halali

The Halali reservoir is a reservoir in the Raisen district of Madhya Pradesh, India. It is built on the Halali River, and lies 40 km away from the state capital Bhopal.The major fish species found in the reservoir include catla, rohu, mrigal, wallago attu, mystus and chitala.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je ni halali jambo hili kufanyika?

    Mchango wowote wa maendeleo,mf kujenga maboma,kufyatulisha tofali na kazi nyinyingine za kiserikali iwe ktk kijiji,mtaa,kata au wilaya je ni halali kuchukuwa mchango wa mwananchi bila kumpa risiti ya kiserikali?
  2. X

    JamiiForums Tanzania Bingo Natafuta kazi yoyote halali, Ndani Ya mkoa wa Mwanza

    Habari wana jamii forum, Mimi Binti, Elimu yangu ni kidato cha 4. Natafuta kazi yoyote halali ndani Ya mkoa wa Mwanza . Nipo tayari kufanya kazi pia katika (kazi za ndani, viwandani na kuuza duka, na stationary ). Naombeni msaada kwenu tafadhari. Mwenye connection yoyote aje DM.
  3. JamiiForums Tanzania Ni halali Mume kuleta watoto wa nje ya ndoa katika ndoa yake/familia yake?

    JE NI HALALI MUME KULETA MTOTO WA NJE YA NDOA KATIKA NDOA YAKE/FAMILIA? Anaandika Robert Heriel, Shahidi, Sitompendelea yeyote, iwe Mimi mwenyewe au Nani. Tutakachoangalia Haki na ukweli . Huo ndio msingi na nguzo kuu katika Maandiko yangu bila kujali Nani atasema na atajisikiaje. Hilo...
  4. JamiiForums Tanzania Ziko wapi trilioni 360 za Watanzania? Je, ni kesi ya madai halali au madai hewa? Je, mawaziri wa fedha wanatosha au hawatoshi?

    ZIKO WAPI TRILIONI 360 ZA WATANZANIA? JE NI KESI YA MADAI HALALI AU MADAI HEWA? JE MAWAZIRI WA FEDHA WANATOSHA AU HAWATOSHI? Leo 12:15hrs 23/09/2022 Ndugu zangu Mh Luhaga Mpina ni Mbunge pekee kwa sasa katika Bunge la Jamhuri ya Muungano anaetukumbusha na kutuonesha watanzania dhati ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Mrema ni batili, Mjane ana ndoa nyingine halali

    Mnakumbuka story ya Raia Mwema - Lyatonga Mrema adaiwa kupora mke wa mtu Kumbe anayejiita Mjane wa Mrema ni Mafia wa mjini na anatumia majina fake kutapeli watu. Doreen aliolewa April 2012, ndoaya kikatiki na Bwana Fredrick Mushi (mchaga wa kibosho) ambaye yupo hai na inasemekana walipata...
  6. JamiiForums Tanzania Jifunzeni Siasa za Freeman Mbowe; Anachofanya Maria Sarungi ni ukosefu wa heshima kwa Mamlaka halali

    Maria Sarungi, Mwanaharakati na Mwanachama hai wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo amekuwa akiendesha kampeni za kutukana na kudhalilisha Viongozi/Mamlaka halali kwenye mitandao ya kijamii kwa mgongo wa kudai katiba mpya. Sio tatizo kudai anachokiamini, tatizo ni namna anavyoendesha hizo...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali

    Wakuu mimi ni kijana wa miaka 23, natafuta kazi yoyote ya halali kwa muda sasa. Nina ujuzi wa; Diploma ya record management Diploma ya music production Pia naweza kufundisha watoto wa nursery, nipo vizuri japo nikipata sehem ya kujishikiza. NB: Naweza pia kufanya kazi makanisani kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Ni halali Wazanzibari kufanya kazi za Watanganyika?

    Hivi ni halali kwa Wazanzibari kuajiriwa Tanganyika kama waalimu bila ya kuwa na vibali vya kufanya kazi? Ni halali Wazanzibari kuajiriwa kama watendaji wa mitaa na Kata? Ni halali kwa Mzanzibari kuteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa au wilaya huku Tanganyika? Ni sawa kwa Mzanzibari kupewa Leseni ya...
  9. JamiiForums Tanzania Nassari: Mikusanyiko isiyo halali haitakiwi, kinachofanywa na CCM ni ukaguzi wa ilani ya chama

    Joshua Nassari amewataka wanasiasa kufuata taratibu za nchi pale wanapotaka kufanya mikusanyiko la sivyo mahabusu bado zina nafasi za kutosha, ameyasema hayo alipokuwa akishiriki mkutano wa mahitimisho ya sensa. Amesema kabla ya mtu yeyote kuandaa mkutano ni lazima aombe kibali na akubaliwe...
  10. JamiiForums Tanzania Mch Lusekelo ya kaiskari mpe kaiskari na ya Mungu Mungu mpe Mungu. Tozo na kodi ziwe halali kulingana na kanuni. Dunia nzima hakuna double taxation

    Kodi inatakiwa isikatwe mara mbili. Kodi au tozo inatakiwa iwe halali na isiwe mzigo kwa mlipaji. Acha kutetea maonevu kwa njia ya tozo na kodi
  11. JamiiForums Tanzania Ni halali kununua dawa maduka ya nje,na nina bima ya NHIF..kisa hospital niliyotibiwa hizo dawa hamna?

    Leo nimepata hasira sana,hiv wa mabwanyenye huko juu kwenye uongozi huwa yanatumia akili au ma..alio kufikiri? Hela ilivyongumu hivi nakatwa mchango wa NHIF alafu nimepanga foleni toka asubuhi mpaka saa 10 jion,majibu yanatoka na andikiwa dawa ila zingine kwenye stoo yao wanasema hamna . Alafu...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wakati Nigeria ikitengeneza $3.7bn, South Africa $ 1.7 bn kwa mwaka kwa kilimo halali cha bangi, Mwigulu na Samia wanazidi kuwakamua ' Damu' Wa- Tz.

    Wakuu, nadhani kila mmoja wetu humu anaumia au amesikia kilio cha kila Mtanzania hasa baada ya kuanzisha tozo kila tunapotoa pesa kwenye account zetu aidha kwenye counter au ATM. Viongozi wetu Sasa hivi hawafikilii nje ya box au tuseme wamefikia mwisho wa kufikiria. Sasa hivi watanzania tulio...
  13. JamiiForums Tanzania Je, ni halali kumpiga makofi mama mkwe anayekukera kila siku?

    Ni tukio limetokea jana jioni hapa uyole. Ndoa ina miaka mitatu mke hajabahatika kushika ujauzito. Sasa mama mtu alikuwa anapiga kelele juu ya hilo. Nataka mjukuu nataka mjukuu, mnataka nife sijaona wajukuu na kadhalika. Ni mama mkwe hivo binti akawa hana la kusema zaidi ya tutapata mama na...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kumbe kweli halali kambini Avic Town, huchukuliwa na Alphard tinted

    Hakuna kitu kibaya katika team kama kumfanya mchezaji mmoja kuwa special, na cha kushukuru ni kwamba wale wacongo watatu wameongezewa mkataba na pesa la sivyo. Anyway yule kijana toka Ogadougou Burkinabe msimamo wake wa kutolala kigamboni kaushikilia bwana..analetwa mazoezin na Alphard tinted...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi yoyote ya halali, nina Cheti cha Kidato cha Nne

    Natanguliza salamu, Naitwa Juma Nina umri wa miaka 19 ninaishi Mwanza, Natafuta kazi yoyote ya halali nina cheti cha kidato cha nne. Naweza kutumia computer vizuri Ninaujuzi wa Web design Naweza kufanya kazi ya duka Naombeni msaada wwnu Guys natafuta kazi nipo Mwanza Tanzania , Yoyote...
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali, niko Arusha

    Habari ndugu zangu. Mimi ni kijana (ME) nina umri wa miaka 20. Ninaishi mkoa wa Arusha. Nina shida sana hali ngumu ya maisha Hadi naanza kuta tamaa . Nimeona niweke wazi tu huenda kuna mtu humu atanisaidia kupata kazi yoyote ile ya halali. Natanguliza shukrani
  17. JamiiForums Tanzania Kibiblia, nguruwe ni halali kuliwa

    Huu hapa ufafanuzi Dunia hii imepita Kwenye vipindi tofautitofauti na ni Mungu ndiyo anaongoza hivi vipindi. Kipindi Cha kwanza: Mungu anatoa Sheria ya wanadamu kula matunda tu. Hili tunaliona Kwa Adam na Hawa Kipindi Cha pili. Mungu anatoa maelezo ya wanadamu kula vyakula vyote isipokuwa...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Serikali na wasomi wa nchi hii mnafanya nini? Je! Ni halali tuwaite wasomi uchwara?

    Kama kweli ikiiwa tunataka nchi yetu Ipige hatua, ni vyema kila changamoto inayojitokeza, tuione kama fursa ya kutufikisha pahala! JPM ingawa hatumpendi, lakini wakati wa Covd 19, yeye aliona kuwa ni fursa, wakati mataifa mengine wakijilockdawon, yeye alihimiza wananchi kuchapa kazi, na mwisho...
  19. JamiiForums Tanzania Watalaam wa mafuta na gesi Tanzania waishauri serikali juu ya ongezeko la bei za mbolea, mafuta ya petroli na dizeli nchini

    Watalaam wa mafuta na gesi Tanzania: Waishauri serikali juu ya ongezeko la bei za mbolea, mafuta ya petroli na dizeli nchini. Kuhusu kupanda kwa bei za mafuta ya petroli na dizeli, mtaalam wa mafuta na gesi Bwana Elia Wilinasi amesema mafuta ndio nishati inayoendesha injini ya uchumi wa dunia...
  20. JamiiForums Tanzania Mmiliki halali wa Jerusalem

    Hakuna mji wowote duniani ambao umekuwa ni mji wenye umuhimu sana kwa watu wengi kama ulivyo mji wa Jerusalem. Mji wa Jerusalem ni mji ambao una umuhimu kwa Wayahudi, Wakristo na Waislamu. Mji wa Jerusalem unajulikana kama mji wa amani lakini Jerusalem ya leo n ahata kihistoria haujawahi kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…