haki

  1. JamiiForums Tanzania Usitumie mapenzi kuzurumu haki ya familia ya mpenzi wako

    Ulimwengu wa sasa mapenzi yamekuwa ni biashara, mtu atajitokeza kuwa na wewe kwa sababu atanufaika na kitu fulani. Na hicho kitu kilichomvutia kikiisha au kupotea, uhusiano au mapenzi nayo yanakufa. Atakayebaki na wewe katika majuto yako ya pesa, wadhifa, au umaarufu wako pale utakapoisha; ni...
  2. JamiiForums Tanzania Hongera Serikali kwa kukubali kumtendea haki mtoto wa kike

    Hatimaye serikali imesikia kilio cha wadau wa elimu waliokuwa wakishauri kuitaka serikali iruhusu watoto wanaopata ujauzito wangali mashuleni waendelee na masomo, binafsi naipongeza serikali kwa kuona kuwa ni vyema na haki kuwaandalia utaratibu watoto hao kuendelea na masomo, Na sababu zangu ni...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hakika leo nimeamini kuwa Mchawi na Mnafiki Siku zote hupenda Kujishtukia hasa Mipango yake mingi ikifeli

    Kisa hujuma: Yanga Kupumzisha nyota wake . 🗣"Tutakuwa makini zaidi kwenye mechi yetu dhidi ya Mbeya Kwanza, tunajua mipango iliyopo, tutafanya hivi kujiweka katika nafasi salama kwa sababu tunahofia kupata kadi za njano na kupelekea baadhi ya nyota kuukosa mchezo dhidi ya Simba hapo Desemba 11...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Kwa minajili ya haki Mbivu na Mbichi zote zianikwe

    Kesi ndogo ya Mohammed Ling'wenya iwe nafasi ya kuzianika mbivu na mbichi zote hadharani. Iliyodhaniwa nia njema (ya kusaka haki tu) kuwapo japo kidogo, imeshadhihirika kuwa haipo. Si jaji si mashtaka haonekani anayewaelewa. Kwa maana hiyo hapa sasa inabidi kieleweke. Kumwangalia nyani...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Maslahi gani Washitakiwa kunyimwa Haki?

    Jambo la kupongezwa kuona mawakili wa utetezi wakipambana vilivyo kuona haki za washitakiwa haziporwi. Hata hivyo inashangaza ni kwa motisha gani upande wa mashtaka kupambana kikuku kuona ikiwezekana washitakiwa hawapati haki zao. Faulo za upande wa mashtaka ziko nyingi na ziko wazi: 1...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa kupata haki toka Benki ya Posta

    Habari zenu wakuu,nina ndugu yangu amestaafu kwa hiyari tangu miaka minne iliyopita,Huyu ndugu yangu alipokuwa kazini alikopa kiasi fulani cha pesa toka TPB lakini huu mkopo alifanikiwa kuulipa wote kipindi yupo kazini,lakini tatizo likajitokeza kipindi mafao yalipotoka kwani kile kiasi cha...
  7. JamiiForums Tanzania Unyanyasaji wa haki za msingi za watotoa mashuleni umulikwe. Kiambatanisho kwa thread kifike mbali

    Wazazi tuungane kukemea hili. Tunazalisha kizazi cha watoto wajinga in the name of performance. Sisi tulienjoy shule ya msingi. Saa nane kamili unarudi nyumbani. Siku za michezo ni michezo kwelikweli Na baadhi yetu tumesoma shule zina mchaka chaka asubuhNa Na bado tulifaulu vizuri msingi...
  8. JamiiForums Tanzania Tunaposhangilia sheria ya kumrejesha binti aliyezaa shuleni, tusisahau kuuliza haki ya yule mtoto mchanga aliyezaliwa anayebaki nyumbani

    Ni jambo jema tunapofanya kampeni ya kwamba watoto wetu waliopata mimba wakiwa mashuleni wakakatisha masomo warudi mashuleni kuendelea na masomo Lakini ni muhimu zaidi kujiuliza vichanga vilivyozaliwa vitabaki wapi? Na nani atakua akiwalea? Tukiachilia mbali zile familia chanche zenye uwezo wa...
  9. JamiiForums Tanzania Employee Share Option Plan-Mfumo wa malipo kupitia Haki za Umiliki(HISA)

    Habari za wakati huu; Katika kufanya kazi na wajasiriamli wengi huwa nakutana na wale ambao huwa wanatafuta Mbia(Partners) kwa sababu mbalimbali ikiwamo mahitaji ya mtaji,ujuzi,connnection etc.Wengi wao huwa wanjua nini wanataka na suluhu yake ni nini ili wanakuwa hawajui namna bora ya...
  10. JamiiForums Tanzania Moshi: IGP Sirro ataka Watuhumiwa watendewe haki

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amesema watuhumiwa wanatakiwa kuheshimiwa na kutendewa haki kama watu wasio na hatia mpaka itakapobainika vinginevyo. IGP Sirro alitoa kauli hiyo jana, wakati akifunga mafunzo yaliyoandaliwa na Shirika la Wanawake la Umoja wa Mataifa (UN-Women)...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Si haki kuzitwisha mzigo nchi zinazoendelea kwenye suala la mabadiliko ya tabia nchi

    Na Fadhili Mpunji Wakati dunia inatafakari mambo yaliyojadiliwa na makubaliano yaliyofikiwa kwenye mkutano kuhusu kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi COP26 uliofanyika huko Glasgow Scotland, suala la uwajibikaji kwenye kukabiliana na tatizo hilo limekuwa gumzo tena, na China kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Unapigania Haki za Wanawake huku ukiwakatia Maji na Umeme

    Hakuna watu wanaoteseka na ukosefu wa maji na umeme kama Wanawake, wao ndio wanaohangaika visimani na ndoo kutwa nzima kutafuta maji kwa sababu wewe unayesimama jukwaani na kusema unawapigania umewakatia maji, sielewi hapa ni haki ipi hiyo ya Mwanamke unayoipigania ? Hivi haya mambo huwa...
  13. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI) George Kinoti ahukumiwa miezi minne jela kwa kudharau amri ya Mahakama

    Taarifa Kutoka Kenya Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI) Kinoti ahukumiwa kwenda jela kwa muda wa minne kwa kudharau Amri ya Jaji Antony Mrima Atatumikia kifungo chake kwenye gereza lenye Ulinzi mkali la Kamiti ----- Directorate of Criminal Investigations (DCI) boss George Kinoti has been...
  14. JamiiForums Tanzania Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni. Kumeanza Mgao wa Umeme na Maji

    Jamaa yangu anasema ameambiwa aagize China Majenereta 500 kwa kuanzia. Na mtaji kapewa kuongezea. Wameandikishana na mchakato umeshafanyika mtu mkubwa mmoja kamwambia hawezi agiza kwa jina lake so atamtumia yeye. Umeme mgao haukuwepo kwa muda mrefu sana. Ilikuwa umeme hauwezi katika kila siku...
  15. JamiiForums Tanzania Paul Makonda mtetezi mkubwa wa haki za akina mama aliyemtabiria makubwa Rais Samia Suluhu

    Alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda alihakikisha akina mama hawapotezi haki zao. Aliwatetea akina mama kwa kila namna hasa waliotelekezwa na kunyanyaswa na waume zao. Waliodhurumiwa mali zao na kuporwa. Alikusanya maelfu ya akina mama na kusikiliza kero zao na kuzitatua...
  16. JamiiForums Tanzania Raia Mwema: Paul Makonda kushtakiwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka

    Kama ambavyo kichwa cha habari kinaeleza, ni mwendo wa kutafuta haki zilizocheleweshwa kwa muda mrefu. Sasa Bwanamdogo kumfuata jamaa yake Sabaya. ==== Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatarajiwa kufikishwa mahakamani muda wowote kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Panapo Majaliwa Tuwape Taarifa Mawakili Wetu

    Ifahamike kuwa hatuna taabu Mh. Mbowe na wenziwe kuhukumiwa kama kweli ni wahalifu. Hata hivyo ifahamike kuwa haikubaliki kuwabambikizia kesi na hukumu zisizokuwa za haki. Inafahamika kuwa Mawakili wetu wanafanya kazi kubwa katika mazingira magumu sana. Heshima kubwa kwao. Heshima kwenu pia...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Detention Register: Jaji Tiganga yuko Majaribuni - Kiza Kinene

    Kesi hii inayovutia hisia za wengi, zaidi ya weledi ilihitaji uhuru stahiki wa mhimili wa mahakama na uthubutu wa Jaji katika kutoa haki tupu na kwa mujibu wa sheria. Pungufu ya hivyo tunakoelekea mahakama haitaweza kukwepa lawama. Mezani tulipo kuna pingamizi ambalo kigezo chake kikuu ni kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Siasa chokonozi za kutengeneza ajira pamoja na haki za wanyamapori

    Watoto wa ujerumani hawa sijui wataacha lini ili tukajege ukuta kwenye hifathi za wanyama pamoja na kuweka schemu za umwagiliaji kwa lengo la kutunza mazingira pamoja na kulinda haki za wanyama na mimea juu ya jua kali, kuongeza mapato na fedha za kigeni pamoja na kuongeza ajira kwa vijana na...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kupasua Chungu na kufunga kwaajili ya kesi ya Ugaidi ya Mbowe kuna madhara kwa wasiotenda haki na vizazi vyao?

    Kuna Jambo linasambaa kwa Kasi Sana kwamba wenzetu huko Kaskazini wanapasua vyungu pale wanapoona Jambo limekaa kinyume Cha haki ili miungu yao iangaike na wale walioshiriki aidha kuua, kuiba, kudhulumu au kumnyanyasa mtu mwingine. Kwa wasimavyo Chungu uangaika na kizazi na hakichagui kabila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…