Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.
Wakuu!
Bila uoga, Wananchi wengi wamejitokeza kuandika comments zenye ujumbe wa 'No Reforms, No Election' chini ya post ya salamu za kheri ya Sikukuu ya Eid al-Adha zilizotolewa na Rais Samia kupitia mitandao ya kijamii.
Badala ya kusherehekea ujumbe huo wa sikukuu kwa kawaida, baadhi ya...
ccm
comments
gani
hali
inaweza
instagram
kisasi
kuelekea 2025
kung'atuka
kura
kusitishwa
magufuri
makamu
mikutano
na rais
ndani
no reforms
no reforms no election
picha
post
rais
rekodi
samia
samia suluhu hassan
siku
spika
spika tulia
wake
wapinzani
wasiwasi
Nimecheka sana,
Mdogo wangu yupo Chuo Kikuu Dodoma kaniambia muda huu vijana wa CCM vyuoni wameelekezwa kuingia kwenye pages za Samia, Ikulu Mawasiliano na CCM kutuma jumbe nyingi kuonesha Samia na CCM inaungwa mkono. Jumbe hizo ni pamoja na za kumsifia na kuonesha kuwa anapendwa na atapigiwa...
❌ Usianze Ufugaji Kabla Hujajua Kuku Wangapi Unafuga na Gharama Zake.Ukipuuzia Itakugharimu 💸Zaidi Kuliko Unavyofikiria
Nakumbuka nilivyoanza niliweka lengo la kufuga kuku kwa miezi mitatu yaani siku 84( wiki 1 ni siku 7) ili wakifika umri huo na uzito wa angalau kg 3 niweze kuuza nipate faida...
Nina miaka 47 sasa. Tangu nianze kuwafahamu Watanzania hakuna mwaka ambao nimewaona Watanzania wameanza kupevuka kiuelewa na kiakili kama mwaka huu.
Mwaka huu inawezekana Mungu anataka kufanya jambo moja la kipekee sana ili kulikomboa hili Taifa.
Kwa mwamko ninaouona kwa Watanzania hivi sasa...
Kila mtu anasema lake..
Rais Samia: Yeye indirectly, kusema bila shaka Gwajima dini yake ni ya kichawi. Kwa hiyo inawezekana alitoroshwa na wachawi Ili asiingie kwenye mikono ya watekaji!
Wengine wanasema: Siku hiyo, alijifanya mwanamke, akavaa dera, akawazuga Polisi kiasi cha kushindwa...
Yani hali yetu ni tete sana labda hao wenye mirija ya ufisadi kwao mambo yao safi.Yani toka mwaka uanze jadi sasa biashara hazijachangamka mzunguko wa hela tabu tu.
Mimi nadhani kuendelea kuzungumza swala hili ni kulifanya liwe gumu zaidi badala yake kwakuwa tayari kanisa limesha toa msimamo wa kwenda mahakamani kupinga kinacho daiwa kufungwa Kwa kanisa Sasa hekima ni Bora kusubiri maamuzi ya mahakama kwanza kabala ya kuendelea kupambisha moto Hoja yenyewe...
Kinachoendelea ni kwa serikali na vyombo vyake kujaribu kuwaziba midomo wale wote wanaofichua vitendo viovu vya utekaji na upotevu wa wananchi. Lakini la ajabu ni kwamba badala ya serikali kutoa ushirikiano kwa watoa taarifa inaonekana serikali inajikiti zaidi kukana kuwepo kwa vitendo hivi na...
Mtaalamu wa Uchumi na fedha, Ally Mkimo amefafanua dhana ya Uchumi wa Taifa, Vigezo vinavotumika kutambua iwapo Uchumi wa nchi Umepanda ama Umeshuka, Upimaji wa Uchumi Kimataifa lakini pia nini kifanyike ili dhana ya ukuaji wa uchumi na taifa uendane na ukuaji wa uchumi wa mtu mmoja mmoja...
Ndani ya usalama na Polisi kuna mgawanyiko. Kazi kubwa kwa wazalendo wa ndani ni kuwasomesha wasimamie haki na kuzuia wizi wa kura na waache uchawa. Wakina Gwajima, Lissu na Lema tayari wana watu wao. Kuna wanao weka ukabila hasa wa Gwajima lakini wakiungana wanaweza kuleta jeshi lenye haki.
Utafiti mpya wa TIFA umeonesha hali halisi ya maisha magumu ambayo Wakenya wengi wanapitia tangu Rais Ruto aingie madarakani miaka miwili na nusu iliyopita.
Asilimia 75% ya waliohojiwa wamesema hali yao ya kiuchumi ni mbaya zaidi sasa kuliko ilivyokuwa miaka mitatu iliyopita – kabla ya uchaguzi...
GT.
Aisee ukiingia twitter utachoka. Hawa genz ni hatari sana. Samia hawezi kuruhusu twiter iwe hewani kwa sasa, yanayoendelea kule
Yote haya ni kumkamata Lissu
Balancing the equation, baadhi ya wakosoaji ni lazima watoke ndani ya ccm ili kutengeneza uwiano ulio mzuri,
#Hata Wana ccm wenyewe hili jambo linawashangaza sana juu wahalifu, katika kuendeleza ualifu wao,
Siamini ya kuwa hata chadema wenyewe wanaidadi kubwa namna hii inayodaiwa watu kupotea...
Jee watazimia? Pressure zao zitapanda au zitashuka? Wataweza kuendelea na hiyo no reforms no election? Jee wataporomosha matusi hadi ya nguoni?
Mimi nafikiri tu kwa sauti? Jee wewe unafikiri kipi kitawapata hawa watu ikitokea hivyo?
Mbunge wa Juja, George Koimburi, amepatikana akiwa amejeruhiwa vibaya kwenye shamba la kahawa Kaunti ya Kiambu.
Koimburi,ambaye ni mtetezi mkubwa wa Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua, alitekwa nyara Jumapili, Mei 25, nje ya Kanisa la Full Gospel Mugutha akiwa na mkewe, Anne Koimburi...
afrika
afrika mashariki
george
halihali mbaya
jimbo
kanisani
kenya
kidogo
kujeruhiwa
kupigwa
kwenda
mashariki
mbaya
mbunge
mbunge atekwa
mbunge wa kenya
mji
mkewe
nchini
nje
shambani
utekaji
wako
wanaharakati
wapi
Habari zenu naomba muhisike na iyo mada apo juu kuna ndugu yangu ni wa kiume anajiskia hali ya kutapika lkn hatapiki ina inapomjia hali iyo huwa anajiskia vibaya pia anapata hali ya kichefchef sana hadi kufikia hali ya kutema mate kila muda hii hali inatokana na nini?NB:ana mke lkn sio mjamzito
Nimepita kwenye Kituo cha Mabasi yaendayo Haraka maarufu kwa jina la Mwendokasi pale Kimara Mwisho, jana Mei 25, 2025 sehemu ya vyoo vya haja ndogo upande wa Wanaume hali niliyoikuta ni hii kama unavyojionea.
Kinachoshangaza ni kuwa hali hiyo imekuwepo kwa muda sasa, licha ya kuwa abiria ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.