Ndiyo! Rais mkapa hakua mbinafsi hata kidogo na yawezekana ndiyo Rais ambae hakupendelea kwao kabisa mpaka anaondoka madarakani Rais mkapa hakupeleka vitu vingi sana kwao mtwara zaidi ya daraja la rufiji na zile barabara na hata barabara zilikamilika kipindi cha Kikwete si mkapa.Mkapa kwa nafasi...
https://youtube.com/shorts/gTEMno7Z2-U?si=xSlG6kfVeuVYMh01
Kumbe jamaa ana asili ya morocco. Ila Kwenye filamu alitengenezwa ili afananie kama mthailand.
Ila jamaa ni mtalaam wa martial arts pia ni muaandaji wa filamu za zinazohusiana na martial arts.
Kickboxer ni moja ya classic movies...
MHESHIMIWA Léopold Sédar Senghor
Rais kwa kwanza wa Senegal
Alistaafu kwa hiari December 1980
MHESHIMIWA Ahmadou Babatoura Ahidjo
Rais wa kwanza wa Cameroon
Alistaafu kwa hiari November 1982
Heshima ssna wanajamvi.
Sasa ni wazi Mch Msigwa ni mmoja wa wale wanasiasa waliolamba fedha za Abdul.
Katika hali ya kustaajabisha Mch Msigwa hakuwahi kubeba Bible takatifu hadharani na kuwaaminisha waumini wakikifuata na kukitii kitabu hicho kitakatifu watakwenda Mbinguni.
Mheshimiwa Abdul...
Toka ajali iliyosababisha vifo vya Katibu Tawala - RAS wa mkoa wa Kilimanjaro na Dereva wake tumeshuhudia ubaguzi mkubwa unaoganywa na serikali kwenye misiba hii. Tumeshuhudia na tunaendelea kushuhudia serikali nzima ikiomboleza na kutumia nguvu kubwa kushughulika na Kifo cha RAS ikimpamba kwa...
Siasa ni kama biashara, huwezi kupeleka viatu kwa wamasai ukashindane na wanaouza ndala za mataili, itakuwa ni ujinga
Vile vile huwezi kupeleka sembe mahali ambako watu wanamahindi yao na huyatumia kula dona, itakuwa wendawazimu wa kiabiashara
Wananchi wengi wanamkubali Makonda, maana ndiyo...
Shalom,
Habari kwenu nyote wadau wa jukwaa hili, nimekuwa nikijiuliza sana haya maswali kwanini Yesu hakuoa, Kwanini Yesu hakuwa na mwanafunzi wa kike, kwanini Yesu pia hakuwa na ukaribu wala urafiki na wanawake?
Hili fumbo linatupatia Mtihani gani ?
Tusaidiane kufikiria, karibu kwa rejea...
Marehemu asemwi vibaya ila huyu mwamba alinifurahisha sana.
Mmoja kati ya viungo bora kabisa wa enzi zake,siku moja kabla ya kifo chake,Isnsil Aden Rage akimpatia milioni zaidi ya kumi kama sehemu ya ada ya usajili wake.
Mafisango akaita marafiki zake wakaitumbua aswaa,ilikuwa ni kuhama bar tu...
Ndio maana tunawashauri viongozi wa Nchi yetu wajikite kutimiza malengo na uzalendo kwa Taifa lao waachane na vipaumbele vya vyama vyao.
Chawa huwa wanakuzunguka na kukupigia makofi pale tu unapokuwa Madarakani. Ukiondoka wanakutupa wanahamia kwa mwingine mwenye uwezo wa kuwapa vyeo, fursa na...
Binafsi sijabahatika kukisoma na kukimaliza kitabu kinachoelezea maisha yake kilichoandikwa na mzee huyu mwingi wa ucheshi, uungwana na mbobevu wa lugha tamu ya kiswahili.
Lkn kwa waliokisoma chote wanaeleza mengi sana yanayodhihirisha kuwa hakuwa mtu wa tamaa. Mojawapo ya maelezo hayo ni...
Magufuli hakuwa Dikteta kama baadhi ya wananchi walivyokuwa wakimlaani
Alikuwa akichukizwa na watu vigeugeu au wasaliti
Alitaka akiagiza tufanye kazi basi tufanye wote sio wengine waende kinyume
Na jambo jema ni kuwa maagizo yake yalikuwa ya kuleta maendeleo
Tatizo la Watanzania 80% ni...
Kumradhi kwa taarifa ya mwanzo niliyoleta kwenye uzi uliopita. Clemence alikuwa mmoja kati ya watu waliouawa kwenye uvamizi katika kibbutz Nahal Oz October 7 mwaka huu. Inavyoonekana ni kwamba watu wengi ambao ni raia wa Israel au raia wa nje bad hawajulikani walipo.
Mfano mwanadada Shani...
Nimepita mitaa fulani huko nimesikia kuna watu wanasema hayati JPM ukali wote ule ila alikuwa hamaanishi alivyokuwa akizungumza .
Binafsi nimepitia video chache nikaona hayo madai hayana ukweli wowote na alikuwa na nia nzuri na hili Taifa .
Kuna wale wataalamu wa body language mnasemaje ...
Mwaka 2018, MIC Tanzania Limited (Tigo) iliamriwa na Kamati ya Malalamiko ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kumlipa Ogada Ogweno Tsh. 1,000,000 kama fidia ya usumbufu. Pia walitakiwa kumrudishia Tsh 450 waliyoikata kimakosa kwa huduma ambayo hakujiunga
Hali ilikuwa hivi, Ogweno alitaka...
Ili kuepuka kuwa na Rais ambae hakutokana na kuchaguliwa na wananchi ilipaswa kupewa nafasi yule aliye shika nafasi ya pili.
Alafu Rais Samia angetumika kuongoza nchi kwa kipindi kifupi hadi pale Rais atakapo tawazwa kisha aachie nafasi ya Urais ambayo alishikili baada ya Rais aliye madarakani...
Yes, kama kichwa cha uzi kinavyosema kuwa "Gorbachev hakuwa pandikizi la marekani kama watu wanavyo sema bali alikuwa mwanamageuzi(reformist) alie fail".
Mimi binafsi naweza kuwepo katika kundi dogo sana linalo mtazama Gorbachev kama mwanamageuzi wa kikomunisti alie fail na sio kama pandikizi...
Pale Real Madrid kulikuwa na mtoto wa nyumbani. Wachezaji walisajiliwa wakamkuta Guti wakamaliza wakaondoka wakamuacha Guti.
Huyu alikuwa zao la academy ya Madrid, aliipenda Madrid kuliko kitu kingine. Katika ubora wake alikuwa ni namba 10 pengine asiyeimbwa na wengi. Guti alikuwa anafunga...
Nimeona ona humu JF baadhi ya watu wanadai kuwa eti kipindi cha Rais Magufuli watu ambao hivi sasa wanamkosoa Rais Samia, hawakuthubutu kumpinga hadharani kama ambavyo wanampinga huyu mama yao.
Hilo si kweli. Rais Magufuli alipingwa sana na watu. Tena watu wa kada zote.
Kudai kuwa hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.