halali

The Halali reservoir is a reservoir in the Raisen district of Madhya Pradesh, India. It is built on the Halali River, and lies 40 km away from the state capital Bhopal.The major fish species found in the reservoir include catla, rohu, mrigal, wallago attu, mystus and chitala.

View More On Wikipedia.org
  1. De Professor

    JamiiForums Tanzania Biashara gani halali yenye faida ya haraka within 1 week return?

    Habari yako Kijana, Baba, Mama na Dada mwenye haiba ya Upambanaji na mwenye kuhakikisha haukai pasipo kufanya kitu. Moja kwa moja twende kwenye Mada husika natamani kukusanya hoja na mitazamo ya watu waliofanya vitu tofauti tofauti iwe ni Biashara au aina yeyote ya kitu kinachoweza kutengeneza...
  2. Dong Jin

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wamiliki halali wa WASAFI LIMITED

    Kumekuwa na mijadala mingi ambayo inazungumzia kuhusu mmiliki halali wa wasafi na wengi wakiihusisha wasafi na Kusaga kuwa ni mali yake Hii ni document toka brela ikionesha ni nani hasa wanaimjliki wasafi limited... Hii document inaweza kumaliza kabisa yale maneno kuwa dogo Mond hana...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ndio maana halisi ya neno ndoa halali

    Nimewasikia wengi wakilitumia neno ndoa halali. Wakisema ni mume wangu halili, wengine wakisema mke wangu halali. Wengine wakisema kuwa wamefunga ndoa halali n.k. Je, mume anaporudi nyumbani asubuhi bila kusema alikuwa wapi hiyo tutaendelea kuiita ndoa halali? Mke na mume kila mmoja hajui...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni ngumu kutoboa kibiashara kwasababu ya mrundikano wa kodi

    Baada ya kupambana saana na Maisha ya ajira, nikafikiria nitafute namna ya kuingiza kipato kingine. Akili ikanutuma shambani kweli nimeingia shambani na Hali siyo mbaya. Wazo likaja tena niachane na wakati wa Kati mazao yangu niyaongezee thamani. Lengo likiwa kuanzisha mashine ya kukoboa...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kwa wale 'Washamba' tu na wenye 'Chuki' na Goli 'halali' kabisa la Simba SC dhidi ya Azam FC huko Songea katika ( ASFC ) leo

    Nianze Kwanza kwa Kumshukuru Mchambuzi 'mahiri' wa Mpira kutoka Clouds FM Kipindi chao cha Michezo cha Sports Extra Farahani (Farhan) Kihamu kwa Ufafanuzi wake ulioenda Shule (Kidato) Na nikiri kuwa 100% ya kile nitakachokiandika hapa nimekitoa Kwake Mchambuzi huyu Farahani Kihamu na siyo...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya Wachinga ni leseni halali kwa mujibu wa Sheria Namba 6 ya 2014

    Katika Sheria ya leseni sura 208 ya 1972 na marekebisho yake (Act Supplement Number 6 of 2014, Ibara ya 7) imewatambua wafanyabiashara wadogo na kuweka viwango vya leseni vya elfu 20. Hivyo vitambulisho vya machinga ni lesseni halali kwa mujibu wa Sheria, na wala sio hisani ya mtu hivyo...
  7. Slowly

    JamiiForums Tanzania WCB wamewekeza Sana ni halali Yao kuvuna walichokipanda

    Jina WCB ndo jina maarufu la kisanaa Kwa sasa.....Diamond Platnumz hajatokea from no where , nakumbuka mwaka 2010 nikisikiliza radio free Africa kulikuwa na kipind cha kushindanisha wasaniii na sku hyo walishindanisha Diamond na Alli Kiba , kiukweli Alikiba aliongoza Kwa Kura dhidi ya diamond...
  8. Issa Bakary

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali, nina elimu ya kidato cha nne

    Natafuta kazi yoyote halali. Elimu yangu ni kidato cha nne pia nimehitimu mafunzo ya udereva veta ila sina uzoefu sana sababu sijawahi fanya kazi ya udereva popote ila nikipewa kazi nafanya properly.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Serikali itoe tamko kubatilisha mabango ya matusi Mwanza, la sivyo ni ruksa kwa tamko halali la Mkuu wa Mkoa

    Chalamila alitoa ruksa kwamba tunaweza kubeba mabango kumkaribisha Raisi na kuandika chochote, hata tusi. Chalamila kaondolewa, lakini sijasikia serikali ikibatilisha tamko hili la ruksa. Nadhani busara zitumike, na batilisho litolewe. La sivyo mkiona bango langu lina matusi ya nguoni tusilaumiane.
  10. 2

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi halali ya usiku, nipo Dar es Salaam

    Habari Wana Jf Mimi ni kijana na umri wa miaka 24, MALE, makazi yangu kwa sasa nipo Kigamboni Dar es Salaam Tanzania. Natafuta Kazi yoyote ikiwemo usaidizi, data entry, customer care, receptionist & ,casinos, ambayo naweza kufanya kwa muda wa usiku, au nyingine yoyote nje ya nilizopendekeza...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali kwa Arusha

    Mimi ni Civil technician kutokana na uhaba wa contract za ujenzi kwa sasa niko mtaani naombeni kwa yoyote anayeweza kunisaidia kazi yoyote halali. Note sichagui kazi hata kama unataka kazi ya kibarua sehemu niko tayari kufanya.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta kibarua au kazi yeyote ile halali

    Habari ndugu zangu. Mimi ni kijana wa kiume Elimu: Bachelor of science in mathematics and statistics. Ninatafuta kazi au kibarua chochote kile halali, hata kuwa msaidizi kwenye shughuli yeyote ile halali. Hata kazi za kuanzia jioni mpaka usiku sana nafanya. Ninaweza kufanya masuala yahusiyo...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ndugulile: Tunaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa vidole ili kuwabaini wanaomiliki isivyo halali

    Waziri Ndugulile amesema wizara yake inaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa alama za vidole ili kuwabaini wanaozimiliki isivyo halali. Ndugulile amesema mitambo ya kubaini hayo wanayo. Chanzo: Swahili times
  14. C

    JamiiForums Tanzania Pikipiki zinazouzwa Dar es Salaam ni za magendo au halali?

    Habari zenu ndugu wananchi, Leo naomba kuwauliza swali wakaz wa Dar mliopo humu JF Nimejiunga na ma group kadhaa yanaouza vitu used kutoka mikoa mbali mbali Kuna jambo moja linanipa utata, pikipiki nyingi zinazowekwa mtandaoni kwa ajili ya biashara ni moya na bei yake ni ya chini sana Nyingi...
Back
Top Bottom