halmashauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt.Grace Magembe: Ugonjwa wa Vikope umetokomezwa kwenye Halmashauri 64 nchini

    Serikali kwa kushirikina na Shirika la Kimataifa la Ujerumani Hellen Keller, imewatibu wagonjwa wa vikope na kutoa tiba ya upasuaji wa mtoto wa jicho kwa watu wapatao 100,000 katika Halmashauri 64 nchini. Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt.Grace Magembe ameyasema hayo Agosti 4, 2025, mara baada...
  2. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Various Halmashauri Jobs August, 2025

    Are you looking for a rewarding career and a chance to serve your community? The Halmashauri (Local Government Authorities) across Tanzania are thrilled to announce a fresh round of job vacancies in various positions for qualified and motivated Tanzanians. These openings present a unique...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwanaenzi Hassan Suluhu akiomba ridhaa mbele ya wajumbe wa halmashauri kuu UVCCM

    Mwanaenzi Hassan Suluhu akiomba kura kwa ajili ya Ubunge wa Viti Maalum kupitia UVCCM. Ameomba kutuwasilisha bungeni ni sahihi?😂
  4. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania RECORD HOSPITALI: Jumla ya hospitali mpya za rufaa 4 na hospitali mpya za Halmashauri 129 pamoja na hospitali mpya za huduma za dhararula(EMD) 118

    Rais Samia akiweka jiwe la Msingi ujenzi wa Hospitali Mpya ya Rufaa Kusini ==Rais Samia amejenga hospitali mpya za rufaa 4 na hospitali mpya za Halmashauri 129 na hospital ya Emergency Medicine Depertment 118 kama msingi wa Dira2050. Rais Samia amekamilisha awamu ya kwanza ya ujenzi na...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Makala: Kamati kuu ya CCM na Halmashauri kuu Zitakaa tarehe 26/07/2025

    Kamati kuu ya CCM itakaa 26/7/2025 na Uteuzi wa wagombea utafanyika28/7/2025 Source Channel ten
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Mpanda yafafanua uchafu Vyoo Stendi ya Mizengo Pinda, yasema inafanya ukarabati

    Baada ya Mwananchi kupitia JamiiForums.com kueleza kushangazwa na hali ya uchafu ya vyoo vya Stendi Kuu ya Mabasi ya Mizengo Pinda, kutokana na kujaa maji taka na hivyo kuweka rehani afya za watumiaji ambao wanaweza kupata magonjwa mbalimbali kama UTI, Mamlaka imetoaufafanuzi. Kusoma hoja ya...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Jeshi la Polisi, hawataki Waumini wa Ufufuo na Uzima wamwabudu Mungu, Hata Leo ,Walituma Askari Polisi kwenda Kuzuia Ibada ya Waumini

    Video hii hapa Wakuu !. https://youtu.be/zwQUrn544As?si=5x4Ui0D4tQBilTOt
  8. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom na Stanbic Benki wametoa msaada wa kijamii kwa Halmashauri ya Mji wa Bariadi, ukiwemo wa viti mwendo, Simiyu.

    Meneja Mauzo Mwandamizi wa Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Ziwa, Straton Mchau (wa pili kushoto) pamoja na Meneja wa Benki ya Stanbic Tanzania Tawi la Mwanza Geoffrey Makondo wakikabidhi moja ya viti Mwendo 4 kwa Afisa elimu maalum - Halmashauri ya mji wa Bariadi Rutherford Magayane (kulia) na...
  9. X

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini wafanyakazi wengi wa halmashauri hawana uweledi?

    Nimepata nafasi ya kutembelea halmashauri mbalimbali hapa Tanzania nilichogundua watumishi wengi ni vilaza sana kwenye utendaji. Yaani idara zote za halmashauri unakuta watumishi hawana weledi katika kazi ufanisi ni zero kabisa. Nafikiri ifikie pahala serikali iangalie kwa kina vigezo vya mtu...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuhusu kudhulumiwa pesa za kujikimu halmashauri ya wilaya ya Muleba ajira mpya (afya) 2024

    Habari!. Fikisha kwa jamii. Halmashauri ya wilaya ya Muleba imeamua kututapeli pesa zetu za kujikimu,tukiuliza tunapewa majibu ya kutoridhisha. Kwa Mujibu wa maelekezo ya Tamisemi ya Muongozo wa ulipaji wa ajira mpya mwaka 2024 ilibidi uwe hivi:- Degree 170k *7 Diploma 150k*7 Certificate 100k*7...
  11. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hakuna mkopo mgumu kupata kama wa Halmashauri. Kuna rushwa sana katika mchakato

    Huu ndio mchakato wa kuomba mikopo ya halmashauri maarufu kama mikopo ya asilimia 10 huanzia ngazi ya kitongoji, kijiji au mtaa. Katika hatua hii ya mwanzo, kikundi cha watu wasiopungua watano kinapaswa kuundwa kwa ajili ya kupatiwa mkopo, na lazima kitambuliwe rasmi katika ngazi ya chini. Ili...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt Stergomena Tax ashiriki Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Magu

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), jana Juni 18, 2025 ameshiriki Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilayani Magu Mkoani Mwanza. Kikao hicho cha kawaida ngazi ya Chama kiliongozwa na Komredi Jamal Abdul Babu (Mnec Wilaya Magu)...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Halmashauri mnakula nyingi mnaleta kidogo, niwaombe sana mjizatiti katika makusanyo

    Rais Samia wakati akizungumza na wananchi wa Bariadi Mkoani Simiyu amesema ni lazima maendeleo yetu tujizatiti wenyewe. Halmashauri zote zijitahidi katika makusanyo mapato, kwa upande wa TRA wanajitahidi sana lakini kwa Halmashauri mnakula nyingi mnaleta kidogo, niwaombe sana mjizatiti katika...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ushahidi kwa Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Meru kuhusu tuhuma za wanafunzi kusahihishiana mitihani S/M Kimandafu

    Ndugu mkurugenzi napenda kukutaarifu kama mtanzania mzalendo na mwenye wivu mkubwa na ubora wa elimu yetu niliandika kupitia mtandao huu wa Jamii Forums juu ya matendo yasiyofaa yanayofanyika ktk shule ya msingi Kimandafu iliyoko ndani ya halmashauri ya wilaya ya Meru unayoiongoza hivi sasa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO TARURA wilaya ya Kinondoni wananizungusha malipo yangu

    Mh. Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, habari ya leo? Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza. Ningependa kujuzwa, hivi raia anapoidai serikali (halmashauri) inachukua muda gani kulipwa stahiki zake? Ninawadai Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni pesa kwa mradi wao wa Tarura uliopita kiwanjani...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Halmashauri zote kuhusu Hotel Levy

    Kufuatana na Bajeti ya Serikali ya 2025/26 iliyosomwa na Mhe. Waziri wa Fedha kuanzia 1 JulaI, 2025 HOTEL lEVY itatozwa kwa kiwango cha 2% badala ya 10%. Hivyo kwa Halmashauri zote mnatakiwa muwe na taarifa hii msije mkawanyanyasa wafanyabiashara wasiojua taarifa hii. Nawasilisha.
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kama sehemu ya kurudisha faida za kiuchumi daraja la Kigongo Busisi, Wizara ya Ardhi kwa kushirikiana na Halmashauri wapange na kupima maeneo jirani

    Nashauri upimaji mkubwa ufanyike wa ardhi upande wa Wilaya ya Segerema na Misungwi ili kuongeza mvuto na kuleta faida za kiuchumi za daraja. Haipendezi billions 700 zilale hapo halafu pajae squatter. Huo ni ukanda wa ziwa, hotel zinafaa, prime plots kama Capri point zinaweza kutengenezwa. Hii...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Singida: Halmashauri ya Mkalama yafafanua madai ya baadhi ya Maafisa Utumishi na Mkurugenzi kuchelewesha vibali vya Uhamisho

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika Baadhi ya Maafisa Utumishi na Mkurugenzi wanashikilia vibali vya Uhamisho vinavyotoka kwa Katibu Mkuu Utumishi au TAMISEMI Halmashauri imetoa ufafanuzi kuhusu hoja hiyo... TAARIFA KWA UMMA YAH: UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA POTOFU INAYOSAMBAA...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Missenyi yasema inachunguza madai ya baadhi ya Walimu Wilayani hapo kuwaagiza Wanafunzi vyuma chakavu

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika hoja kuwa Baadhi ya Shule za Msingi Wilaya Missenyi-Kagera, Walimu wanawaagiza Wanafunzi vyuma chakavu kwa manufaa yao binafsi Mamlaka ya Wilaya hiyo imejibu madai hayo kwa kueleza kuwa inatuatilia suala hilo. Taarifa rasmi ya Halmashauri ya...
  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Zifahamu Halmashauri 10 zilizoongoza kwa kukusanya mapato ya ndani 2023/2024

    Wakuu, Zifahamu Halmashauri 10 zilizoongoza kukusanya mapato ya ndani 2023/24: 1. Dar es Salaam CC (Ilala) - Bilioni 111.7 2. Kinondoni MC- Bilioni 64.7 3. Dodoma CC-Bilioni 51.5 4. Temeke MC-Bilioni 47.9 5. Ubungo MC-Bilioni 33.8 6. Arusha CC-Bilioni 33.4 7. Mwanza CC-Bilioni 21.0 8. Mbeya...
Back
Top Bottom