halima

Halima Xudoyberdiyeva (Cyrillic Ҳалима Худойбердиева; pronounced [halima χudɒjberd̪iˈjeβa]; 17 May 1947 – 17 August 2018) was an Uzbek poet whose themes at different times of her career have dealt with Uzbek nationhood and history, liberation movements, and feminism. She was awarded the title People's Poet of Uzbekistan.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    PreGE2025 Ushauri kwa Halima Mdee, kurudi CHADEMA ni kujidanganya

    Ukiangalia account zote za wapinzani utakuta picha ya Free nani, Free nani, kwa Mdee yeye kwake picha za simba na Yanga. Naamini 100% mdee hata akisamehewa basi ni kujidanganya, moyo haupo kabisa upizani. bora tu uwende CCM ukamlizie siasa zako, maana CCM tupo wengi kwenye foleni tunataka nafasi
  2. Kilichomponza Mwanakwerekwe, ni dada yake Halima kukata mauno mbele ya wakwe zake!

    Jamaa walitoa tahadhari mapema wakasema,mikong'oto heavy ni Kwa ajili ya Vibaka na Walanguzi walioshindikana hapa Barani Afrika,yeyote atakaye ingia kati wakati mikong'oto hiyo ikiendelea, atajikuta anapokea kichapo kisichokuwa na huruma kama Paka shume aliyekunya kwenye debe la Unga wa uwele...
  3. K

    Dakika 47 ya Halima Mdee wakati wa kupitisha bajeti ya Wizara ya Ujenzi

    Kwanza kabisa nikupongeze Mhe. Halima Mdee wewe ni jembe. Leo umemfanya Mwigulu - Waziri wa Fedha, Bashungwa - Waziri wa Ujenzi na Mbarawa - Waziri wa Uchukuzi. Leo umewafanya waonekane si chochote mbele ya hoja yako. You have reduced them to nothing. Hakika wamepwaya. Nije kwenye mada. Mhe...
  4. M

    Makonda ana mapungufu yake lakini ana hekima kubwa na uzalendo. Tofauti na viongozi aina ya Halima Bulembo

    Nimeona namna anavyojua kutatua migogoro na pande zote mbili zikamuelewa , anaelimisha, ni msikivu sana na penye ukweli anausema kama ulivyo. Pia yupo sensitive sana katika mambo yanayogusa amani na usalama wa Taifa. Juzi nimeona jinsi alivyoendesha mkutano baina ya wananchi wa Oljoro ambao...
  5. Wakati Halima Mdee na wenzake wakipewa majina ya kutisha na kutukanwa hatukusikia taasisi wala kikundi kukemea!

    Wabongo tupunguze unafiki na udaku,sidhani kama kuna nchi yeyote duniani inaizidi tanzania kwa undimilakuwili,niwatu waliokosa ajenda watu wa kukurupuka. Juzi kuna habari imetokea huko kwenye ziara za Rc mmoja hiyo habari kila mmoja amekurupuka eti wamejisikia uchungu kwa kuwa tu huyo mama...
  6. Halima Mdee kushawishi Covid-19 kurudi CHADEMA, je Wasamehewe na Chama au Wananchi?

    Baraza kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, limethibitisha uamuzi wa kamati kuu ya chama hicho cha upinzani Tanzania na kuwavua uanachama wabunge 19 wa viti maalumu wanawake. Je, Mdee baada ya kusemekana kushawishi wenzake wanataka kurudi kuomba Msamaha CHADEMA , tunajiuliza...
  7. MNEC Halima Mamuya: Nendeni Mkahakikishe CCM Inashinda

    MNEC HALIMA MAMUYA: NENDENI MKAHAKIKISHE CCM INASHINDA Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Mlezi wa Mkoa wa #Njombe Halima Mohammed Mamuya amewataka wanachama wa chama hicho kuwa na kuendeleza umoja na ushirikiano ili kuendelea kushinda katika uchaguzi...
  8. Siasa si uadui: Dk. Tulia amtembelea mama wa Halima Mdee aliyelazwa hospitali

    Siasa haziondoi utu wetu. Hivi karibuni Mbowe aliwaalika wabunge hao maarufu sana katila hafla ya kuchangia ujenzi wa kanisa. --- Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson, leo Januari 31, 2024 amemtembelea na kumjulia hali, Theresia Ngowi ambaye ni mama mzazi wa...
  9. PreGE2025 BAWACHA wamtaka Spika wa Bunge kuwaondoa akina Halima Mdee na wenzake Bungeni

    Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) limemtaka Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson kuwaondoa Bungeni Wabunge 19 wa viti maalum wanaodaiwa kuwa wanachama wa CHADEMA, kinyume chake Baraza hilo limetishia kuwahamasisha wanawake Nchini...
  10. S

    GE2020 Askofu Gwajima amlaumu Halima Mdee kwa mafuriko ya Dar-es-Salaam siku ya leo

    Mwandishi: Kusaidia kwenye hii janga, sijui ungependa kutuambiaje? Gwajima: Kwanza hii hali ni hali ya kusikitisha sana, ni hali ya hatari, mbaya na hali ya kuhuzunisha kwelikweli na mimi hata siamini mtu anaweza kuruhusu wananchi, binadamu wakawa na hali ya maisha hii. Kwa miaka kumi na...
  11. Haijaisha mpaka iishe: Halima Mdee na wenzake waiburuza CHADEMA Mahakama ya Rufani dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu

    Wanawake wa shoka, Halima Mdee na wezake wametinga Mahakama ya Rufani kutetea ubunge wao. Tuna imani Mahakama ya Rufani itawapa ushindi wa kishindo.
  12. R

    Wananchi wafuta majina ya akina halima Mdee kwenye kumbukumbu za wana ukombozi na wapigania uhuru.

    Kupotea kwa Halima Mdee na wenzake katika siasa za jukwaani na kwenye mitandao kumetokana na kufutwa kwenye list ya wapigania uhuru Leo hawa wanasiasa pamoja na uwezo wao mkubwa wa akili hawana mchango wowote kwa Taifa. Wamebaki kimya hakuna anayewaalika wala kuwashirikisha jambo lolote la...
  13. Ester Bulaya: Mwenyekiti wetu wa CHADEMA, Freeman Mbowe alitualika na Halima Mdee tuhudhurie hafla ya kuchangia kanisa Machame

    Halima Mdee na Easter Bulaya, wakihojiwa na waandishi wa habari, wamesema, Mwenyekiti wa Chama chao amewaalika kuhudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa. Je, Mbowe hana kinyongo nao? kuna dalili hawa watu watasameheana? Je ni nani anakwamisha wasisameheane? Lissu?
  14. Ubunge wa Halima Mdee na Wenzake ni Batili

    Hivi ndivyo Gazeti la Nipashe lilivyoripoti Toa maoni yako
  15. Halima Mdee na wenzake Washinda kesi dhidi ya CHADEMA. Waendelea kuwa wanachama wa CHADEMA. Kuendelea na Ubunge wao

    Haya hapa ni baadhi ya Maelezo ya Jaji . Kama tulivyotarajia , Jaji ameamua hivi . ==== Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam imewapa ushindi Halima Mdee na wenzake 18 kwenye kesi yao waliyoiwasilisha Mahakamani hapo dhidi ya Uamuzi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wa...
  16. Taarifa ya awali kuhusu hukumu ya Mahakama Kuu masjala kuu Dar es Salaam, kuhusu Wanachama 19 waliofukuzwa CHADEMA

    Tumepokea hukumu iliyotolewa leo Alhamisi tarehe 14 Desemba, 2023, uamuzi wa Mheshimiwa Jaji Cyprian Phocas Mkeha; 1. Kwamba uamuzi wa kuwafukuza uanachama waliokuwa wanachama wetu 19 uliofanywa na Kamati Kuu ya Chama, umeendelea kusimama (Upo pale pale) na Mahakama imekubaliana kuwa taratibu...
  17. Mabest hawa nawafananisha kama Bonnie & Clyde

    Hawa mabest wameshibana sana kama ilivyokuwa kwa Bonnie & Clyde.
  18. Je, Katibu Mwenezi mpya wa CCM atatokea kwa wahamiaji? Halima Mdee na Nusrat Hanje watajwa

    Upo uvumi kwamba Mrithi wa Sophia Mjema huenda akawa miongoni mwa wale Wabunge wasio na Chama ambao waliapishwa na Ndugai kwenye Gereji ya Bunge. Halima Mdee na Nusrat Hanje wanatajwa kujaza nafasi hiyo (tetesi). Hutakiwi kupuuza jambo hili , kwa vile ni dhahiri kwamba CCM imeishiwa watu, ndio...
  19. Halima Bulembo: Mikopo ya kausha damu inawakausha kwelikweli wanawake na kuwadhalilisha. Asema ukikopa elfu 50 unalipa jumla 85

    Mkuu wa wilaya ya Kigamboni, Halima Bulembo amesema mikopo ya kausha damu pamoja na urahisi wake wake wa kupatikana ina gharama kubwa. Akitolea mfano, amesema mtu akikopa 50,000 anakatwa 5,000 ya fomu, 5,000 nauli ya mkaguzi kuja kukagua mali zako na marejesho ya jumla ya 75,000 hivyo jumla...
  20. D

    Natamani watu kama Spika Tulia, Lissu, Shivji, Mwakyembe, Kabudi, Halima na Masereka waandae kongamano. Tuone jinsi Tulia atakavyowatoa jasho

    Dr. Tulia Ackson kishawaambia mkataba hauna vifungu vyenye kasoro. Lissu anasema vipo vyenye kasoro. Kabudi anasema hakuna vyenye kasoro. Shivji anasema Kuna vyenya kasoro. Masereka anasema Kuna vyenye kasoro. Feleshi anasema hakuna vyenya kasoro. Hao wote ni wanasheria. Sasa sijui nani yuko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…