mbali mbali za kiuchumi...
Halmashauri ya Wilaya ya Ngara ni Miongoni mwa Halmashauri 8 zinazounda Mkoa wa Kagera ikiwa na Jumla ya Vitongoji 389, Vijiji 75, Mitaa 34, Kata 22 na Tarafa 4.
Mapema mwaka huu Halmashauri hii iliwasilisha Rasimu ya Mpango wa Maendeleo na Bajeti kwa Mwaka 2025/2026 huku wadau wengi wa...
Hizi shule za serikali mnazosema elimu bure mbona mnatuchanganya sana,Kwa watoto wa darasa la saba kuna michango ya limu nzima,
Halafu kuna mchango wa kila wiki sh1000 kwa darasa la4 yani kwa mwaka ni48,000 mtoto mmoja ikiwa darasa hilo lina watoto wapo 100 ni 4,800,000 hii pesa yani...
Hapa Halmshauri kwetu (Rungwe ) Mkoa wa Mbeya kuna baadhi ya wananchi na wafanyabiashara wamekuwa wakitoa huduma ya Zabuni ya kulisha Shule za Sekondari za Serikali, Magereza na Chuo cha ufundi kwa muda mrefu, lakini kwa bahati mbaya PESA ZAO hawalipwi kwa wakati ama hawalipwi kabisa
Wamekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.