Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.
Hakuna shaka kuwa safari hii Israel imepata zaidi ya ilichokuwa inakitafuta kwa kuishambulia Iran.
Pia hakuna shaka kabisa kuwa Iran inao uwezo wa kupambana na Israel moja kwa moja na kusababisha madhara makubwa sana.
Vilevile, Iran imeonyesha kuwa, Israel, bila kupigwa tafu na Marekani, ni...
Habari Wana jamii health
Mwenzi uliopita nilikutana nawanamke kimwili nabaada ya 4day nilijihisi nina dalili za urinary infection nakuamua kwenda kupima nae.
Majibu kwa upandewake yalikua 100 na zaidi lakini Mimi nilikua na infection 55. (Tuliachana kilamtu na maishayake) tulipatiwa dawa ila...
22 June 2025
Vijana hao wa vyuo mbalimbali ikiwemo UDSM, NIT n.k
Wachambua hali ya kisiasa yenye maono mbalimbali
Kutiki October 2025
No Reforms No Election
Amani ya kudumu hupatikana kwa kupitia haki
Uchaguzi huru hautampa ushindi wa wa asilimia 100%
Bunge la Dodoma lamulikwa
Umuhimu wa elimu...
Wadau msaada maana hali tete sikujipanga kimaisha naona naelemewa na maisha sasa naona kazi ya haraka ni boda boda Ila mimi umri umeenda sasa sijui naweza pambana uko
HALI YA WATANZANIA NCHINI ISRAEL NA IRAN KUFUATIA MASHAMBULIZI BAINA YA TAIFA LA ISRAEL NA JAMHURI YA KIISLAMU YA IRAN
DODOMA, 19 JUNI 2025
Kufuatia mashambulizi yanayoendelea kati ya Taifa la Israel na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yaliyoanza tarehe 13 Juni 2025, hali ya usalama katika mataifa...
Taarifa kutoka nchini Iran zimesema kuwa leo siku ya Alhamisi huenda dunia ikaandika katika historia kwani Iran inaweza kupiga israel kombora lake la sumu ambalo halizuiliki wala kuonekana kwenye rada na linafika Israel ndani ya dk 6 tu
Iran imesema haitalaumiwa kwa lolote
Hi
------
Posti hii inaeleza jinsi hali ya kiwanja inavyoathiri bajeti ya ujenzi. Mambo muhimu yaliyoangaziwa ni:
1. Aina ya ardhi:
- Tambarare: Gharama hupungua.
- Mteremko/milima: Gharama huongezeka.
2. Aina ya udongo:
- Laini: Huhitaji msingi wa kina → gharama huongezeka.
-...
I salute you kinsmen.
Huko simba hali mbaya wakuu msionr hivi .
Bundi ametua msimbazi!
Kwa sasa tajiri amesusa na hataki kutoa lolote lile, chanzo ni hasa viongozi waliokwenda dodoma na kukubali kucheza derby ambayo wanahofia wazi watagongwa na mavi yanagonga chupi..
Kulikuwa na mparanganyiko...
Hii inaleta tafsiri gani?
Mbona hizo pesa nyingi zinazokopwa mbona hazileti mzunguko wa pesa mitaani ili kusisimua uchumi wa taifa.
Tembelea biashara za mama ntilie, wafanyabiashara wadogo wadogo , kwenye mabaa na vilabu vya pombe za kienyeji hali ni ngumu.
Hii dhahiri kuwa tunakopa matrilion...
Hali ya sasa nchini Iran imekuwa ya kukaushwa sana, kufuatia mashambulizi makubwa ya Israeli yaliyofanyika tarehe 13 Juni 2025. Hapa ni muhtasari wa hali:
Mapigano na Uharibifu
Mashambulizi ya Israeli: Operesheni iliyopewa jina la “Rising Lion” iliwashirikisha ndege za kivita zaidi ya 200...
Hali ya Khayatollah inasikitisha wanasema sukari inamsumbua na presha. Mwenyewe anasema amechoka kuishi maisha kama dikdik. Kwa sasa wanamwamisha kwenye maandaki kila baada ya muda mfupi ili kukwepa kushambuliwa. Na ulinzi wake unabadilishwa badilishwa maana wanasema kuna Mayahudi katikati yao...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mifumo ya Hali ya Hewa haioneshi uwepo wa mvua hivi karibuni hapa nchini badala yake kutakuwa na ukavu na ubaridi ambapo Wananchi wametakiwa kuchukua tahadhari za kujilinda na baridi.
Meneja wa Utabiri wa TMA, Dkt. Mafuru Kantamla amesema mvua...
Majiji makuu mengi hasa Africa huwa yana Wabunge moto sana na hii ni kwa sababu huwa ndio kitovu cha upinzani na pia ndio kumejaa Wasomi na watu waelewa wenye information zote.
Ila sasa njoo Dar ambako Jiji lina Wabunge Vilaza sana kuzidi hata huko mikoani, mtu kama Talimba eti ni Mbunge...
TANZANIA: DEMOKRASIA INAANGUSHWA KIMYA KIMYA
"Huko Tanzania, jukwaa linaandaliwa.
Sauti za upinzani zimezimwa, mikutano imepigwa marufuku, viongozi wamefungwa. Kadri uchaguzi wa mwaka 2025 unavyokaribia, kinachoandaliwa si uchaguzi—bali ni maigizo, na ni mwigizaji mmoja tu anayeruhusiwa...
Yaonekana Viongozi wetu hawajui Afrika ilitoka wapi na inakwenda wapi. Hawajui nchi inatoka wapi na inakwenda wapi.
Ko
sa ni la CCM 'Kuokota' Kila mtu asiye na aibu akawe kiongozi.
Hivi kila kilichofanyika wakati wa Magufuli ni lazima kidumishwe?
Kipindi cha Magufuli wahuni wachache ili kulinda nafasi zao wakaona wamkoshe Rais kwa kutoa gawio kwa serikali. Mashirika mengi yanajiendesha kwa hasara, watumishi wana hali ngumu na wale wanaoonekana kuwa super basi wako mahali...
Elon Musk has just unveiled XChat, a revolutionary new platform that is set to redefine private communication.
With a strong focus on security and user privacy, XChat offers a suite of features that will elevate the messaging experience.
It boasts end-to-end encryption, ensuring that all your...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.