Tetesi: Good News. Yule Shujaa Mwanamke wa Shoka, Shupavu na Shujaa wa Chadema, Kamanda Halima Mdee, Iron Lady is Back Ndani ya Nyumba!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
58,764
Reaction score
131,948
Wanabodi,

Kama kawaida ya wewe mwana JF, pata ile the JF advantage, ya be the first to know!,
Kuna breaking news ya good news Chadema, yule mwanamke wao wa shoka, shupavu, shujaa na chuma cha pua wa Chadema, Kamanda Halima James Mdee, is back ndani ya nyumba!, amerejea Chadema!

Nitakupa zaidi baada ya confirmation.... ila kionjo ni hiki

1780996600532.png

This is very good news ambapo Chadema itabarikiwa sana!, na Kawe pia inamsubiri ile 2030 ila kwa vile kutakuwa na wanawake wawili, maana CCM pia itamsimamisha mwanamke na huyo mwanamke wa CCM sio mwepesi, hivyo Kawe 2030, kutakuwa na kazi na sii ndogo!.
Lakini Halima Karibu tena nyumbani kwako, (sio kwetu)
Paskali.
 
Wanabodi,

Kama kawaida ya wewe mwana JF, pata ile the JF advantage, ya be the first to know!,
Kuna breaking news ya good news Chadema, yule mwanamke wao wa shoka, shupavu, shujaa na chuma cha pua wa Chadema, Kamanda Halima James Mdee, is back ndani ya nyumba!, amerejea Chadema!

Nitakupa zaidi baada ya confirmation....

This is very good news ambapo Chadema itabarikiwa sana!, na Kawe pia inamsubiri ile 2030 ila kwa vile kutakuwa na wanawake wawili, maana CCM pia itamsimamisha mwanamke na sio mwepesi, kutakuwa na kazi,
Lakini Halima Karibu tena nyumbani kwako, (sio kwetu)
Paskali.
Nikwambie mmoja wa watu waliokuwa wanampinga halima ni heche na kuna siku nilikutana nae mimi qna kwa ana tukaongea jambo hili na alipinga sana,bahati nilikuwa na kopi ya barua ya mbowe iliyomtambulisha bungeni,nikamziba mdomo maana alikuwa akidai hakuna baria ya hivyo
 
Wanabodi,

Kama kawaida ya wewe mwana JF, pata ile the JF advantage, ya be the first to know!,
Kuna breaking news ya good news Chadema, yule mwanamke wao wa shoka, shupavu, shujaa na chuma cha pua wa Chadema, Kamanda Halima James Mdee, is back ndani ya nyumba!, amerejea Chadema!

Nitakupa zaidi baada ya confirmation.... ila kionjo ni hiki
View: https://x.com/godbless_lema/status/2063473283660427390?s=20

Halima Mdee hajawahi kutoka nje ya Chadema.
 
Kwani Chadema itagombea 2030?

Amandla...
 
Nikwambie mmoja wa watu waliokuwa wanampinga halima ni heche na kuna siku nilikutana nae mimi qna kwa ana tukaongea jambo hili na alipinga sana,bahati nilikuwa na kopi ya barua ya mbowe iliyomtambulisha bungeni,nikamziba mdomo maana alikuwa akidai hakuna baria ya hivyo
Bora Halima kuliko Msigwa japokua wote wasaliti Ila Mdee hajawai kukinanga chama pia wote maspay ndani ya chadema chukua hii comment wanaenda kuanzisha migogoro ndani ya chadema Bulaya ni mtu wa system na rafiki yake ni Mdee stupid kabisa na aya yote yanafanyika Lissu akiwa jela
 
Una akili za kijinga sana. Kwa hiyo unafikiri ukiwa Chadema huwezi kuwa na rafki serikalini au Ccm?
 
Back
Top Bottom