haki

  1. JamiiForums Tanzania Eminem ndiye rapper bora kuwahi kutokea, kikwazo ni rangi

    Siwezi kuongea kwa niaba ya watu wenye asili ya africa wote wanaopenda hip hop, wawe wabongo, wamarekani weusi, waingereza , n.k, lakini wacha nitoe maoni yangu, Eminem is the goat (great of all time), bigie na 2pac walikuwa hot lakini nadiriki kusema vifo vyao vilikuwa vikubwa mno kuliko...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Serikali kubana matumizi napo tunasubiri Benki ya Dunia (WB) ituambie? Hatuwezi kuona tunakokwenda?

    Hali ni mbaya sana mitaani na anayebisha akapimwe akili, kwa sasa, wapo wananchi wanaoshindia mkate wa bakhalesa, wapo ambao siku inaweza kupita bila kula kabisa, nina uhakika na hilo, na katika hilo, niseme kwamba, hakuna nchi yenye watu wavumilivu kama Watanzania, si kwenye mambo ya kisiasa...
  3. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe na wenzake imetufumbua macho, haki za Watanzania zipo mikononi mwa Jeshi la polisi

    Sheria za Tanzania zipo wazi kabisa kuwa mtuhumiwa anatakiwa kukiri kwa hiari ili hiyo kiri iweze kutumika mahakamani. Hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 27 cha sheria ya ushahidi ya Tanzania. Lakini kifungu cha 29 kinawapa kiburi polisi kupiga na kutesa watu maana kinasema kama mtu ataubaki...
  4. JamiiForums Tanzania Haki za Msingi za Wanawake na Haki zisizo za Wanawake

    HAKI ZA MSINGI ZA MWANAMKE NA HAKI ZISIZO ZA WANAWAKE Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Kwa mujibu wa mtazamo wangu na ambao ninajiamini; ni hakika, Hapa sitauma Una maneno, sitaficha chochote, nitataja Kwa haki kabisa. Zifuatazo ndizo Haki za msingi za wanawake; 1. Haki ya Kuishi Kama binadamu...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya CCTV camera Tanzania na uvunjifu wa haki ya faragha

    Kumeibuka tabia ya kila mtu anafunga CCTV camera kwenye maeneo ya biashara au nyumba ya kuisha mfano mtu anafunga CCTV camera kwenye eneo la baa au nyumba ya kulala wageni na Hakuna sheria au muongozo ambao umewekwa na serikali kusimamia matumizi ya hizo camera mwisho siku unakuta haki za...
  6. JamiiForums Tanzania Usichokifahamu kuhusu haki na wajibu wa mtoto

    Mtoto ni binadamu yeyote mwenye umri chini ya miaka 18. Katika suala lolote lile liwe la binafsi, taasisi, kimahakama au vyombo vingine vya maamuzi maslahi ya mtoto yatawekwa mbele kwanza. Baadhi ya watu katika jamii wamekuwa na uelewa finyu kuhusu haki na wajibu wa mtoto, katika jamii, kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Brings back Moses Lijenje campaign

    Wakuu kutokana na yanayoendelea kwenye kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake, hatuna budi kupaza sauti zetu kuisaidia familia ya Komandoo Moses Lijenje kujua status ya hali ya mpendwa wao, na pia kupaza sauti zidi ya matendo ovu ya jeshi la Polisi Tanzania dhidi ya RAIA wasiokuwa na hatia. Bring...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia; Achana na hoja ya Haki Sawa inakupotezea Ushawishi ndani ya jamii

    RAIS SAMIA, ACHANA NA HOJA YA HAKI SAWA. INAKUPOTEZEA USHAWISHI NDANI YA JAMII. Na, Robert Heriel. Kwa maoni na mtazamo wangu ambao kimsingi nauamini, ninaona mbele zaidi miaka kadhaa ijayo. Naomba Mhe. Rais uachane na hoja ya Haki Sawa bhaina ya Mwanamke na Mwanaume. Hakunaga haki Sawa baina...
  9. JamiiForums Tanzania ACP Kingai ni vyema na haki ikiwa utarejesha Tsh 260,000 fedha za mtuhumiwa wa ugaidi

    Wakuu wote heshima sana. Sote tumekuwa tukifuatilia kesi ya UGAIDI inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA na watuhumiwa wengine watatu. Jana baada ya upande wa mashtaka kuwaondoa mashahidi wanne,mtuhumiwa wa Ugaidi mwanajeshi mstaafu au ukipenda mstaafishwa alipanda kizimbani kwa minajili ya...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Kiu Ya Haki

    Wapenzi wa Riwaya Za Upelelezi kuanzia leo tutawaletea mfululilizo wa Riwaya ya Kiu ya Haki
  11. JamiiForums Tanzania Diaspora Marekani mmetenda haki kwa Rais Samia, dunia imeona

    Wanaukumbi. Watanzania wa Diaspora wakisindikizwa na friends of Tanzania waliofika kumpa sapoti Raisi wetu wakati alitoa speech huko UN. Kuna kikundi cha watu kama watatu inasemekana ni Wajamaica wapewa pesa kubeba mabango ya Mbowe kimehangaika sana kuwarubuni lengo ni kumwondolea Rais Suluhu...
  12. JamiiForums Tanzania Joe Biden awaambia wajumbe wa UN - General Assembly kuwa, dunia ya wakati ujao si ya viongozi katili wanaokandamiza haki za watu...

    Tafsiri isiyo rasmi; Biden akihutubia mkutano wa Baraza kuu la Umoja wa mataifa, amesema; "....Nyakati zijazo ni za viongozi ambao wanaheshimu uhuru wa watu wa kupumua (i.e kufurahia haki zao za kiraia, kisiasa, kiuchumi na kijamii) na si nyakati za viongozi wanaowakandamiza uhuru wa watu wao...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Yanga SC na GSM yenu hivi kama Kesi hii Haki ni yenu kila Siku CAS wangekuwa wanaipiga Kalenda (Danadana) tu Kimaamuzi?

    Yanga SC mlitutangazia kuwa Hukumu ya CAS itatoka Mwezi March au May kama sijakosea na ikapigwa Kalenda. Yanga SC mlitutangazia kuwa Hukumu ya CAS itatoka Mwezi July na ikapigwa tena Kalenda. Yanga SC mlitutangazia tena kwa Mashamsham na Kujimwambafai Kwenu kuwa Hukumu itatoka leo ( Mwezi...
  14. JamiiForums Tanzania Mali za CCM zilizotokana na makato kwa raia wote wakati wa chama kimoja ni haki ya nani?

    Mada yangu iko wazi wazi. Naomba wajuvi wa mambo ya haki na umiliki, bila mahaba ya kisiasa waniweke sawa. Hivi mali zilizopatikana kwakuwakata tozo na kodi na ushuru, raia wote wakat wa chama kimoja cha CCM leo hii kwa nini wazimiliki raia wa chama kimoja? Hapa namaanisha majumba, viwanja...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Afrika yatakiwa kulinda kwanza haki ya maendeleo huku ikishiriki kwenye jitihada za dunia za kupambana na mabadiliko ya tabianchi

    Ili kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, “kupunguza utoaji wa hewa ya kaboni” imekuwa maoni ya pamoja kivitendo ya nchi mbalimbali duniani, lakini nchi zilizoendelea ambazo zimekamilisha mchakato wa maendeleo ya viwanda zinachukua msimamo mkali juu ya suala hili. Mapema mwaka huu, nchi saba...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu TLS - Mfumo wa Haki Jinai Tanzania uundwe upya, haki ipatikane

    Dr. Rugemeleza A.K Nshala, rais mstaafu wa Tanganyika Law Society TLS amesema mfumo wa Jinai Haki ( Criminal Justice System) wa nchini Tanzania unahitaji mabadiliko makubwa kwa kufumuliwa na uundwe upya ili kulinda haki za raia na watu . Azungumzia mazito kuhusu Nolle prosequi / kufutiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Wanayofanya viongozi wetu wakifikiri wanakomesha sauti za haki

  18. JamiiForums Tanzania Simbachawene kemea maovu na uvunjifu wa haki za binadamu unaofanywa na polisi

    Kila siku imayoenda kwa Mungu tunasakikia malalamiko ya wananchi juu ya askari polisi kufanya vitendo vya kikatili dhidi ya raia. Lakini waziri mwenye dhamana yupo kimya tu hatoi tamko wala kukemea. Mfano ni huko Handeni tumeshuhudia akina mama wakilalama hadharani kupigwa na kutomaswa kwa...
  19. JamiiForums Tanzania James Rugemalira aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na mashtaka

    Salaam Wakuu, Leo nimepita maeneo ya Mahakama ya Kisutu, Nikakuta Mkurugenzi wa kampuni ya VIP na mmiliki mwenza wa zamani wa IPTL, James Rugemalira anatabasamu akiwa na ndugu zake wakipeana hugs na kuchumiana. Inaashilia kuna dalili nzuri leo Mzee wa Henken akaliona jua. Langu Dua. James...
  20. JamiiForums Tanzania SoC01 Utetezi wa haki za watoto wa mitaani

    Utetezi,ni mchakato wa kupata msaada mkubwa kwa sababu fulani au sera fulani yaani kuwapa watoto wa mitaani sauti kwa kuwataka wawe na nguvu na ushawishi wachukue hatua ili waweze kujitetea na kuhakikisha kuwa wanasikilizwa matatizo yao katika jamii. Kazi yetu ya utetezi inashirikiana na watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…