Hii ni Shule ya Msingi KIBISI iliyopo katika kata ya Kyimo Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya na hii ndiyo hali halisi ya madarasa wanayosomea watoto wetu.
Pia soma:
~ Halmashauri ya Rungwe Mkoani Mbeya tupieni jicho Shule ya Msingi Kibisi, hii miundombinu sio rafiki
~ Halmashauri...
Watumishi Halmashauri ya Wilaya Korogwe Vijijini tunagomewa kupewa vibali vya Uhamisho na Mkurugenzi ilihali tumefika vigezo vya zaidi ya miaka mitatu kazini, wengine tuna hadi vyeti vya ndoa.
Wanaoweza kuongea nao vzuri wanapewa datasheet ila wengine hawapatiwi taarifa za datasheet ila wahame...
Anonymous
Thread
ded
halmashauri
kibali
korogwe
uhamisho
vijijini
watumishi
wilaya
Tumeajiriwa toka Januari 2026 wenzetu wachache wamepata mshahara wa Januari na Februari wengine malipo yetu bila ya sababu za msingi hatujapata chochote hadi sasa hivi.
Wengine wetu walijitolea kufanya kazi toka muda huo hadi sasa lakini mazingira yamekuwa magumu.
Halmashauri hakuna jibu la...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
halmashauri
kazi
magumu
mazingira
mazingira magumu
mpya
Kwa sasa, karibu kila huduma muhimu kwa watumishi imehamishiwa kwenye mfumo wa e-UTUMISHI (ESS). Kupitia mfumo huo, mtumishi anaweza kuomba likizo, mikopo, uhamisho, kuongeza wategemezi, kupata salary slip, na huduma nyingine nyingi bila usumbufu wa kufuatilia makaratasi kutoka ofisi moja hadi...
Anonymous (6687)
Thread
ajira
chama cha walimu (cwt)
ess utumishi
halmashauri
mwaka
urambo
vyama vya wafanyakazi
watumishi
watumishi wapya
wilaya
Halmashauri ya Nyang’hwale ajira za july 2025 kada zingne zote wamepata hela yao ya kujikimu isipokuwa kada ya afya na tukiulizia kwa katibu wa afya anatufokea
Anonymous
Thread
afya
ajira
halmashauri
kada
kada ya afya
nyang'hwale
Fremu za Tegeta Nyuki zilijengwa na wananchi wakaambiwa wachukue kodi kwa miaka 10, kisha fremu zirudishwe Halmashauri wapewe wananchi wanaohitaji kupanga. Lakini mpaka sasa miaka 10 imeisha muda mrefu. Kwa nini mpaka leo hawajarudisha fremu hizo?
Nasema hivi kwa sababu wapangaji wanaumizwa...
Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe hailipi madeni kwa sisi ambao tumefanya zabuni nao, na ukifuatilia malipo unajibiwa vibaya. Pia wamejipa majukumu ya TRA kwa kuzuia malipo endapo unadaiwa TRA, jambo ambalo ni kinyume na sheria pamoja na taratibu.
Tunaziomba mamlaka za juu kuchukua hatua kwani...
Makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi ni wiki Sasa hakuna maji, na hakuna maelezo yoyote ya lini maji yatatoka.
Kwa sasa ndoo ya maji inauzwa Tsh 1000 mtaani. Sijajua changamoto ni nini lakini waziri wa maji amekuja hapa mara mbili na viongozi wanaahidi kutojirudia kwa hii...
Anonymous
Thread
changamoto
changamoto ya maji
hakuna maji
halmashauri
inauzwa
kilindi
lini
maji
makao
makao makuu
ndoo
wiki
wilaya
OW-TAMISEMI wanatumia vigezo gani kuhamisha mishahara na taarifa za utumishi?
Kama wanataka rushwa waseme ili niwatumie wanihamishie taarifa zangu, haiwezekani mwaka wa pili huu tangu nihamie halmashauri nyingine lakini taarifa na mshahara zinasoma halmashauri nilikotoka hii siyo sawa...
Anonymous
Thread
baada
halmashauri
kuhama
kutoka
kwenda
moja
mshahara
nyingine
Sisi Tumeomba mikopo ya halmashauri kupitia mfuko WA vijana,wanawake, wazee na walemavu maarufu kama mikopo ya Asilimia 10% ,Tangu Mwaka Jana mwezi wa nane lakini Hadi Leo hakuna dalili za kuupata mkopo huo.
Tumetumia gharama na Muda wetu mwingi Sana ,kila wakati wakiwa Wanatuita kwenye vikao...
Anonymous (aeb0)
Thread
halmashauri
kutoa
mikopo
sana
tunduru
vijana
wilaya
UFAFANUZI KUHUSU MADAI YA FEDHA ZA KUJIKIMU KWA WATUMISHI AJIRA MPYA
Halmashauri ya Wilaya ya Chato inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambaa kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii zikihusu madai ya baadhi ya watumishi wa ajira mpya kuhusu kucheleweshwa malipo ya fedha za kujikimu...
Kero yangu ni suala la uhamisho Halmashauri ya Mji Handeni limekuwa kama vita, maboss wanakalia barua za Watumishi za uhamisho kuhama imekuwa kipengele kikubwa hapo.
Anonymous
Thread
halmashaurihalmashauri ya handeni
handeni
kuomba
uhamisho
vita
Kuna haja kubwa sasa ya kuzungumzia changamoto inayowakumba Maafisa Ustawi wa Jamii nchini.
Pamoja na kwamba Wizara ya Afya na Wizara ya maendeleo ya jamii jinsia, wanawake na makundi maalumu zilitenganishwa tayari, bado katika Halmashauri nyingi Ustawi wa Jamii inaendelea kubaki chini ya Idara...
Anonymous
Thread
halmashauri
jamii
kero
muundo
ndani
ustawi
ustawi wa jamii
Nimekutana na kadhia kubwa ambayo nilinunua viwanja kadhaa kwenye mfumo wa tausi eneo la bagamoyo. Na mwaka huu mwanzoni nilitaka kufatilia kupata hati ya viwanja vyangu. Ila nilishangaa kila mfanyakazi wa halmashauri ili akufanyie kitu flani ni anahitaji umlipe.
Nilikaa siku mbili nafatilia...
Mimi ni mwanakaya wa familia iliyotoa eneo la shamba kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Bunda kupitia makubaliano na Serikali ya Halmashauri mwaka 2019.
Kupitia makubaliano hayo, halmashauri ilichukua eneo la shamba la familia yetu kwa madhumuni ya ujenzi wa hospitali, huku ikiahidi...
Anonymous
Thread
bunda
eneo
fidia
halmashauri
hospitali
kujenga
mwaka
Mimi ni Civil Engineer ninahitaji kuhama kutoka halmashauri kwenda kwenye taasisi zenye miradi ya kiuhandisi, huku nilipo hakuna kazi za kiuhandisi nakaa ofisi tu naona taaluma yangu haitumiki ipasavyo, ninahitaji nipate Sehemu ya kuanzia kwenye mchakato wa kuhama
Sisi Ajira mpya kutoka Halmashauri ya Wilaya Kwimba Mkoa wa Mwanza tuna karibia miezi sita sasa tangu tuajiriwe lakini kila tukiulizia kuhusu fedha za kujikimu hatupewi jibu lolote, tuliajiriwa Januari 2026.
Majibu tunayopewa huku kwenye group hayaeleweki wanatuambia serikali ndiyo inatoa pesa...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
fedha
fedha za kujikimu
halmashauri
kujikimu
mpya
mwanza
wilaya
Pongezi sana ndugu Ngassa Benard Mahangila kwa kuchaguliwa kuwa mfanyakazi hodari katika halmashauri ya mji wa bunda kwa kuchaguliwa kuwa mfanyakazi hodari ndani ya halmashauri. Nafikiri pongezi hizi zinastahili kabisa na hazina walakini.
Kusimamia mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari Nyasura...