Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,042
- 12,369
Yes, kama kichwa cha uzi kinavyosema kuwa "Gorbachev hakuwa pandikizi la marekani kama watu wanavyo sema bali alikuwa mwanamageuzi(reformist) alie fail".
Mimi binafsi naweza kuwepo katika kundi dogo sana linalo mtazama Gorbachev kama mwanamageuzi wa kikomunisti alie fail na sio kama pandikizi la U.S.A kupitia C.I.A lililopewa mission ya kuivunja USSR.
Gorbachev alikumbwa na changamoto za kufanyia mageuzi USSR iliyo kuwa katika hali mbaya baada ya kutwaa madaraka ya chama cha kikomunisti cha Usovieti.
Changamoto alizo kumbana nazo Gorbachev miaka ya 1980s ndizo changamoto walizokumbana nazo wenzake wa vyama vya ukomunisti duniani mfano China, Vietnam hata Tanzania iliyo kuwa ina practice ukomunisti uchwara"ujamaa" nayo ilikuwa na changamoto zile zile za kiuchumi.
Sasa kosa kubwa alilo fanya Gorbachev mpaka kupeleka kuonekana kama pandikizi la U.S.A hadi leo C.IA kupewa ujiko na sifa wasizo stahili kuhusu Gorbachev ni yeye kutaka kufanya " Political na economic reforms" kwa wakati moja.
Mwenzake China naye hali ilikuwa mbaya chini ya Deng Xiaoping miaka ya 1980s hasa kuhusu economic reforms zake ziliweza kuleta faida pia hasara kubwa hasa kwa wakulima na wananchi wengine gharama za maisha zilipanda kwa kasi na kuwa juu sana, rushwa kila kona ya nchi, ufujaji wa mali za umma kitu kilicho pelekea maandamano ya wanafunzi sehemu mbalimbali za nchi.
Wanafunzi walitaka mabadiliko yafanyike haraka katika mueleko wa nchi kiuchumi baada maandamano kuzidi na kupata support ya baadhi ya members wa chama cha kikomunisti ndipo wakaanza na ku demand political reforms jambo lililo mkera sana Deng na kuchukua maamuzi ya ajabu kudhibiti.
Deng alikuwa ana amini kuwa political reforms inabidi zifanywe taratibu taratibu bila haraka yoyote ile.
Sasa yeye Gorbachev akajichanganya na kutaka kuua ndege wawili kwa jiwe moja kwamba afanye economic reforms at the same time afanye political reforms yote yakamshinda USSR ikasambaratika vibaya sana.
Hivyo huo ujiko wanaopewa U.S.A kupitia C.I.A hauna ukweli wowote zaidi ya conspiracy theories tu.