ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,829
- 39,751
Hawa mabinti ni marafiki hawana
Iko hivi
1. Halima alikuwa chadema inasemekana akamshawishi Esta aliyekuwa CCM naye akahamia chadema
2 Safari ya kuitwa COVID 19
Ndugai alivotaka uwakilishi wa wanawake wa chadema hawakuachana, walikuwa wote kwenye genge la COVID 19
3 Kuhamia CCM tena
Leo Esta amechukua form ya ubunge Jimbo la Bunda Mjini na inasemekana rafiki yake Halima naye atachukua form Jimbo la Kawe
4. Bungeni Huwa wanaketi pamoja
5 Bungeni watarejea kupitia ticket za CCM tena
6 Sina uhakika kama hawa warembo wana wenza wao wa ndoa, nadhani wapo single
7. Hakika hawa ni maraki wa damu,
Wana urafiki uliotukuka